Kweli mkuu miaka 29 ndio umri wake ukitaka kujua hata maziwa yake yamekomaa sana sio ya kitoto.
View attachment 193922View attachment 193931
Lisemwalo lipo lakini mapungufu katikao vithibitisho vinavyoletwa ndo vinafanya wengi wetu tuipuuzie hii habari au kuipa uzito usiostahili.
1.Mleta uzi huu kasema Sitti kazaliwa Mwaka 1985,kwahiyo ana miaka 29.Vielelezo vinasema kazaliwa 1989,kwahiyo ana miaka 25.
2.Kwenye leseni ya gari ya Sitti,fonts(maandishi) Tarehe,Mwezi na Mwaka wa kuzaliwa yanatia mashaka.(Suspicious character).Yanaonekana tofauti sana na maandishi mengine.Kwanza yanaonekana makubwa zaidi,yana rangi za peke yake zilizochanganywa.
3.Na kusikitisha zaidi,Katibu wa kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa ye anasema Sitti Mtemvu ana miaka 23,amezaliwa mei 31 mwaka 1991 katika taarifa ya kukanusha taarifa zilizozagaa kwamba Sitti ana miaka 18.
Enweiz,nafikiri Mengi yanazidi kuja.Tusubirie tuone..
Aisee huyo Sitti Mtenvu ni dada yako nini! Mbona kama imekuuma sana?
Kwahiyo huyu naye watu walikua wanalalia ili apate umiss au rushwa yake ilikua cash ya mzee tu??
Hata kudanganya nako kuna kikomo aisee, 29 (sijui 24) hadi 18?? Ndo maana akashindwa kuweka hesabu sawa kuwa umri huo kibongobongo masters level ni muujiza-haiwezekani!!! Kwa kizazi hiki cha sasa ataumbuka sana. Mzee Mtevu; utaumbuka braza.
Ila wenye akili siku nyiiingi tulishaona hata msisimko wa mashindano haya umeisha. Toka mshindi kupewa Nissan hardbord hadi "yuzid" toyata ist ni dalili tosha yatakufa kibudi siku si nyingi.
hadi driving licence ya mtoniJf noma watu hadi passport mnayo
Aliyoyasema mama ni kweli ye ndo alijifungua huyo Sitti kachakachua avuliwe taji basi yani ana jidogolisha kwa kupunguza miaka kumi na moja kwa vile walijua watahonga na kumpa bibi bomba ushindi na kuacha walio stahili
Abbas Mtemvu ambaye ni mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CCM anadaiwa kutumia mbinu chafu ili binti yake aitwaye Sitti Abbas aweze kuipatia umaarufu taasisi yake ijulikanayo kama 'Mtemvu foundation' yenye ofisi zake kuu maeneo ya Mbezi beach Dar es Salaam, taarifa mbalimbali zimebainisha.
Abbas Mtemvu amedaiwa kuchukua fedha za mfuko wa jimbo la Temeke takribani shilingi milioni 65 ambazo alidai ni za kuisaidia taasisi yake hiyo ya 'Mtemvu foundation' ambayo inajinasibu kama taasisi inayosaidia watoto wasiojiweza ili kuzihonga kamati za miss Chang'ombe mwaka 2014-15, miss Temeke mwaka 2014-15 na ile ya miss Tanzania mwaka 2014-15 kwa lengo la kumpitisha binti yake huyo ajulikanaye kama Sitti ambaye alikuwa akiishi Marekani ili kutwaa mataji hayo.
Aidha kamati zote zilisimamiwa na Hasheem Lundenga ambaye alitakiwa kuhakikisha binti huyo wa Mtemvu ananyakuwa mataji hayo.Hasheem Lundenga ndiye muasisi na mwenyekiti wa kamati inayoandaa na kuratibu shughuli zote za kumsaka miss Tanzania.
Binti huyo wa Abbas Mtemvu (Sitti Abbas) ambaye ana umri wa miaka 29, alizaliwa mnamo mwezi wa tano mwaka 1985 kama alivyothibitisha mama yake mzazi na hivyo moja kwa moja kukosa sifa za kushiriki mashindano hayo.
Hata hivyo hali hiyo imepewa msukumo na Abbas akitumia fedha ili binti yake huyo aitangaze taasisi yake hiyo ya Mtemvu foundation kimataifa huku akijua kuwa binti yake hakuwa na sifa za kushiriki mashindano hayo kutokana na kigezo cha umri ambapo inatakiwa mshiriki asizidi miaka 24.
Hata hivyo katika mashindano hayo binti huyo wa Mtemvu alidai kuwa ana umri wa miaka 18 na ana shahada ya uzamili (masters) jambo ambalo lilipingwa vikali na MAMA YAKE MZAZI ambaye alithibitisha kuwa mwanaye alidanganya umri kwa kupunguza takribani miaka 11.Sitti Abbas ndiye aliibuka mshindi wa mataji ya miss Chang'ombe, miss Temeke na miss Tanzania mwaka 2014-15 hivyo kutimiza ndoto za baba yake ambaye ni Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CCM za kuitangaza taasisi ya Mtemvu foundation katika ngazi ya kimataifa kama alivyotarajia.
leta uthibitisho sio majungu!!!!!!!
ila lakudanganyaa umri nalo ni kashfa kubwa
njaa mbaya
Awe muungwana tu arudishe taji kwa mshindi halali. Kuna source inasema ana mtoto pia wa miaka Saba. Lundenga..........Aaah
Hivi nyie ndio mlimzaa mpaka mumpangie umri wake? Wapuuzi kabisa.
Awe muungwana tu arudishe taji kwa mshindi halali. Kuna source inasema ana mtoto pia wa miaka Saba. Lundenga..........Aaah