Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Ukitaka kujua one of nature's mysteries and that hii dunia ina mengi usiyoyajua au kuyaelewa mtafute mtaalam anayejua kusoma tarot cards. U'll be shocked.
Mimi Nipo DMV hakuna uchawi,Labda kutopendana,wivu na majungu ndio yapo
Yaani unasema haupo then unasema upo!! Hebu soma tena post yako!!
Watanzania washirikina sana, utakuta mtu anamtumia ndugu yake madawa ya kinyesi kutoka tz kwenda states, na hyo syo kitu cha kubisha ndiyo ukweli
😳😳😳😳😳😳😳😳
Wewe haujui kusoma,soma vizuri
What ure saying might b true.TV news za Kenya toka Jana zinaeleza wakenya wamepeleka tribalism u.s mpaka ambassador amekiri
Atleast sasa tunaanza kupata mwanga pa kuanzia, it means kama uchawi wao hautoki Tanzania basi wanauziwa uchawi na hao Wahaiti.
Tatizo hili lipo DMV na Atlanta pia na wahusika wakuu ni wanawake.
I can't believe this!!
Mbona na huku kuna mchaga anaitwa minja ni mganga wa kienyeji na anakula vichwa c kwa wabongo tu hata mapopo(westafrican)
Kama uwamini uchawi ni wazi kuwa uwamini dini pia coz dini zote zinajua kuwa uchawi upo na zimezungumzia sasa wewe unaekataa uchawi ni dini gani? Na uchawi sio africa tuu dunia nzima kuna uchawi kwa ulaya German inaongoza kwa uchawi America south america inaongoza kwa uchawi ikifuatia na Caribbean iland kwa africa west Africa inaongoza kwa tanzania ni simbawanga inaongoza