Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

labda ni Muethopia na slogani yao hii
Travel to Ethipian and become seven years younger.
 
Jamani huu ulimwengu wa digital kudanganya mtu anaishia kujivunjia heshima tu. Afu huyo mbunge si jina lake limetajwa tajwa sana kuwa ni moja ya mapapa wa madawa ya kulevya
 
kutana na miss tanzania 2014(kati ya
warembo hawa hapa chini)....sitti binti
mtemvu...
Eti anadai ana miaka 18 tu na ana shahada ya
uzamili (masters).....
.......................................................
Hebu tupige hesabu; kwa mfano;
masters(shahada ya uzamili) miaka 2,
shahada ya kwanza = miaka 3,
sekondari = miaka 6,
shule ya msingi = miaka 7.
Chekechea = mwaka 1
2 + 3 + 6 + 7 + 1 = 19
hii ina maana kuwa alianza chekechea na
miaka 0, "hakuwa amezaliwa"
kabla ya 2015 tutajionea mengi.

umetisha ndg!
 
Kizungumkuti ni hizo hati hapo chini zinaonyesha kazaliwa 1989 mama mzazi anasema 1985 kipi ni halali?yaani mama azae mtoto halafu hasahau umri au mwaka aliozaa.

attachment.php


attachment.php


attachment.php

Wakumuamini ni mama ake tu kwa maana watu wengi tu wanaposafiri kwenda nje huwa wanadanganya umri.

Sidhani kama hakuna watu waliosoma nae kabla hajapaa ng'ambo,wakitupa hata mwaka tu waliokuwa nae shule na darasa au kidato walichokuwa tutapata jibu.
 
Hivi wakati anagombea Miss Temeke huu udanganyifu haukuwepo?
 
Ulitaka hawara yako ndio ashinde?
Msitetee upuuzi wa ajabu unaocost taifa kisa tu anayeongelewa ananasaba na ccm. Huyo binti atawakilisha taifa sio chama. Atatakiwa kutuwakilisha kimataifa. Hivyo kumpa sifa kwa uwezo wa kushinda kwa fraud ni ujinga ndio maana nchi hii imenasa haisogei mbele. Huyu binti hata kwa hesabu za kawaida tu amechemka kuchakachua embu ona kama anamasters angetakiwa angalau above 19 tena hapo awe ameanza chekechea miaka 0. Mamake mzazi pia kasema mwanae anaumri wa 29 nyie kina nani mnatetea uozo huuu? Hii sio issue ya vyama ni ya kitaifa
 
Nifafanulie..anawauza wapi..sorry kama hutomind

Hiyo mtemvu foundation inawatafutia mabinti kazi za u- house girl huko dubai anawapeleka kwa kisingizio cha kupunguza tatizo la ajira, kuna kiasi ch hela unatoa halafu unapewa hiyo nafasi, ila yanayowakuta huko ni majanga wengi wanaishia kuuzwa kwenye madanguro. Ndio zawadi aliyompa mwanae aindeshe C.EO SITTI
 
CCM ni ukoo wa panya. Baba (Abass Mtenvu) mwizi na mtoto (Sitti) mwizi
 
Msitetee upuuzi wa ajabu unaocost taifa kisa tu anayeongelewa ananasaba na ccm. Huyo binti atawakilisha taifa sio chama. Atatakiwa kutuwakilisha kimataifa. Hivyo kumpa sifa kwa uwezo wa kushinda kwa fraud ni ujinga ndio maana nchi hii imenasa haisogei mbele. Huyu binti hata kwa hesabu za kawaida tu amechemka kuchakachua embu ona kama anamasters angetakiwa angalau above 19 tena hapo awe ameanza chekechea miaka 0. Mamake mzazi pia kasema mwanae anaumri wa 29 nyie kina nani mnatetea uozo huuu? Hii sio issue ya vyama ni ya kitaifa

Nakumbuka tulishawahi kuondolewa kwenye mashindano ya soka la vijana kwa kosa la kudanganya umri wa wachezaji
 
hadi driving licence ya mtoni
Nakwambia jf ni zaidi ya intelligence institute nafikiri imekuwa moja ya source ambayo inawarahisishia sana wanausalama hususani pale wanapo kwama kupata dodoso tu za kuanza kufanya shughuli zao
 
Ameshindwa kwa kesi ipi maana nayojua niya uchaguzi

Hufahamu kuwa Patel kwa nia ya kumpora Lundenga kampuni yake ya Rhino Agency, aliweka pingamizi mahakamani shindano la Miss Tanzania lisifanyike sababu ni hati miliki yake? Kambwaga sasa anaanza mikakati ya kumchafua. Anayechafuliwa hapa sio Mtemvu kama mnavyofikiri, anayelengwa hapa ni Lundenga na kampuni yake ya Rhino Agency kuwa haifanyi kazi yake kwa kiwango kinachotakiwa sababu ya kupokea rushwa.
 
nimemaliza nae form6 2007 haise haiwezekani nimzidi miaka 11

Kuna dalili za Uchizi zinaendelea huko Miss TZ kama unayoyasema ni ukweli.

form 6 umalize 2007,ina maana huyu binti alikuwa ana miaka 12 wakati anamaliza form 6,kama tukiamua kumuamini?kwa hiyo alianza form one akiwa na miaka 9, na std 1 akiwa na miaka 2?
 
Hyo ndo ccm na bado mtaona mengi mana hata baba yake nae nackia ana umri wa miaka 35 tu
 
nimemaliza nae form6 2007 haise haiwezekani nimzidi miaka 11

Shule ipi mkuu?na combination gani?nakumbuka mbunge wa Temeke kipindi cha nyuma(Kihiyo)aliulizwa mahakamani ulikuwa combination gani alijibu kasahau ngoja akamuulize mama yake Morogoro.
 
Hufahamu kuwa Patel kwa nia ya kumpora Lundenga kampuni yake ya Rhino Agency, aliweka pingamizi mahakamani shindano la Miss Tanzania lisifanyike sababu ni hati miliki yake? Kambwaga sasa anaanza mikakati ya kumchafua.

Kumchafua pia inawezekana lakini pia kutokana na huyu binti ushindi wake unatia utata
 
Muda muafaka kwa Hashimu Ludenga na kundi lake lote la wahuni ambao kazi yao kubwa ni kuwa makuhadi wa watoto wa maskini wanao shiriki mashindano kwa vigogo kuipa kisogo na kuachana nayo kabisa uandaaji wa haya mashindano. Tukumbuke kashfa ya Tanga. Pia miss Tanzania 2014 kwa utashi wake aachie ngazi, aombe msamaha na ajutue kosa alilolifanya ili ajipange upya kwa maisha mengine. Asijaribu kuendelea mbele sababu maji yamekwisha mwagika na dunia ni kijiji. Nakumbuka niliwaona wasichana warembo sana wakiwa wanajifua kwenye bar moja inaitwa scopion ipo mbagala kwa mbiku ili kumpata miss mbagala then miss temeke. Inamaa majina yalikatwa ili apatikane huyu miss temeke, dhambi sana
 
Nyie watu wageni miss Tanzania? mzee mtemvu ahonge pesa ili bintiye ashinde kwani hajui kuwa kigezo kikuu cha kushiriki na kujihakikishia ushindi ni kwa binti kugegeduka?
Usicheze na roho ya kifisadi ndugu , watu wapo tayari hata mke kuliwa sembuse mtoto asiye na bikra zote.
 
Back
Top Bottom