Mwamikili
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 417
- 139
masikini nimesikitika, yani tuna safari ndefu kufika tunapopataka halafu tunataka maendeleo na mabadiliko kwa fikra za namna hii tutafika kweli. nimeumia jamani.
unajua maisha ya kujipendekeza mabaya sana msamehe bure. bora wazungu warudi kututawala kuliko hawa waswahili wenzetu wenye fikra mgando!!