Tuhuma nzito za uchawi kwa Watanzania Marekani

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,241
Reaction score
111,199
Kila mtu bila kujali ana exposure gani akisikia Taifa la Marekani kwa haraka atapata picha kwamba ndipo ile sarafu inayotamba duniani inapotoka na kila aina ya maendeleo yapo kule na inaaminika basi hata Mtanzania mswazi akifika kule angalau na yeye huwa mzungumzungu.

Kumbe kinyume chake sasa Watanzania naanza kuamini ingawa si wote tulishalaaniwa hata kabla ya kuzaliwa........

Unataka kujuwa kinachoendelea Marekani baina ya Watanzania? Tega sikio.

Hizi tuhuma ni za muda mrefu lakini nimekuwa nikizipuuza ila sasa nimejiridhisha ni kweli Watanzania hasa mademu wa DMV na Atlanta wanarogana kwa kuwangiana na watu kunyolewa nywele usiku imekuwa ni kawaida, hivi mna matatizo gani nyinyi viumbe?

Loading.........

Cc; Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox, watu wako wanatia aibu na hi siyo siri tena kwahiyo usije na kauli kwamba huamini uchawi,

Bcc: Jasusi
Pasco kwa taarifa, toa ushauri uchawi umepamba moto Marekani wanarogana sana hasa wanawake.

Take a note: Hii taarifa siyo tetesi wala jokes ni ukweli mtupu.
 
Mkuu matola huo uchawi labda kama wamezaliwa nao kweli over 8000 miles umefikaje USA kwanza uchawi hauvuki bahari second unamjua mdada mmoja mzuri ambaye yupo yupo Tu I mean mbebizz WA ukweeeee Ni pm her no only in USA
 
Matola wewe ni member mwenye heshima hapa jukwaani, hiki ulichokiandika Mpwa wako sijakielewa kabisa. Hebu andika kwa kujenga hoja vizuri
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu bila kujari ana exposure gani akisikia Taifa la Marekani kwa haraka atapata picha kwamba ndipo ile sarafu inayotamba duniani inapotoka na kila aina ya maendeleo yapo kule na inaaminika basi hata Mtanzania mswazi akifika kule angalau na yeye huwa mzungumzungu.

Kumbe kinyume chake sasa Watanzania naanza kuamini ingawa si wote tulishalaaniwa hata kabla ya kuzaliwa........

Unataka kujuwa kinachoendelea Marekani baina ya Watanzania? tega sikio.

Hizi tuhuma ni za muda mrefu lakini nimekuwa nikizipuuza ila sasa nimejiridhisha ni kweli Watanzania hasa mademu wa DMV na Atlanta wanarogana kwa kuwangiana na watu kunyolewa nywele usiku imekuwa ni kawaida, hivi mna matatizo gani nyinyi viumbe?

Loading.........

Cc; Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox, watu wako wanatia aibu na hi siyo siri tena kwahiyo usije na kauli kwamba huamini uchawi,

Bcc: Jasusi
Pasco kwa taarifa, toa ushauri uchawi umepamba moto Marekani wanarogana sana hasa wanawake.

Take a note: hii taarifa siyo tetesi wala jokes ni ukweli mtupu.

= kujali

Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Matola wewe ni member mwenye heshima hapa jukwaani, hiki ulichokiandika Mpwa wako sijakielewa kabisa. Hebu andika kwa kujenga hoja vizuri

Tulia kwanza utaelewa tu wala usiwe na haraka, nalifahamu hili jambo kwa miaka kadhaa sasa wala sijakurupuka.
 
Last edited by a moderator:
Loading.........
Take a note: hii taarifa siyo tetesi wala jokes ni ukweli mtupu.
Nasubiri imalize ku load, nitoe ushauri, ila kama haya mambo ni kweli yapo, labda siku hizi, sisi wakati tulipokuwa tukipita pita humo mitaa hiyo, sikuwahi hata kuvisikia visa vya namna hii, Watanzania walikuwa wamoja, sisi kanda ya Ziwa tulikuwa always very proud kukaribishwa kulala kwa mtu baki ilikuwa kama aibu fulani!, nimefika pale Mt. Vernon tunapishana kutafuta booking kuwa hosted kwa Mama T!, tunajichanganya na watu ambao tukiwa huku home, tunapitiana mbali!. Zile notion kuwa makabila fulani hawaivi were not applicable huko!, sasa ukiniambia hata uchawi sasa umetua huko, this is surprise to some of us!.

Paskali
 
Mkuu matola huo uchawi labda kama wamezaliwa nao kweli over 8000 miles umefikaje USA kwanza uchawi hauvuki bahari second unamjua mdada mmoja mzuri ambaye yupo yupo Tu I mean mbebizz WA ukweeeee Ni pm her no only in USA

La kwanza je unaamini uchawi upo? kama unaamini nadhani unafahamu fika kuna Watanganyika wanavuka bahari wanakwenda Zanzibar kwenye ushirikina na wanavuka nao bahari mpaka Tanganyika.
Nadhani hoja yako ya bahari ni dhaifu.
 
Si kweli, tena Atlanta? ? No...
Tatizo kuchomeana immigration tunajitahidi kwa hilo.
 
Mbona na huku kuna mchaga anaitwa minja ni mganga wa kienyeji na anakula vichwa c kwa wabongo tu hata mapopo(westafrican)
 
Nasubiri imalize ku load, nitoe ushauri, ila kama haya mambo ni kweli yapo, labda siku hizi, sisi wakati tulipokuwa tukipita pita humo mitaa hiyo, sikuwahi hata kuvisikia visa vya namna hii, Watanzania walikuwa wamoja, sisi kanda ya Ziwa tulikuwa always very proud kukaribishwa kulala kwa mtu baki ilikuwa kama aibu fulani!, nimefika pale Mt. Vernon tunapishana kutafuta booking kuwa hosted kwa Mama T!, tunajichanganya na watu ambao tukiwa huku home, tunapitiana mbali!. Zile notion kuwa makabila fulani hawaivi were not applicable huko!, sasa ukiniambia hata uchawi sasa umetua huko, this is surprise to some of us!.

Pasco

Mkuu Pasco kwa kuheshimu privacy za watu pita mara moja Facebook kwa Dada anaitwa Ashura Saeedia kuna kitu utaelewa.

Na study case hii sijaanza leo ni tuhuma za kweli kabisa na inabidi zikemewe na wahusika nina orodha ya majina yao hawa ni wanga live bila chenga.
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu bila kujari ana exposure gani akisikia Taifa la Marekani kwa haraka atapata picha kwamba ndipo ile sarafu inayotamba duniani inapotoka na kila aina ya maendeleo yapo kule na inaaminika basi hata Mtanzania mswazi akifika kule angalau na yeye huwa mzungumzungu.

Kumbe kinyume chake sasa Watanzania naanza kuamini ingawa si wote tulishalaaniwa hata kabla ya kuzaliwa........

Unataka kujuwa kinachoendelea Marekani baina ya Watanzania? tega sikio.

Hizi tuhuma ni za muda mrefu lakini nimekuwa nikizipuuza ila sasa nimejiridhisha ni kweli Watanzania hasa mademu wa DMV na Atlanta wanarogana kwa kuwangiana na watu kunyolewa nywele usiku imekuwa ni kawaida, hivi mna matatizo gani nyinyi viumbe?

Loading.........

Cc; Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox, watu wako wanatia aibu na hi siyo siri tena kwahiyo usije na kauli kwamba huamini uchawi,

Bcc: Jasusi
Pasco kwa taarifa, toa ushauri uchawi umepamba moto Marekani wanarogana sana hasa wanawake.

Take a note: hii taarifa siyo tetesi wala jokes ni ukweli mtupu.
Na huku nyumbani wanasiasa na wafanyi biashara wanaamini kwamba viungo vya Albino
hukuwezesha kushinda uchaguzi pamoja na kuwa tajiri.
AIBU.
 
Kila mtu bila kujari ana exposure gani akisikia Taifa la Marekani kwa haraka atapata picha kwamba ndipo ile sarafu inayotamba duniani inapotoka na kila aina ya maendeleo yapo kule na inaaminika basi hata Mtanzania mswazi akifika kule angalau na yeye huwa mzungumzungu.

Kumbe kinyume chake sasa Watanzania naanza kuamini ingawa si wote tulishalaaniwa hata kabla ya kuzaliwa........

Unataka kujuwa kinachoendelea Marekani baina ya Watanzania? tega sikio.

Hizi tuhuma ni za muda mrefu lakini nimekuwa nikizipuuza ila sasa nimejiridhisha ni kweli Watanzania hasa mademu wa DMV na Atlanta wanarogana kwa kuwangiana na watu kunyolewa nywele usiku imekuwa ni kawaida, hivi mna matatizo gani nyinyi viumbe?

Loading.........

Cc; Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox, watu wako wanatia aibu na hi siyo siri tena kwahiyo usije na kauli kwamba huamini uchawi,

Bcc: Jasusi
Pasco kwa taarifa, toa ushauri uchawi umepamba moto Marekani wanarogana sana hasa wanawake.

Take a note: hii taarifa siyo tetesi wala jokes ni ukweli mtupu.
aibu tupu...hapo ndio umedhihirisha nini hadi kutetea uchawi upo. au huku tz unatokea kule wanapowakata viungo albino na kutimua mbio kulogea..au ndio wale wanaoshiba kwa kuaminisha watu uchawi upo! ukiugua unadai umelogwa kama vile magonjwa hakuna. akifa mtu kalogwa kama vile kifo hakuna. mama yako mzazi unamuua eti mchawi. mtu mzima mjinga mjinga tu. hata ukienda shule, hata ukienda amerika bado mjinga.
 
Last edited by a moderator:
Labda walio Louisiana na Florida kulikojaa wahaiti na wa jamaica wana matabia mabovu ya ushirikina km wa tanzania 🙂

Atleast sasa tunaanza kupata mwanga pa kuanzia, it means kama uchawi wao hautoki Tanzania basi wanauziwa uchawi na hao Wahaiti.

Tatizo hili lipo DMV na Atlanta pia na wahusika wakuu ni wanawake.
 
Back
Top Bottom