This is Tanzania. Tunavumilia. Hatujivunii.
fedha hizo zinaingia ofisi ya Mbunge jimboni direct na halmashauri haina maamuzi juu ya fedha za CDCF usitake kupakazia halmashauri ya Temeke! Mtemvu mwizi na sasa anataka kumtumia binti yake (kijeba) ili aibe zaidiWewe unayejiona sio mpuuzi hata hujui (CDCF) ndio mfuko wa jimbo kiswahili. ungalikuwa mwelevu ungalifuatilia hivyo vifungu ambavyo vimo kwenye act ambayo link umeitoa. ndio maana nasema u mvivu wa kusoma. Soma Part III ya hiyo act kifungu cha 10 - (1) mpaka (5). Mbunge hawezi kutoa pesa za mfuko bila kuwahusisha walioorodheshwa hapo. Na kama zimefujwa maana yake hao wote wamehusika siyo Mtemvu peke yake.
fedha hizo zinaingia ofisi ya Mbunge jimboni direct na halmashauri haina maamuzi juu ya fedha za CDCF usitake kupakazia halmashauri ya Temeke! Mtemvu mwizi na sasa anataka kumtumia binti yake (kijeba) ili aibe zaidi
Bibi bomba akucheza karata zake vizuri
Tabia yako wewe mwenyewe na babako Mzee Mtemvu usitake kutupakazia Waswahili wengine!Nakubaliana na wewe. kudanganya umri ndio tabia yetu waswahili. mchezo mchafu kaucheza Sitti. tazizo ni kumjifanya tunajua kuwa Fedha za mfuko wa Jimbo la Temeke kwa kumtumia baba yeke, ndio zimetumika kufanikisha hayo. Kama kuna hujuma ahukumiwe binti aliuyepeleka Birth Cert inayoonyesha ana miaka 18. kuhusisha fedha za umma kutumika kuwezesha miss ni kuchafulia watu majina. Fedha hiyo ina kamati inayoidhinisha mradi gani ufadhiliwe haitolewi na mbunge kienyeji namna hiyo.
KUTANA NA MISS TANZANIA 2014(Kati ya
Warembo hawa hapa chini)....Sitti binti
Mtemvu...
Eti anadai ana miaka 18 tu na ana shahada ya
uzamili (Masters).....
.......................................................
HEBU TUPIGE HESABU; Kwa mfano;
Masters(Shahada ya uzamili) miaka 2,
Shahada ya kwanza = miaka 3,
Sekondari = miaka 6,
Shule ya Msingi = miaka 7.
Chekechea = Mwaka 1
2 + 3 + 6 + 7 + 1 = 19
Hii ina maana kuwa alianza chekechea na
miaka 0, "hakuwa amezaliwa"
Kabla ya 2015 tutajionea mengi.
fedha hizo zinaingia ofisi ya Mbunge jimboni direct na halmashauri haina maamuzi juu ya fedha za CDCF usitake kupakazia halmashauri ya Temeke! Mtemvu mwizi na sasa anataka kumtumia binti yake (kijeba) ili aibe zaidi
Tabia yako wewe mwenyewe na babako Mzee Mtemvu usitake kutupakazia Waswahili wengine!
SI Unit nyingine ya wagombea wa kisiasa (UVCCM) wanaodanganya umri - MASAUNISI UNIT YA WANAODANGANYA VYETI - Kihiyo
SI UNIT YA WANAOIBIWA GUEST AU NA MALAYA - Malima
SI UNIT YA WAREMBO WANAODANGANYA UMRI -?
Kwaninui asingempeleka Uarabuni akafanye kazi kama anavyopeleka (kuuza) watoto wa wenzie?:angry:
hadi pasport kafoji ningeshangaa miaka 18 huku uso umekomaa
kwi kwi kwi! bado wako zile enzi za zidumu fikra za mwenyekiti.....
dawa ya binti huyo miss ni wamgegede mpaka akome.....
Kwani mada inamuhusu ben saa8 au inamhusu sitti Abbas? Magamba acheni kutoa watu kwenye madaBen Saanane amewahi kudanganya umri wake pia...