Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Hili ndio tatizo letu wabongo, wavivu kusoma wenyewe. Tunategemea Taasisi fulani au mtu fulani ninaempenda anasema nini!! Sheria hizi zipo vitabuni simo midomoni mwa tuwapendao:-

Kifungu cha 12 cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo ya mwaka 2009, kinaeleza kuwa orodha ya miradi inayoweza kutekelezwa inatakiwa kuibuliwa na wananchi wanaoishi katika jimbo husika.

Pia Kifungu cha 10(4) cha sheria hiyo kinaitaka kila kata kuandaa miradi inayopewa kipaumbele na kuiwasilisha kwenye kamati ya mfuko wa jimbo kwa ajili ya kuidhinisha au kutoidhinisha miradi hiyo.

Kifungu cha 19(2) cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo kinaeleza kuwa, miradi itakayoibuliwa inaweza kuhusisha gharama za masomo, mipango na ubunifu au nyenzo za kiufundi kwa ajili ya miradi.

Note: hii nimenukuu taarifa tu ya CAG ya 2012/2013 kuwa halmashauri 66 hazikutumia kabisa kiasi cha Sh2.59 bilioni za mfuko wa jimbo, huku Halmashauri ya Bariadi ikiongozwa kwa kutotumia Sh248 milioni. Halmashauri nyingine ni Kilosa Sh190.7 milioni, Mvomero Sh116.3 milioni na Ilemela Sh106 milioni.
We mpuuzi acha kupotosha Mtemvu na wabunge woote wamepewa fedha za Constituency Development Catalyst fund ( CDCF) ndo hizo zinazoongelewa hapa amefuja na amezitumia kuhonga mwanae kijeba ashinde taji la Miss Tanzania ! Soma link hii na usijifanye kupotosha tunajua kuliko wewe huu ndani!
 
Sasa ni rasmi, hatuna MISS TZ 2014 bali tuna BIBI BOMBA TZ 2014.
 
Patel ameshindwa mahakamani sasa ameamua kumtumia huyu jamaa

Hakuna aliyetumiwa. Uongo wao umejulikana. Sitti ana miaka 29 na kuna picha tumeoneshwa akiwa na mtoto wake. Kuwa Miss lazima uwe hujazaa. Sasa huyu ni Miss wa aina gani?

Jamani tukubali ukweli. Kuna mchezo mchafu hapa umechezwa. Kama unabisha, basi umelipwa. Endelea hivyo hivyo!

Lakini kama hujalipwa, basi imekula kwako!
 
Unajua kuna watu mpaka leo hawamini km waTANGANYIKA wanajua mambo mengi wanadhani watu bado wanakariri porojo za watawala,,,!

kwi kwi kwi! bado wako zile enzi za zidumu fikra za mwenyekiti.....
 
Hawa ndiyo wapiga Debe wa Uraia pacha!
Ulimbwende tu uchakachuaji kiasi hiki siku huo Uraia Pacha ukiruhusiwa sijui nini kitabaki!

atachakachua mlima Kilimanjaro upate hati miliki ya kampuni yake
 
KUTANA NA MISS TANZANIA 2014(Kati ya
Warembo hawa hapa chini)....Sitti binti
Mtemvu...
Eti anadai ana miaka 18 tu na ana shahada ya
uzamili (Masters).....
.......................................................
HEBU TUPIGE HESABU; Kwa mfano;
Masters(Shahada ya uzamili) miaka 2,
Shahada ya kwanza = miaka 3,
Sekondari = miaka 6,
Shule ya Msingi = miaka 7.
Chekechea = Mwaka 1
2 + 3 + 6 + 7 + 1 = 19
Hii ina maana kuwa alianza chekechea na
miaka 0, "hakuwa amezaliwa"
Kabla ya 2015 tutajionea mengi.

Yawezekana hata hiyo masters ni ya Kuchonga mabibo tu maana umri unakataa Sitti kuwa na Masters @ 18!! kweli Mtemvu ni masaburi!!!!!!!!!!!!!!!
 
only in Tanzania,kama wanachakachua maoni ya wananchi kwenye rasimu ya katiba sembuse jambo dogo tu kama hilo ambalo halina maslahi makubwa kwa nchi kivileeeeeeeee.
 
Hii longolongo labda iishie hapa Bongo, lakini akithubutu tu kutia USO wako MISS WORLD, kwanza ataumbuka yeye, halafu pia TANZANIA nayo itaumbuka.

Aidha Lundenga naye anaweza kunyang'anywa kuratibu mashindano ya Miss Tanzania, yanayoratibiwa na Miss World. Lundenga atatafuta mashindano mengine kama MISS BANTU.

Pia Tanzania nayo inaweza kufungiwa kushiriki mashindano ya Miss World kwa mda kama vile tulivyowahi kufungiwa kushiriki mashindano ya soccer ya under 21(?) kwa kuchakachua umri wa mchezaji (sikumbuki jina lake).

Kwanza kutokana na umri wake (miaka 25? 28?) alikuwa hasitahili kabisa kushiriki. Kama atakwenda Miss world itabidi tupeleke malalamiko kamati ya miss world ambapo huyo Sitti atafanyia Carbon dating (kipimo cha kujua umri wa mtu). Na kama ikithibitika ni BIBI atakuwa disqulified.

Aidha nasikia kwamba pia ana mtoto. Sheria za Miss world zinakataza msichana yeyote yule aliyewahi kuzaa kushiriki mashindano ya miss world.

Kama Sitti na Lundenga watavaa miwani ya mbao na kumpeleka miss world. Itabidi tupeleke malalamiko Miss world kwamba huyo Miss wetu is a mother (ana mtoto). Gynecologists watamfanyia vipimo na kama ikibainika alishawahi kuzaa atakuwa disqulified na kamati ya Lundenga itakuwa striped uratibu wa Miss Tanzania, na Tanzania huenda tukafungiwa kwa mda ili tupate akili kwamba wenzetu katika mambo haya they dont entertain nonsense!
 
We mpuuzi acha kupotosha Mtemvu na wabunge woote wamepewa fedha za Constituency Development Catalyst fund ( CDCF) ndo hizo zinazoongelewa hapa amefuja na amezitumia kuhonga mwanae kijeba ashinde taji la Miss Tanzania ! Soma link hii na usijifanye kupotosha tunajua kuliko wewe huu ndani!

Wewe unayejiona sio mpuuzi hata hujui (CDCF) ndio mfuko wa jimbo kiswahili. ungalikuwa mwelevu ungalifuatilia hivyo vifungu ambavyo vimo kwenye act ambayo link umeitoa. ndio maana nasema u mvivu wa kusoma. Soma Part III ya hiyo act kifungu cha 10 - (1) mpaka (5). Mbunge hawezi kutoa pesa za mfuko bila kuwahusisha walioorodheshwa hapo. Na kama zimefujwa maana yake hao wote wamehusika siyo Mtemvu peke yake.
 
Hakuna aliyetumiwa. Uongo wao umejulikana. Sitti ana miaka 29 na kuna picha tumeoneshwa akiwa na mtoto wake. Kuwa Miss lazima uwe hujazaa. Sasa huyu ni Miss wa aina gani?

Jamani tukubali ukweli. Kuna mchezo mchafu hapa umechezwa. Kama unabisha, basi umelipwa. Endelea hivyo hivyo!

Lakini kama hujalipwa, basi imekula kwako!

Nakubaliana na wewe. kudanganya umri ndio tabia yetu waswahili. mchezo mchafu kaucheza Sitti. tazizo ni kumjifanya tunajua kuwa Fedha za mfuko wa Jimbo la Temeke kwa kumtumia baba yeke, ndio zimetumika kufanikisha hayo. Kama kuna hujuma ahukumiwe binti aliuyepeleka Birth Cert inayoonyesha ana miaka 18. kuhusisha fedha za umma kutumika kuwezesha miss ni kuchafulia watu majina. Fedha hiyo ina kamati inayoidhinisha mradi gani ufadhiliwe haitolewi na mbunge kienyeji namna hiyo.
 
Hii longolongo labda iishie hapa Bongo, lakini akithubutu tu kutia USO wako MISS WORLD, kwanza ataumbuka yeye, halafu pia TANZANIA nayo itaumbuka.

Aidha Lundenga naye anaweza kunyang'anywa kuratibu mashindano ya Miss Tanzania, yanayoratibiwa na Miss World. Lundenga atatafuta mashindano mengine kama MISS BANTU.

Pia Tanzania nayo inaweza kufungiwa kushiriki mashindano ya Miss World kwa mda kama vile tulivyowahi kufungiwa kushiriki mashindano ya soccer ya under 21(?) kwa kuchakachua umri wa mchezaji (sikumbuki jina lake).

Kwanza kutokana na umri wake (miaka 25? 28?) alikuwa hasitahili kabisa kushiriki. Kama atakwenda Miss world itabidi tupeleke malalamiko kamati ya miss world ambapo huyo Sitti atafanyia Carbon dating (kipimo cha kujua umri wa mtu). Na kama ikithibitika ni BIBI atakuwa disqulified.

Aidha nasikia kwamba pia ana mtoto. Sheria za Miss world zinakataza msichana yeyote yule aliyewahi kuzaa kushiriki mashindano ya miss world.

Kama Sitti na Lundenga watavaa miwani ya mbao na kumpeleka miss world. Itabidi tupeleke malalamiko Miss world kwamba huyo Miss wetu is a mother (ana mtoto). Gynecologists watamfanyia vipimo na kama ikibainika alishawahi kuzaa atakuwa disqulified na kamati ya Lundenga itakuwa striped uratibu wa Miss Tanzania, na Tanzania huenda tukafungiwa kwa mda ili tupate akili kwamba wenzetu katika mambo haya they dont entertain nonsense!

lundenga aliambiwa kabla ya mashindano kwamba sitti ana mtoto akakataa

na kingine ingia website ya miss word.org
watu wamemriport
 
lundenga aliambiwa kabla ya mashindano kwamba sitti ana mtoto akakataa

na kingine ingia website ya miss word.org
watu wamemriport

Hata mimi nilikuwa najiandaa ku report huu uhuni wa Lundenga kama huyu Sitti ataitia mguu wake huko MISS WORLD.

Kama wadau wameshaanza ku-report huu ndiyo mwisho wa Lundenga kuaanda Miss Tanzania.

Lundeng aanze kutafuta mashindano mengine kama hata yatakuwa Miss SURA MBAYA!

Wazungu wanasema you can take a man out of the bush, but you can't take the bush out of him. Lundenga ni mmojawapo kaharibu sifa ya Miss Tanzania simply kwa hongo na kuwalala hao mabinti kwa ahadi ya kuwazawadia u-miss Tanzania. Kwa mazingira alivyoupata u-miss Tanzania huyo Sitti sidhani kama ameruka mtego huo!
 
hii ni aibu kubwa mtemvu na mama jitokezeni kutoa ufafanuzi lini mlimzaa mtoto wenu.wataalamu wameishawarahisishia kazi ya mahesabu toka chekechea hadi masters.ushauri wangu semeni alikuwa anarushwa vidato ila muwe makini maana kuna aliosoma nao watajitokeza adharani
 
Mmmhh miaka 18 na masters? Shule ya msingi miaka 7,sekondari ya kidatu cha 1 hadi cha 6 ni miaka 6,shahada ya kwanza miaka 3,na ya pili miaka 2,kwa hesabu za haraka haraka amesoma akiwa na umri wa mwaka mmoja,mmmmhhh shuhuli
 
Back
Top Bottom