TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

Status
Not open for further replies.
Mi pia nawashangaa sana hao wanaojiita waajiri, na wanaotaka kuambiwa mishahara ya waliowaajiri. Hivi inakuwaje unamwajiri mtumishi halafu unasubiri mtu mwingine akwambie mshahara wake. Kama mnajiita waajiri (ambayo ni kweli kwa namna moja ama nyingine), si mlipaswa kutamka kiasi gani atalipwa huyo mwajiriwa. Kwani hao vilaza mnaowapeleka bungeni si ndio wanaopitisha hiyo mishahara. Kwani wao si wanaipitisha kwa niaba yenu. Basi kwa hoja zenu maana yake wanaopaswa kuujua mshahara wa Rais na pm ni wale tu waliompigia kura maana hao ndio waliomwajiri. Karibuni na mitusi yenu, maana najua mishipa ya Shingo itawasimama na mapovu yatawatoka

Kwa jinsi ulivyojibu hii posst ninauhakika wewe ni wa KIKE maana auelewi haya unachojadili. Mlalia tumbo mkubwa wewe kuna siri gani kujua mshahara wa Raisi?
 
Eti uyu nae anatetea wafanyakazi kweli nilitaraji ataweka wazi sheria inayotakiwa ashitakiwe
au ni unafiki wa kutaka kuijkomba kwa wakubwa.
Kodi yangu inatumika kumlipa why nisijue anakwapua ela ngapi?
Ama kweli common sense is sometimes uncommon
 
TUGHE watofautishe kati ya waajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi, na wanasiasa ambao ni waajiriwa wa wananchi. TUGHE wangekuwa na malamka ya kumshitaki Zitto kama angekuwa ametaja hadharani mishahara ya watumishi katika sekta ya umma au binafsi, lakini sio kundi la wanasiasa ambao ni waajioriwa wa wananchi.
mshangao mkubwa! kama jk kaajiriwa na hadhara, mshahara anapangiwa na nani. kawaida mwajiri ndo anayepanga mshahara wa mwajiriwa. sasa mnaposema wananchi ndo wamemwajiri jk, vipi wasimpangie kiwango cha mshahara wake?
 
hakuna aliyemwajiri jk. mnajipa maujiko ya bure tu. kama mngekuwa mmemwajiri nyie, mshahara wake mngekuwa mnaujua
 
TUGHE watofautishe kati ya waajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi, na wanasiasa ambao ni waajiriwa wa wananchi. TUGHE wangekuwa na malamka ya kumshitaki Zitto kama angekuwa ametaja hadharani mishahara ya watumishi katika sekta ya umma au binafsi, lakini sio kundi la wanasiasa ambao ni waajioriwa wa wananchi.
mshangao mkubwa! kama jk kaajiriwa na hadhara, mshahara anapangiwa na nani. kawaida mwajiri ndo anayepanga mshahara wa mwajiriwa. sasa mnaposema wananchi ndo wamemwajiri jk, vipi wasimpangie kiwango cha mshahara wake?
 
Bora wabadilishe jina la chama chao na kujiita Chama cha Mamburula.
 
Watu wengine wanaudhi kweli; Rais aliomba ajira serikalini lini?

Any president of any nation under the sun is accountable to the tax payers. Remember this is not a private office but rather a public service.
Tax payers Have the right to know how their money is being used including salaries of their leaders be it Kikwete or Uhuru and even Obama.
 
Nimesoma comments za watu kwenye topic inayohusu TUGHE kumlalamikia Zitto Kabwe,na comments za mtu anayejiita CHABRUMA zimenichefua kweli,labda Tanzania imejazwa na watu wenye upeo Kama wa huyu bwana ambaye hajitambui kabisa,nadhani tunaweza kumsaidia ndugu yetu huyu kwa kulitumia jina CHABRUMA kumaanisha mtu aliyeenda shule akajua kusoma na kuandika ila hajui kufikiria hata kidogo na hajitambui hata kwa chembe ili ku raise concern ya namna Elimu yetu kwamba sio tu inatengeneza watu wasiojua kusoma na kuandika Bali pia kundi kubwa la wale wanaojua kusoma na kuandika hawajui kufikiria kabisa,naomba kuwasilisha hoja!
 
Mkuu, yaelekea umelewa viroba asubuhi asubuhi. haiwezwekani mwanaume mzima kumwaza mwanaume mwenzake usiku kucha
 
hii tabia ya watu wa kinondoni ya kuacha kujadili hoja na badala yake mnajadili watu ni hatari sana
 
Malebo huyu jamaa hats mimi post zake zinanishangaza ila kwakuwa nimeona no -------- nikaamua kupotezea tu.
 
yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. biniriafsi namlaumu sana ZITTO kwaoja move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
Wananchi ndo waliomwajiri Kikwete na wana haki ya kujua mshahara wake. Huna haja ya kumuita mtu mburula; jenga hoja usijeonekana mburula!
 
Mnahangaika na watu
wa lumumba wasiojielewa.kama chabruma ni id ya Jakaya sitashangaa sana
kufanya vile kwa kujitetea kwenye hilo li kitumbua lake(japo kiukweli si
vyema).ila kama ni mlalahoi kama walivyo wabongo wengi basi atakuwa
amevurugwa vibaya sana.

mkuu, hayo ni mawazo yako na wala hakuna atakayekushurutisha kuamini waaminiyo wenzako
 
mleta mada umevurugwa asubuhi asubuhi nn acha pombe za asubuhi ni mbaya sana

Mkuu M 23, hawa vijana wa Kinondoni naona wamechanganyikiwa. wanaacha kuhoji mambo muhimu kwenye chama chao kama matumizi ya fedha wanazopata, wanahangaika kuwadili members wa JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom