Magurudumu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,748
- 490
Jibu liloenda shuleHivi, mwajili wako kujuwa mshahara wako ni dhambi..??? Kama wewe umeamua muajili wako awe hadhara, basi hadhara lazima ijuwe mshahara wako.....
NB: Raisi kaajiliwa na hadhara
Jibu liloenda shuleHivi, mwajili wako kujuwa mshahara wako ni dhambi..??? Kama wewe umeamua muajili wako awe hadhara, basi hadhara lazima ijuwe mshahara wako.....
NB: Raisi kaajiliwa na hadhara
Wewe Hujui au umeamua kutupotezea muda ?
mheshimiwa uko sahihi kabisa,hawa TUGHE ni wapuuzi kupita kiwango,kuna malalamiko mlengi kwenye serikali za mitaa kuhusu mmishahara na ufisadi mwingi uko huko,nashangaa hawaongelei hili wanaongelea kutajwa mishahara ya rais na waziri mkuu,angalia kweny mtandao utaona mishahara ya viongozi wakubwa duniani iko wazi,kwanini sisi tufiche,wizi mtupu,dhambi kubwa ndani ya CCM ni kusema ukweli,wako tayari kukuua kisa umeongea ukweli,MAFISADI HAWAPENDI UWAZI.tughe mmechemka teteeni mishahara mibovu na malimbikozo ya walimu acheni yasiyowahusu.Hao THUGHE ni wapuuzi watupu! wameshindwa kutetea maslahi ya wafanyakazi wanakimbilia kulinda mishahara ya wakubwa isitajwe! hivi kweli inaingia akilini JK alipwe milioni 34, Pinda milioni 26 kwa mwezi wakati mtumishi chini ya TUGHE analipwa 150,ooo/= kwa mwezi; na TUGHE wanona hilo sawa!!
Hivi TUGHE wanajua kwamba mshahara wa David Cameron au Barack Obama unaweza kuujua kutoka kwenye tovuti!? Hivi huko TUGHE kuna watu wa aina gani?! walevi au wavuvi tu?!
Let them shoot the first salvo!
CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Nchini (TUGHE) kimetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa Rais na Waziri Mkuu hadharani.
========
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
Hao THUGHE ni wapuuzi watupu! wameshindwa kutetea maslahi ya wafanyakazi wanakimbilia kulinda mishahara ya wakubwa isitajwe! hivi kweli inaingia akilini JK alipwe milioni 34, Pinda milioni 26 kwa mwezi wakati mtumishi chini ya TUGHE analipwa 150,ooo/= kwa mwezi; na TUGHE wanona hilo sawa!!
Hivi TUGHE wanajua kwamba mshahara wa David Cameron au Barack Obama unaweza kuujua kutoka kwenye tovuti!? Hivi huko TUGHE kuna watu wa aina gani?! walevi au wavuvi tu?!
Let them shoot the first salvo!
yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Nchini (TUGHE) kimetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa Rais na Waziri Mkuu hadharani.
========