TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

Status
Not open for further replies.
TUGHE imetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa rais na waziri mkuu hadharani.

Nilipokuwa nasoma hizi habari Zitto akiropoka kujitafutia umaarufu zaidi ya alionao nilishangaa sana.

Hivi TUGHE ni chama cha Wafanyakazi/wana-taaluma gani?

Serious hata angekuwa RAIS wa CHODAWU (no disrespect) asingeweza kutoa kauli hii ya STONE AGE.

Huyu RAIS wa TUGHE is an OBTUSE PERSON LIVING IN A DIFFERENT PLANET!
 
yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
mkuu kwahiyo kwa upeo wako rais kaajiriwa na mungu?kumbe bado tuna safari ndefu.
 
TUGHE- Wanamatatizo sisis wananchi ndiyo boss yeye ni mfanyakazi namana gani hapa...
 
mkuu kwahiyo kwa upeo wako rais kaajiriwa na mungu?kumbe bado tuna safari ndefu.

yani kuna wananchi hawajielewi hawajui kama raisi analipwa kupitia kodi zetu bila kumpa kura huyo mtu hana nafasi. wananchi ndio afisa mwajiri wa raisi ndo maana anafanyiwa interview kabla ya kuchaguliwa wewe fungua macho.
 
bila uwazi nchi aiwezi kusonga mbele
uwazi unatakiwa kwa kila kitu hata mshahara wa rais sio siri
only in Tanzania
kwanini iwe ni siri wakati ni kodi zetu?
nchi tajiri hicho kitu kiko wazi kwanini Tanzania?
hata jaji a hakimu atakaetoa huku ya hii kesi hawezi kuharamisha usiri wa mishahara
Tughe nao vimbele mbele hawana jipya
 
JK alipotangaza mshahara wa madaktari(wanachama wa TUGHE) pale Diamond Jubilee mbele ya wazee wa CCM; TUGHE walikuwa wapi kusema ujinga huu?
 
yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
Kati ya mburula wote wewe kiranja wao!nyambaf
 
ni rais wa wote sii wa waliompigia kura tu. Kwani huduma hupeleka kwa makundi pia?
 
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?
Kwa yeye ni rais wa waliompigia kura au raisi wa Tanzania..??? If this is the kind of arguments you have, nina mashaka na U-great Thinker wako....

Tatizo lenu mmeweka cha mbele badala ya nchi....

yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.
Hivi unafahamu kuwa rais kaajiliwa hadi na wale wa milembe..??? Kwa nini aweke madaktari pale..??? Kwa nini awajengee hospitali ilee..??? Kwa nini watu wasome jinsi ya kuwatibu wale wa milembe...????

Ingekuwa akili kiungo cha uzazi, WEWE UNGEKUWA HUZAI

TUGHE NAO HOVYO KABISA, MISHAHARA YA WATAWALA WANAOTEGEMEA KURA ZETU INAKUWA SIRI ILI IWEJE? Hata wakiiba tusijue siyo? Mbona mishahara ya Wabunge imetajwa na hata Viongozi wa Cdm hasa katibu mkuu mishahara yao iko wazi na hao Tughe hatukuwasikia? Shame on them.
 
yaani mburula kama wewe umwajiri rais? Kichekesho sana. .

sasa kaajiriwa na nani? Yani ungejua jinsi jina la chabruma linavyo heshmka kwenye history ya wangoni wala usingeltumia. Unatetea hata visivyoteteeka.
 
kwani Kikwete ni mwanachama wa Tughe. wameacha kazi ya kutetea wafanyakazi wanahangaika na wanasiasa
TUGHE imetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa rais na waziri mkuu hadharani.

Nilipokuwa nasoma hizi habari Zitto akiropoka kujitafutia umaarufu zaidi ya alionao nilishangaa sana.
 
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?

raisi anaishi na kufanya kazi zake kwa kodi za wananchi wote. mwajiri wa rais ni wananchi wote.
 
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?

masikini nimesikitika, yani tuna safari ndefu kufika tunapopataka halafu tunataka maendeleo na mabadiliko kwa fikra za namna hii tutafika kweli. nimeumia jamani.
 
Hivi, mwajili wako kujuwa mshahara wako ni dhambi..??? Kama wewe umeamua muajili wako awe hadhara, basi hadhara lazima ijuwe mshahara wako.....

NB: Raisi kaajiliwa na hadhara
Nilisoma hapa juzi, mishahara ya maraisi kama Obama wa USA, Kenyata, Msumbiji, Uingereza, China na nyingine nyingi hata nchi inayoitwa ya kidikteta Zimbabwe yote imewekwa wazi.
Swali ninalojiuliza ni kama hao walioiweka hiyo mishahara wazi nao walisitahili kushikiwa kama TUGHE wanavyotaka iwe kwa Mh. Zitto.
Ndio maana nchi hii haitakaa iendelee na aina ya watu wanaoitawala kwa sasa, kwa nini mshahara uwe siri wakati umeutolea jasho. ....nikijijibu hapa ni kuwa usiri huu ni kwa sababu (mfano) waziri mkuu kwa hakika hasitahili 24m ukilinganisha na anachoifanyia nchi hii kama ilivyo kwa mwalimu anaye shape mustakabali wa taifa hili asivyostahili 250,000/-!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom