Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Nakumbuka hili shindano lilikuwa lisifanyike... Mwakani huu...kwa amri ya mahakama !! Lundenga akapambana kweli kweli... Kumbe mpambano wake ulikuwa na msukumo wa Mtemvu. Watanzania tunaabikashwa sana... Tuchukue hatua sasa. Katika hili, ilitakiwa Lundenga, Mtemvu, Sitti, kamati zote zamiss chang'ombe, Temeke na Tanzania ziwe chini ya Ulinzi. Wakati ushahidi ukiwekwa kwenye utaratibu wa kimahakama.
 
Unajua kuna watu mpaka leo hawamini km waTANGANYIKA wanajua mambo mengi wanadhani watu bado wanakariri porojo za watawala,,,!

kusema kuwa pesa za mfuko wa jimbo ni ngumu kutoka ni kujidanganya kupitiliza,kwani kwa sababu mkurugenzi huyohuyo anakutwa na hati chafu na CAG kwenye halmashaur yake,yaan pesa za jimbo ndo zinalika kiulainiiii
 
huyo bnt ana miaka 18 namjua yan ana ugonjwa flan wa umri wake unarud nyuma.msishangae baada ya kwenda miss worl akawa na miaka 17.mmsamehe n ugonjwa tu mi kama daktar wake namjua
 
Nakumbuka hili shindano lilikuwa lisifanyike... Mwakani huu...kwa amri ya mahakama !! Lundenga akapambana kweli kweli... Kumbe mpambano wake ulikuwa na msukumo wa Mtemvu. Watanzania tunaabikashwa sana... Tuchukue hatua sasa. Katika hili, ilitakiwa Lundenga, Mtemvu, Sitti, kamati zote zamiss chang'ombe, Temeke na Tanzania ziwe chini ya Ulinzi. Wakati ushahidi ukiwekwa kwenye utaratibu wa kimahakama.
jambo ambalo haliwezekani kabisa hapa Tanzania
 
Shule ipi mkuu?na combination gani?nakumbuka mbunge wa Temeke kipindi cha nyuma(Kihiyo)aliulizwa mahakamani ulikuwa combination gani alijibu kasahau ngoja akamuulize mama yake Morogoro.

SI UNIT YA WANAODANGANYA VYETI - Kihiyo
SI UNIT YA WANAOIBIWA GUEST AU NA MALAYA - Malima
SI UNIT YA WAREMBO WANAODANGANYA UMRI -?
 
Utata upo kwenye umri, hii ni tabia yetu waafrika, lakini Mbunge kutumia pesa ya mfuko wa jimbo kuhonga haileti mantiki. Pesa ya Mfuko wa Jimbo haitoki kifala ---- namna hiyo. watu wengi wanadhani hela ya mfuko wa jimbo mbunge anatembea nayo mfukoni na anaweza kutoa anapojisikia. Pesa ya mfuko wa Jimbo iko chini mkurugenzi wa halmashauri. Mbunge anapendekeza tu zielekezwe wapi kutokana na mahitaji/maombi.
Wewe usitake kutufanya sisi wapumbavu Wabunge wanapata fedha za jimbo chini ya mfuko wa maendeleo wa jimbo kwa kiingereza huitwa Constituent Development Catalyst fund (CDCF) na unazotaka kutudanganyia nazo ni za TASAF ambazo hupitia halmashauri! Hili swala la Wabunge kupewa fedha lilipingwa sana na civil societies kwa vile walijua kitakachofuata ndo hapa tunaona Mtemvu anazitumia atakavyo!
 
KUTANA NA MISS TANZANIA 2014(Kati ya
Warembo hawa hapa chini)....Sitti binti
Mtemvu...
Eti anadai ana miaka 18 tu na ana shahada ya
uzamili (Masters).....
.......................................................
HEBU TUPIGE HESABU; Kwa mfano;
Masters(Shahada ya uzamili) miaka 2,
Shahada ya kwanza = miaka 3,
Sekondari = miaka 6,
Shule ya Msingi = miaka 7.
Chekechea = Mwaka 1
2 + 3 + 6 + 7 + 1 = 19
Hii ina maana kuwa alianza chekechea na
miaka 0, "hakuwa amezaliwa"
Kabla ya 2015 tutajionea mengi.

Haha,we kichwa
 
kusema kuwa pesa za mfuko wa jimbo ni ngumu kutoka ni kujidanganya kupitiliza,kwani kwa sababu mkurugenzi huyohuyo anakutwa na hati chafu na CAG kwenye halmashaur yake,yaan pesa za jimbo ndo zinalika kiulainiiii

Yes,ndio maana nikamjibu yule ndg kwamba acdhani watanganyika bado tunaamini ktk Porojo za watawala kwamba cjui kanuni zimefanyaje huko kwenye Harmashauri ndio UOZO ulipo,,,,
 
Hii ndo tz kila kitu knawezekana hata kama we ni tukunyema unahonga unakuwa kimbao mbao chap

Kuna ambavyo vimeshindikana mfano maisha bora kwa kila Mtanzania , vingine vyote vilivyobaki vinawezekana.
 
Hili sakata linazidi kuibua mambo mengi ambayo hata hayakustahili kufahamika.

Mambo ni mengi kweli yaani inavyoonyesha sisi tunaoishi ndani ya nchi hii hatuna haki kwani huyu binti kaishi miaka yote nje ya nchi halafu anapitishwa na kuchukua mataji ya urembo na pia tukumbuke yule mtoto wa Mgimwa nae hakuna tofauti na hili kwani kwani wote hawa makuzi na maisha yao yote walikuwa wanayaendesha wakiwa nje ya nchi.
 
mkuu yanini kuwa na video evidence wakati sheria yao ni miaka 18-24 kwa msichana anayegombea u-miss,huyo Mtemvu alishavuka siku nyingi tu..!!

Mkuu,

Ndio maana nimeweka option mbili (clips/Lundenga's docs) lengo likiwa lilelile la kuupata umri aliojiandikisha nao kwenye hayo mashindino kwa maana wengine tumeanza kufuatilia mambo ya umiss baada ya hili Sakata and we know nothing about contestants' age limit na kila source inakuja na umri tofauti.

Anyway uchakachuzi umethirika then what is next?

Je kumewahi tokea kesi ya miss kunyang'anywa taji lake kwenye haya mashindano?

Ikitokea kapokonywa taji mchakato utaanzia wapi?

Kuna kanuni zozote juu ya situation kama hiyo?

 
Wewe ndg wacha kuwaona watu hawajui mambo Kuna kitu gani kinashindikana kwenye NCHI hii watu wametoa PESA BOT itakuwa ya Mfuko wa JIMBO,,,,!! wengine hatujivunii kuwa watanzania tunavumilia tu,,,!

tatizo kubwa watanzania tumeamua kuwekeza katika kuchafuana bila sababu,mtu anatunga uongo,anapitia kijiweni ana uongea uongo baada ya muda tunachukuwa simu na kuupost bila hata kufanya utafiti ama kuchunguza,yaani hivi sasa hata hii jf imekosa uhalisia wake kwani asilimia kubwa ya vinavyopostiwa ni fitina,majungu na habari za kupika
 
Wewe usitake kutufanya sisi wapumbavu Wabunge wanapata fedha za jimbo chini ya mfuko wa maendeleo wa jimbo kwa kiingereza huitwa Constituent Development Catalyst fund (CDCF) na unazotaka kutudanganyia nazo ni za TASAF ambazo hupitia halmashauri! Hili swala la Wabunge kupewa fedha lilipingwa sana na civil societies kwa vile walijua kitakachofuata ndo hapa tunaona Mtemvu anazitumia atakavyo!

Hili ndio tatizo letu wabongo, wavivu kusoma wenyewe. Tunategemea Taasisi fulani au mtu fulani ninaempenda anasema nini!! Sheria hizi zipo vitabuni simo midomoni mwa tuwapendao:-

Kifungu cha 12 cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo ya mwaka 2009, kinaeleza kuwa orodha ya miradi inayoweza kutekelezwa inatakiwa kuibuliwa na wananchi wanaoishi katika jimbo husika.

Pia Kifungu cha 10(4) cha sheria hiyo kinaitaka kila kata kuandaa miradi inayopewa kipaumbele na kuiwasilisha kwenye kamati ya mfuko wa jimbo kwa ajili ya kuidhinisha au kutoidhinisha miradi hiyo.

Kifungu cha 19(2) cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo kinaeleza kuwa, miradi itakayoibuliwa inaweza kuhusisha gharama za masomo, mipango na ubunifu au nyenzo za kiufundi kwa ajili ya miradi.

Note: hii nimenukuu taarifa tu ya CAG ya 2012/2013 kuwa halmashauri 66 hazikutumia kabisa kiasi cha Sh2.59 bilioni za mfuko wa jimbo, huku Halmashauri ya Bariadi ikiongozwa kwa kutotumia Sh248 milioni. Halmashauri nyingine ni Kilosa Sh190.7 milioni, Mvomero Sh116.3 milioni na Ilemela Sh106 milioni.
 
Wanachakachua mpaka vifo!
SIT... Mwingine alisema mjumbe kapiga kura ya Zanz kwa sababu asili yake ni huko ila kachaguliwa kama mjumbe wa bara.... Hivi jamani shule tulizoenda zina maana gani kama wanasiasa wanatufanya malofa namna hiiii???????????? Back to topic... SIT arudishe taji kwa lundenga na kamati yake Danganyifu kwani wadanganyika kwa hapo tumestukia.
 
Vipi kuhusu uvumi kwamba ana mtoto mmoja ? Ni uvumi tu , je kuna mwenye kujua lolote ?
 
kwani mashindano ya bibi bomba hayapo mwaka huu...si angeenda kule maana yeue anataka umarufu hata kuwa bibi bomba ni maarufu pia.
 
Back
Top Bottom