Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Hufahamu kuwa Patel kwa nia ya kumpora Lundenga kampuni yake ya Rhino Agency, aliweka pingamizi mahakamani shindano la Miss Tanzania lisifanyike sababu ni hati miliki yake? Kambwaga sasa anaanza mikakati ya kumchafua. Anayechafuliwa hapa sio Mtemvu kama mnavyofikiri, anayelengwa hapa ni Lundenga na kampuni yake ya Rhino Agency kuwa haifanyi kazi yake kwa kiwango kinachotakiwa sababu ya kupokea rushwa.

Licha ya hivo hata kama wana mabifu ludenga kachemsha kuanzia kambini walishamjua kuwa atakuwa mshindi hafu hata miss hana vigezo vya kimiss pia anaonyesha ni mzee na miss world hakuna mchakachuo haiwezekani miss anaonekana mzee kilichokera watu upendeleo wa dhahiri na kuacha wenye vigezo nadhali hapo Patel hahusiki na uchakachuaji wa lundenga
 
Huu udaku wako peleka kwa Shigongo.. Mwanaume mzima una wivu wa kike

Hapa aliyeandika kikikekike ni nani ndugu kama sio wewe, ni vema ukawa unafuatilia habari kwa makini ndio uje na comment sio kila kitu unatetea kwa kuwa tu kinashabihiana na CCM huo ni upuuzi ndugu.
 
Hana undugu nae wala nini anatokwa miPOVU kwasababu MTEMVU ni mBUNGE wa CCM kwahiyo hapo anatetea CHAMA ujue kuna miJITU kwenye vichwa vyao imejaa miKAMASI tu,,,,!

Anatetea chama kwenye issue binafsi kama hii? Au inahusiana na maslahi ya 'chama chetu' kinamna?
 
Abbas Mtemvu ambaye ni mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CCM anadaiwa kutumia mbinu chafu ili binti yake aitwaye Sitti Abbas aweze kuipatia umaarufu taasisi yake ijulikanayo kama 'Mtemvu foundation' yenye ofisi zake kuu maeneo ya Mbezi beach Dar es Salaam, taarifa mbalimbali zimebainisha.

Abbas Mtemvu amedaiwa kuchukua fedha za mfuko wa jimbo la Temeke takribani shilingi milioni 65 ambazo alidai ni za kuisaidia taasisi yake hiyo ya 'Mtemvu foundation' ambayo inajinasibu kama taasisi inayosaidia watoto wasiojiweza ili kuzihonga kamati za miss Chang'ombe mwaka 2014-15, miss Temeke mwaka 2014-15 na ile ya miss Tanzania mwaka 2014-15 kwa lengo la kumpitisha binti yake huyo ajulikanaye kama Sitti ambaye alikuwa akiishi Marekani ili kutwaa mataji hayo.

Aidha kamati zote zilisimamiwa na Hasheem Lundenga ambaye alitakiwa kuhakikisha binti huyo wa Mtemvu ananyakuwa mataji hayo.Hasheem Lundenga ndiye muasisi na mwenyekiti wa kamati inayoandaa na kuratibu shughuli zote za kumsaka miss Tanzania.

Binti huyo wa Abbas Mtemvu (Sitti Abbas) ambaye ana umri wa miaka 29, alizaliwa mnamo mwezi wa tano mwaka 1985 kama alivyothibitisha mama yake mzazi na hivyo moja kwa moja kukosa sifa za kushiriki mashindano hayo.

Hata hivyo hali hiyo imepewa msukumo na Abbas akitumia fedha ili binti yake huyo aitangaze taasisi yake hiyo ya Mtemvu foundation kimataifa huku akijua kuwa binti yake hakuwa na sifa za kushiriki mashindano hayo kutokana na kigezo cha umri ambapo inatakiwa mshiriki asizidi miaka 24.

Hata hivyo katika mashindano hayo binti huyo wa Mtemvu alidai kuwa ana umri wa miaka 18 na ana shahada ya uzamili (masters) jambo ambalo lilipingwa vikali na MAMA YAKE MZAZI ambaye alithibitisha kuwa mwanaye alidanganya umri kwa kupunguza takribani miaka 11.Sitti Abbas ndiye aliibuka mshindi wa mataji ya miss Chang'ombe, miss Temeke na miss Tanzania mwaka 2014-15 hivyo kutimiza ndoto za baba yake ambaye ni Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CCM za kuitangaza taasisi ya Mtemvu foundation katika ngazi ya kimataifa kama alivyotarajia.

ccm wezoea kuiba,yani wana chakachua mpka mashindano ya kuonyesha "tupu".
 
Hufahamu kuwa Patel kwa nia ya kumpora Lundenga kampuni yake ya Rhino Agency, aliweka pingamizi mahakamani shindano la Miss Tanzania lisifanyike sababu ni hati miliki yake? Kambwaga sasa anaanza mikakati ya kumchafua. Anayechafuliwa hapa sio Mtemvu kama mnavyofikiri, anayelengwa hapa ni Lundenga na kampuni yake ya Rhino Agency kuwa haifanyi kazi yake kwa kiwango kinachotakiwa sababu ya kupokea rushwa.

Sasa kuhusu umri wa huyo binti na kuchafuliwa au ni ukweli? Maana hata hizo documents (passport na driving license) zinaonyesha ana miaka 25 tangu mwezi May. Hatujui ukweli wa aliyosema mama yake kuwa ana miaka 29 bado. Kuhusu kuhonga, hilo sijaona aliyeleta ushahidi bado, labda tutauona. Vyovyote vile, hata kama wana 'bifu' lazima tukubali kuwa tumezidi udanganyifu
 
Kama mtu ukiamua kuwa mwongo hakikisha una kumbukumbu nzuri kinyume chake ni lazima utaumbuka tu.
 
Kumchafua pia inawezekana lakini pia kutokana na huyu binti ushindi wake unatia utata

Utata upo kwenye umri, hii ni tabia yetu waafrika, lakini Mbunge kutumia pesa ya mfuko wa jimbo kuhonga haileti mantiki. Pesa ya Mfuko wa Jimbo haitoki kifala ---- namna hiyo. watu wengi wanadhani hela ya mfuko wa jimbo mbunge anatembea nayo mfukoni na anaweza kutoa anapojisikia. Pesa ya mfuko wa Jimbo iko chini mkurugenzi wa halmashauri. Mbunge anapendekeza tu zielekezwe wapi kutokana na mahitaji/maombi.
 
Miaka 29 ni sawa maana amekomaa sana hata tumbo linaonekana km kazaa mara kadhaa sura imechoka na ni lijimama bonge.
Aibu tulishazoea.
 
Yote tisa kikubwa ni kwamba ana mtoto! sasa "miss" anatakiwa awe hajazaa hivyo ni bora tu arudishe taji na aombe radhi.
 
Halafu huyu mama inakuwaje anagombea miss Tanzania?
Kwani mtu akizaa anaruhusiwa kugombea?
Tangu ajifungue mtoto wake ana miaka 7-8 hivi
 
Licha ya hivo hata kama wana mabifu ludenga kachemsha kuanzia kambini walishamjua kuwa atakuwa mshindi hafu hata miss hana vigezo vya kimiss pia anaonyesha ni mzee na miss world hakuna mchakachuo haiwezekani miss anaonekana mzee kilichokera watu upendeleo wa dhahiri na kuacha wenye vigezo nadhali hapo Patel hahusiki na uchakachuaji wa lundenga

Hata mchawi anaingia kupitia katika udhaifu wako kiafya, kama unavvyosema mapungufu ya Sitti yalijulikana tangu mwanzo, lakini ktk sisi tutoao vielelezo leo hakuna aliyefanya juhudi kama hizi kulisemea kwa nguvu zote. Baada ya kupata ushindi kelele zinaanza na tena kuhusisha uongozi wa baba yake na pesa za mfuko wa Jimbo.

Pesa za umma hazitoki kienyeji hivyo. tuseme mapungufu ya Sitti na udhaifu wa wasimamizi lakini ni umbeya kumhusisha baba yake na hongo ya pesa za mfuko wa jimbo.
 
Hapo mnaingiza bifu la lundenga na yule mwenzie watu hata hawaja mind ya babake miss hakuwa na vigezo kabisa si cha urembo wala u miss tatizo watu wame mind kuachwa wenye vigezo na yeye kupata na hapo watu waka muhusishwa na rushwa kwa system ya nchi yetu ilipofka lazma asinge kwepa lawama lundenga yeye aliambiwa ana miaka hiyo akaamini hayo magumashi yao nyuma ya pazia kumtangaza watu waka doubt ndo wakaanza kufukunyua taarifa zake ndo zikajulikana angekua na vigezo stahiki watu wasinge hangaika mana si haki kwanini kwake na sio wa mwaka jana na juzi huyo taji aliache apewe ana ye staili
 
Back
Top Bottom