TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

Status
Not open for further replies.
Tughe wanajipendekeza" Wafanyakazi wanalia na PAYE wao waongelea mshahara wa Rais ambao haukatwi hata kodi. Aibu yao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naona uetetezi huu wa TUGHE toka kwa huyu mpuuzi una sura 2
1.Udini ni mwislam mwenzake .
2.Kujipendekeza akumbukwe ila anasahau kwamba JK ni lala salama kwake .
 
TUGHE Mnashangaza kweli,yaani Matatizo ya Wafanyakazi yamejaa Chungu mzima mmeshindwa kuyatetea kwa maslahi ya Wafanyakazi,ila hili la Kumshtaki Zitto tena kosa lenyewe la kutaja Mshahara wa Viongozi wa Wananchi mmeona Ndo issue kubwa ya Ku deal nayo?
 
Kama mishahara wa viongozi wa serikali inatokana na kodi za wananchi bila basi kuna tatizo gani kufahamu wanacholipwa?
 
Wananchi ndo mwajiri wa rais lazima waufahamu tena sio kufahamu tu tena inatakiwa wananchi wakubaliane na kiwango anacholipwa rais, mbunge, diwani na wengine wote wanaoomba kura kwa wananchi sio wanajipangia wanavyotaka.
 
Tuna haki ya kujua huyo anaeomba kura zetu ili tumuajiri atakuwa ni mzigo na hasara kwa kiasi gani kwetu.....
Unajua maana ya kuwa kiongozi wa umma? Lazima umma ujue unaghalamika nini kwako ili wa feel the pain na kuweza kukuwajibika kila inapobidi.
Yaani miaka ya leo bado mnataka kujifanya ninyi ni akina Tola Mla Gizani halafu sisi watoto tulio lala?
 
Narudia tena kuufahamu tu haitoshi wananchi wanatakiwa pia wawe nauamuz juu ya mshahara wa rais sio kujilipia wanavyotaka
 
Katbu wa tughe na Chabruma wote maparata. Mwende mkapate elimu bora ktk shule za kata Inayocmamiwa na parata mwenzenu Murugo il mpate knowledge ya nn cha kusema wapi. Kwan kikwete ni rais wa ccm au wa Tanzania. Mburula nyny.
 
Nilisoma hapa juzi, mishahara ya maraisi kama Obama wa USA, Kenyata, Msumbiji, Uingereza, China na nyingine nyingi hata nchi inayoitwa ya kidikteta Zimbabwe yote imewekwa wazi.
Swali ninalojiuliza ni kama hao walioiweka hiyo mishahara wazi nao walisitahili kushikiwa kama TUGHE wanavyotaka iwe kwa Mh. Zitto.
Ndio maana nchi hii haitakaa iendelee na aina ya watu wanaoitawala kwa sasa, kwa nini mshahara uwe siri wakati umeutolea jasho. ....nikijijibu hapa ni kuwa usiri huu ni kwa sababu (mfano) waziri mkuu kwa hakika hasitahili 24m ukilinganisha na anachoifanyia nchi hii kama ilivyo kwa mwalimu anaye shape mustakabali wa taifa hili asivyostahili 250,000/-!


Ni watanzania wachache wenye uwezo wa kupambanua mambo hasa kwa maslahi ya wana wao na familia zao. Mtu analeta na kukumbatia ushabiki wa kichama badala ya maslahi ya taifa kiujumla. Wanasema ashtakiwe kwa kuutaja "hadharani", walitaka autamkie kwenye chungu? Hakuna mantiki yoyote ya kuufanya siri zaidi ya wizi na unyonyaji kwani hata sheria ya kile wanachokiita "usalama wa taifa" ktk hili ni usanii mtupu!
 
Huyu jamaa wa TUGHE mpuuzi sana ndio maana mimi inafsi namchakato wa kumwandikia mwajiri wangu barua kumweleza kwamba najitoa TUGHE na asitishe michango yangu kwao.
Hoja ya Zitto kwenye hii mishahara ya hawa viongozi si kuitaja tu bali kueleza kwamba pamoja na ukubwa wa mishahara hiyo kama alivyoitaja HAIKATWI KODI.
Sisi wengine tunaopekea viji laki tunakatwa kodi nyingi sana lakini hawa wakubwa hawakati, na pia katiba ya sasa hairuhusu kupunguza mshahara wa Rais, sasa akiingia madarakani Rais mzalendo takeyetaka kulipwa kidogo katiba hii ya sasa hairuhusu.
Hoja kuba ya zito ilikuwa hivyo ila kwangu si vibaya kwa wananchi kufahamu mishahara ya viongozi wao
 
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?

na kodi ina katwa kwa waliopiga kura tu???!!
 
Dah! Nadhani kujua mshahara wa rais ni muhimu sana, ameingia madarakani kwa kupigiwa kura na wananchi, kwa nini mshahara wake uwe siri?
 
Rais kaajiriwa na nani? Kapigiwa kura kupewa urais na nani?

Muajiri ana haki ya kujua mshahara wa muajiriwa wake au hana?
 
Huyo katibu wa TUGHE hovyo kabisa. Swali je rais anatawaliwa a sheria ya kazi na mahusiano kazini? Je anamkataba wa ajira kwa mujibu wa hiyo sheria hapo?je mwajir wake nani?je mwajiri ni makosa kujua mshahara wa mwajiriwa wake? Mi naona yeye ndio aliekurupuka na hatafuti umaarufu usio na msingi balianakujipendeleza kusiko na msingi.
Istoshe,sidhan kama zito alitaja kwaajili ya wafanyakazi bali kwajili ya watanzania wote. Km hiyo is ajenda ya wafanyakazi bas cc wananchi tusio na kazi niajenda yetu
 
Huyo katibu wa TUGHE hovyo kabisa. Swali je rais anatawaliwa a sheria ya kazi na mahusiano kazini? Je anamkataba wa ajira kwa mujibu wa hiyo sheria hapo?je mwajir wake nani?je mwajiri ni makosa kujua mshahara wa mwajiriwa wake? Mi naona yeye ndio aliekurupuka na hatafuti umaarufu usio na msingi balianakujipendeleza kusiko na msingi.
Istoshe,sidhan kama zito alitaja kwaajili ya wafanyakazi bali kwajili ya watanzania wote. Km hiyo is ajenda ya wafanyakazi bas cc wananchi tusio na kazi niajenda yetu

BINAFSI SIKUJUA KAMA RAIS NI MWANACHAMA TUGHE...SIKUJUA NDO UYO WA TUGHE KATUSAIDIA KUJUA ILO...IVI WATU WAMESOMA SHERIA ZA WAPI?HATA IBARA YA 101 ANAYOKARIRI JAMAA WA TUGHE INAJIELEZA VIZURI KTK IBARA NDOGO YA 2 KIPENGELE CHA (d).... Namhakikishia bwana tughe, zitto anashtakika ila hatoshindwa ktk kujitetea ktk mashtaka hayo...anayetaka aache kelele atangulie mahakamani...
 
Hao THUGHE ni wapuuzi watupu! wameshindwa kutetea maslahi ya wafanyakazi wanakimbilia kulinda mishahara ya wakubwa isitajwe! hivi kweli inaingia akilini JK alipwe milioni 34, Pinda milioni 26 kwa mwezi wakati mtumishi chini ya TUGHE analipwa 150,ooo/= kwa mwezi; na TUGHE wanona hilo sawa!!

Hivi TUGHE wanajua kwamba mshahara wa David Cameron au Barack Obama unaweza kuujua kutoka kwenye tovuti!? Hivi huko TUGHE kuna watu wa aina gani?! walevi au wavuvi tu?!
Let them shoot the first salvo!

Yaani hawa viongozi wa THUGHE wangesikiliza angalau kidogo hii Hotuba hii ya JK juu ya Watumishi wakati ule wasingekuja na Hoja hii. Ebu sikiliza kidogo halafu fikiria kwa makini hiki wanachokifanya hawa TUGHE ni sahihi au wanaendelea muendelezo wao wa kuwasaliti wanao waongoza?
 

Attachments

kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
Wewe ni ------- kweli una akili zile za ujima.Ina maana kama hukumpigia kura ndo siyo raisi wako.Nenda kapate tiba ya minyoo kwani imeshaathiri ubongo wako.Unamuona rais kama exception figure..
 
CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Nchini (TUGHE) kimetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa Rais na Waziri Mkuu hadharani.

========

Ally Kiwenge anajikomba ili apewe ukuu wa wilaya kwani Rais kaajiriwa na wananchi ambao lazima wajue anacholipwa! Bila aibu anataka wabunge wapiganie malipo ya wafanyakazi bila kutaja malipo ya rahisi?! Nchi zenye uwazi malipo ya viongozi uwekwa hadharani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom