Tuhuma nzito za uchawi kwa Watanzania Marekani

Tuhuma nzito za uchawi kwa Watanzania Marekani

Sijakuelewa Faiza, naomba urudie hoja

Toka lini Matola akajuwa kujenga hoja vizuri hata leo iwe ya pili? wewe msome kama alivyo tu, kama hujamuelewa mwambie akueleweshe tena, lakini nijuavyo, hapo ndiyo mwisho wa uwezo wake kujenga hoja, tena leo kajitahidi sana.
 
Last edited by a moderator:
Uchawi kwa wabongo majuu hupo tena sana tu hasa kwa wanawake kuwaroga wanaume Ili ampate kwasababu ya hela. Kumbuka asilimia98 ya watanzania tunaamin ushirikina hilo alipingiki. Watu hata kabla ya kuja majuu wanampiga juju hadi councillor wa ubalozin wapate visa chezea cc mitanzania wewe.

Yule anayembishia matola humu ni mnafik. Tatizo uzi kama huu mnauleta weekdays tunapiga boksi yani ungepost weekend maamaye ningewashushia data za kufa mtu za tabia za kishirikina za wa
bongo Scandinavian nyambaff zetu
 
Nani alirogwa huko Atlanta, na ushahidi ukowapi?
By the way tabia ni kama ngozi.Kama ushirikina upo damuni hata wangeenda mars wangerogana tu.Kuishi majuu sometimes haimaanishi kuwa watu wanaacha tabia zao za kimila, hususani zile mila mbaya.Kuna watu wapo majuu lakini tabia zao ni zaidi ya wale waliobaki matombo kwa babu zao.
 
Nani alirogwa huko Atlanta, na ushahidi ukowapi?
By the way tabia ni kama ngozi.Kama ushirikina upo damuni hata wangeenda mars wangerogana tu.Kuishi majuu sometimes haimaanishi kuwa watu wanaacha tabia zao za kimila, hususani zile mila mbaya.Kuna watu wapo majuu lakini tabia zao ni zaidi ya wale waliobaki matombo kwa babu zao.

Kuna mahakama uliwahi kuona ikipokea ushahidi wa uchawi?

Ngoja waamke Marekani muda huu ni usiku mnene wakiamka utaelewa somo.
 
aibu tupu...hapo ndio umedhihirisha nini hadi kutetea uchawi upo. au huku tz unatokea kule wanapowakata viungo albino na kutimua mbio kulogea..au ndio wale wanaoshiba kwa kuaminisha watu uchawi upo! ukiugua unadai umelogwa kama vile magonjwa hakuna. akifa mtu kalogwa kama vile kifo hakuna. mama yako mzazi unamuua eti mchawi. mtu mzima mjinga mjinga tu. hata ukienda shule, hata ukienda amerika bado mjinga.

Kama sikusomi hivi unacho maanisha inamaana unakataa kwamba hakuna uchawi au ushirikina
 
Hii mbona ipo sana tu kwa wabongo waliopo mbele na hii si US pekee...

Ila mwisho wa yote usitamani kabisa kukutana na ndumba za wacongo au wawest ni hatari...
 
Hii mbona ipo sana tu kwa wabongo waliopo mbele na hii si US pekee...

Ila mwisho wa yote usitamani kabisa kukutana na ndumba za wacongo au wawest ni hatari...

Hii thread tutawajuwa wanafki wote ambao wanajifanya hawajui wala hawaamini uchawi lakini ni washirikina wakubwa.

Nimeshashuhudia hata chaguzi za kanisani ambapo ni nyumba ya Mungu baadhi ya wagombea wakitumia ushirikina ili wachaguliwe.
 
= kujali

Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu

Hawa wapo wengi kweli uswazi wanatusumbua usiku sasa mimi huwa najiuliza wenzetu uchawi wa mataifa ya mbali uchawi wanautumia kwenye maendeleo mbona sie huku twautumia kukomoana au wetu haujaenda shule?
 
Last edited by a moderator:
dada yangu alikuwa akiishi washington alikuwa mzima wa afya njema lakini kwa sasa alivyo inaumiza vichwa, baada ya kurudi akiwa desperate hakika hatujui tufanyaje maombi yote tumepitia so comfusing? msaada wandugu
 
Haujaeleweka...ni kama umetoka chooni bila kujisafisha...hebu eleza mada ieleweke...
 
Kama sikusomi hivi unacho maanisha inamaana unakataa kwamba hakuna uchawi au ushirikina
vitu hivyo vipo kwa wajinga tu. penye elimu vitu hivyo hakuna. ndio maana elimu ni ufunguo wa maendeleo. kama umesoma na bado unaamini uchawi ujue hujaelimika.
 
Kila mtu bila kujali ana exposure gani akisikia Taifa la Marekani kwa haraka atapata picha kwamba ndipo ile sarafu inayotamba duniani inapotoka na kila aina ya maendeleo yapo kule na inaaminika basi hata Mtanzania mswazi akifika kule angalau na yeye huwa mzungumzungu.

Kumbe kinyume chake sasa Watanzania naanza kuamini ingawa si wote tulishalaaniwa hata kabla ya kuzaliwa........

Unataka kujuwa kinachoendelea Marekani baina ya Watanzania? Tega sikio.

Hizi tuhuma ni za muda mrefu lakini nimekuwa nikizipuuza ila sasa nimejiridhisha ni kweli Watanzania hasa mademu wa DMV na Atlanta wanarogana kwa kuwangiana na watu kunyolewa nywele usiku imekuwa ni kawaida, hivi mna matatizo gani nyinyi viumbe?

Loading.........

Cc; Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox, watu wako wanatia aibu na hi siyo siri tena kwahiyo usije na kauli kwamba huamini uchawi,

Bcc: Jasusi
Pasco kwa taarifa, toa ushauri uchawi umepamba moto Marekani wanarogana sana hasa wanawake.

Take a note: Hii taarifa siyo tetesi wala jokes ni ukweli mtupu.

.
tena ni afadhali wamerekani wamejikuta wapo mbali na watanzania yaani tungecangamana ungekuta tushawakata viungo vyote kwa kudhani kuwa ninyi ni maalbino.
hapa katika mji wa shinyanga nimekumbana na jamaa wawili wanaobishana kweli kweli juu ya mzungu aliyewapita. mmoja alikuwa akiapa kuwa ni lazima amkate kiungo huyo albino huku mwenzake akimsihi asifanye hivyo kwani aliyewapita sii albino bali mzungu.
sasa huko Atlanta mnashangaa kukatwa mavuzi? mbona hiyo kwa wabongo ni stage ya kwanza kabisa katika fani ya kichawi?.
.
 
vitu hivyo vipo kwa wajinga tu. penye elimu vitu hivyo hakuna. ndio maana elimu ni ufunguo wa maendeleo. kama umesoma na bado unaamini uchawi ujue hujaelimika.

Katika waliochangia thread hii wewe either ni mbumbumbu wa kwanza au ni mshirikina na gagura namba moja.

washirikina wote hujifanya hawaamini uwepo wa uchawi na ni watu wa sayansi, tunawajuwa vyema wachawi wakubwa nyinyi.

Kama familia ya Malkia wa Uingereza ina damu ya kijini kenge kama wewe ni nani wa kujifanya umesoma na umeendelea eti hujui uchawi!!
 
Well, well, well....wagonjwa wa akili hata majuu wapo.

Ila blaza Matola wewe umejuaje yote haya? Walikushirikisha?

Kabla hujaniuliza nimejuaje ukiwa kama Rais wao fanya uchunguzi wa kimya kimya utagunduwa ninachokisema ni kweli tupu na tukemee tabia hii mbaya ya kuwangiana.
 
Back
Top Bottom