TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

Status
Not open for further replies.
yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.

we ndo mbwigila la mwisho ....hujui kwamba rais na mawazir wote wameajiriwa na wananchi ???waweza nijibu kuwa serikal ni nn??? fisad mchanga acha kutumia ubongo wa nyuma kuwaza kabla ya kujamba ...tanzania ya leo hakuna watu wa mawazo mgando kma wewe !!hamna siri tena .....big up zito jembe la ukwel kwetu masela tuliosoma sio hao mambwigila wanaoendeleza hisia za ccm za mwaka 67!!!!!!!
 
Sikujua kumbe TUGHE ni mbumbu wa Sheria, wao kila siku wanatangaza mishaara na kuwaombea wananchi na wafanyakazi kuongezewa mishahara , iweje mishahara iwe bubu, ni bora tukaijua tukaimonitor ili kuzuia ufisadi ambao unaweza kutokea, mbona Mwalim Nyerere aliwahi kuutaja. Kwani akiutaja wananchi wote watahamia kwake? TUGHE waache kujipendekeza Rais anamaliza muda wake vyeo vya uDC, URPC haupo tena. Zitto Kaza buti mwanangu tuwaanike mafisadi uchwara
 
masikini nimesikitika, yani tuna safari ndefu kufika tunapopataka halafu tunataka maendeleo na mabadiliko kwa fikra za namna hii tutafika kweli. nimeumia jamani.

Tughe ni chama ambacho kinaongozwa na viongozi ambao ni mafisi kwani Hawana faida yoyote kwa wafanyia kazi
zaidi ya kula na kufanyia ufisadi mkubwa kwa pesa za wanachama kuna ubaya gani kutaja Mashahara wa Rais au pinda
acheni kujipendekeza. Mafisi wakubwa mnashindwa kutetea wafanyia kazi mnatetea viongozi
 
]yaani mburula kama wewe umwajiri Rais?[/B] kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.

Inasikitisha sana mtu kama wewe mpaka leo hujui mwajiri wa Rais,hii inatuonesha hata ww mwenyewe hujielewi yaani
upoupo tu ilimradi pakuche uamke ule kisha ulale tena.Nakushauri achana na maisha hayo coz maisha hayo ni yamifugo mf.ng'ombe,mbuz,kuku,bata n.k.
 
mil 34 na 26 x12months x 10years jamani is too much., tanzania tumekwisha watu wanakula guud tym sisi kelele tu., itajeni bana labda wataona haya itapunguzwa.,
 
Ally Kiwenge ni mfano halisi wa viongozi mamluki katika vyama vya wafanyakazi.
Wafanyakazi wa serikali kuu na afya ni miongoni mwa wafanyakazi wenye hali ngumu za maisha kwa kulipwa ujira mdogo sana kulinganisha na sekta na taaisi nyengine za umma. Madaktari wao wana unafuu kwakuwa wanapigana kivyao lakini watumishi wengine wa sekta ya afya wana hali ngumu!
Wafanyakazi wa serikali kuu wanakimbilia kwenye taasisi za umma na local government sasa huyu Kiwenge anajiropokea tu kama vile mambo yao ni mazuri.

Na huyu Kiwenge anatuhumiwa kushiriki kuwahujumu wafanyakazi kwa kushiriki kupitishwa kwa sheria ya fao la kujitoa baada ya kuhudhuria kikao cha utatu kati ya serikali, ATE na TUCTA na yeye akiwa muwakilishi wa TUCTA akasaini posho ya sh.500,000 na kuondoka akaacha kikao kinaendelea bila uwakilishi wa wafanyakazi!
 
Hivi kumbe kazi ya tughe ni kuzuia mishahara ya wa kubwa isiwekwe hadharani!katibu amechemka mimi nilitegemea yeye awe mbele kuhakikisha wanachama wa tughe wanaboreshewa mishahara yao na mazingira ya maeneo yao ya kazi. Sio kukurupuka na kudandia kazi za watu wengine Rais si ana wasemaji wake.
 
kwani wananchi wote ndo wamemwajiri Rais? Ni wale tu waliopiga kura na kumchagua JK ndo wanapaswa kujua mshahara wake na si wananchi wote. yaani hata machadema nanyi mnajiita ni mwajiri wa JK?

CDM hawalipi kodi?

Rais anafanyia kazi CCM au nchi?
 
yaani mburula kama wewe umwajiri Rais? kichekesho sana. binafsi namlaumu sana ZITTO kwa move aliyoianzisha tena kwa maslahi yake binafsi ndani ya chama.

wewe ndiyo unasaidia kuchakua kura nini? watz tunaamini rais aliomba kura kwa watz mshahara wake lazima tujue maana ni kodi zetu si mama ntilie
 
Katibu wa Tughe amesema mshahara ni siri ya mwajiri na mwajiriwa, ok mwajiriwa ni rais na mwajiri ni nani kisheria? Ni kifungu gani cha sheria inakataza wananchi wasifahamu mshahara wa rais na waziri mkuu wa JMT? Kwanza wanalipa kodi ya mapato? Au wanapokea tu mishahara mikubwa.
 
Rais kaajiriwa na nani? Kapigiwa kura kupewa urais na nani?

Muajiri ana haki ya kujua mshahara wa muajiriwa wake au hana?

jaman mimi hizi namba za mishahara ya wakubwa hawa zimenitia huzuni mno. yan watu wachache wanaishi peponi kwa kodi za mafukara wakati mafukara hao vitoto vyao vinajinyea tu hovyo huko vijijini, kweli dunia hadaa binadamu shujaa!!!
 
ok wakubwa, jirundikieni tu hayo mapesa wakati mafukara vijijini wanaangamia. lakini jueni hata mngekula vipi yote bure tu, ukishindilia sana tumbo sana sana unaishia tu kuvimbiwa, kujamba ushuzi unaonuka na kunya mav. mengi tu basi. na mwisho wa usiku utakufa tu kama atakavyokufa fukara na kuoza tu kama kawaida. ni heri mngewafikiria na mafukara pia, mkagawana nao kidogo na nyie mkala kiasi. mwisho wa siku maisha hayana maana sana kihivyo. Mobutu Seseseko Nguku Wa Zabanga, Sani Abacha, Sadamu Hussein, Ghadafi nk walijirundikia mapesa kibao leo wapo wapi? maisha ya kimaskini ya Mwalimu Mkuu Mzee Nyerere na ya Mzee Madiba yana maana kubwa sana kwa humanity kuliko ya hao majuha yaliyokula hadi kuvimbiwa na kuishia kunya mav mengi tu bure. maisha ni ya kupita tu jaman, tuache ubinafs ulikithiri...hili la mishahara mikubwa ya kuogofya katikati ya malofa wa kutupa inanikumbusha kitabu kimoja cha enzi hizo kiliandikwa....."Tumbo Niachie Nimwekee Mandawa Uji"....lakini wapi, tumbo lilikataa kabisa na mwishowe Mandawa hakuwekewa uji. mnakula, mnavimbiwa kisha mnatapikia kwenye ndala(zilizotoboka) miguuni pa walalahoi..aibu yenu mafisadi!!!!
 
mambumbu kama huyo kiongozi wa TUGHE kamwe hawawezi kutetea wanachama wao. wako kwa kuwaibia wafanyakazi tu
 
Wanaopinga mishahara yao kujilikana ni wezi, awe rais, waziri mkuu au hata hao vibaraka TUGHE

isitoshe kwa nn wakubali kutangaza viwango vya mishahara ya wafanyakazi wanyakazi wengine wa serekali ione aibu kutangaza mshahara wa pm na jk!
 
CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Nchini (TUGHE) kimetaka Zitto ashtakiwe kwa kutamka mshahara wa Rais na Waziri Mkuu hadharani.

========

TUGHE=CCM endeleeni kukumbatia nyuki. Ipo siku mtatoa majibu sahihi.

HAKUNA JIWE HATA MOJA LITASALIA PASIPO
KUTIKISIKA!!!!!
 
jaman mimi hizi namba za mishahara ya wakubwa hawa zimenitia huzuni mno. yan watu wachache wanaishi peponi kwa kodi za mafukara wakati mafukara hao vitoto vyao vinajinyea tu hovyo huko vijijini, kweli dunia hadaa binadamu shujaa!!!

Ndiyo maana hawataki zijulikane, wanajua zikijulikana wananchi watastuka halafu itakuwa kazi kuwapoza.

Jana nilikuwa naangalia Book TV, kuna jamaa kaandika kitabu na CEO wa "Whole Foods" kinaitwa "Conscious Capitalism". Unaambiwa Whole Foods wamejiwekea system, kwanza kabisa wamefanya mshahara mkubwa kabisa wa CEO usizidi mara 19 ya mshahara wa chini kabisa. Maana yake mshahara mnono sana wa CEO ulipungua halafu mshahara mdogo sana wa watu wa chini ukaongezeka, halafu wamefanya transparency ya hali ya juu, kila mtu anajua mshahara wa kila mtu mwingine kwenye kampuni.

Sasa hii ni kampuni ya mabepari wanaofuatilia "Conscious Capitalism" wameweza kufanya hili sisi tunaojiita wajamaa mbona hatuwezi? Au ni ujamaa jina tu?

Conscious Capitalism: Liberating the Heroic Spirit of Business: John Mackey, Rajendra Sisodia, Bill George: 9781422144206: Amazon.com: Books

51UNd1BbwkL._SY344_PJlook-inside-v2,TopRight,1,0_SH20_BO1,204,203,200_.jpg
 
“Katibu Mkuu wa Tughe Taifa, Ally Kiwenge
alisema Dar es Salaam jana kwamba pamoja na
hatua hiyo kukiuka sheria ya kazi na uhusiano
kazini inayosema mshahara ni siri ya mwajiri na
mwajiriwa, pia kitendo hicho si ajenda ya
wafanyakazi hivi sasa.”
-Mwajiri wa Rais ni nani? Alimuomba nani kazi? Nani alimpa hiyo kazi inayoitwa URIS?
TUGHE watakuwa wametumwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom