Anatetea chama kwenye issue binafsi kama hii? Au inahusiana na maslahi ya 'chama chetu' kinamna?
Unadhani kwanini bibi kizee ameruhusiwa kushiriki mashindano ya wasichana ?
Utata upo kwenye umri, hii ni tabia yetu waafrika, lakini Mbunge kutumia pesa ya mfuko wa jimbo kuhonga haileti mantiki. Pesa ya Mfuko wa Jimbo haitoki kifala ---- namna hiyo. watu wengi wanadhani hela ya mfuko wa jimbo mbunge anatembea nayo mfukoni na anaweza kutoa anapojisikia. Pesa ya mfuko wa Jimbo iko chini mkurugenzi wa halmashauri. Mbunge anapendekeza tu zielekezwe wapi kutokana na mahitaji/maombi.
Hivi unafahamu taratibu za utoaji na matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ? Nakushauri tafuta uweze kuandika kitu cha uhakika
Wewe ndg wacha kuwaona watu hawajui mambo Kuna kitu gani kinashindikana kwenye NCHI hii watu wametoa PESA BOT itakuwa ya Mfuko wa JIMBO,,,,!! wengine hatujivunii kuwa watanzania tunavumilia tu,,,!
uvumilivu ushatushinda
hadi pasport kafoji ningeshangaa miaka 18 huku uso umekomaa
Tetesi za hivi karibuni zinadai ana mtoto..... JF ni kitovu cha taarifa. Mwenye ukweli athibitishe!
Hivi hawajamvua bado? Na huyo Lundenga kahamia Kazakhstan au?? Maana kauchuna kama halimhusu!!
Wewe ndg wacha kuwaona watu hawajui mambo Kuna kitu gani kinashindikana kwenye NCHI hii watu wametoa PESA BOT itakuwa ya Mfuko wa JIMBO,,,,!! wengine hatujivunii kuwa watanzania tunavumilia tu,,,!
Miaka 29 ni sawa maana amekomaa sana hata tumbo linaonekana km kazaa mara kadhaa sura imechoka na ni lijimama bonge.
Aibu tulishazoea.
kwa kumsaidia BigMan ni kwamba mbunge wa Bahi ana kesi juu ya matumizi mabaya ya fedha za mfuko wa JIMBO,
Tetesi za hivi karibuni zinadai ana mtoto..... JF ni kitovu cha taarifa. Mwenye ukweli athibitishe!