Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,281
- 144,475
Kabla hujaniuliza nimejuaje ukiwa kama Rais wao fanya uchunguzi wa kimya kimya utagunduwa ninachokisema ni kweli tupu na tukemee tabia hii mbaya ya kuwangiana.
I'll pass on that one big hommie.
Kwanza huo upuuzi kikwelikweli haupo.
Na watu wanaoamini hayo mambo mimi nawaona ni wagonjwa wa akili.
Acha tu kila mtu ashughulike na upuuzi wake.