Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Kitengo cha manusu apa
11. Kitengo cha kunyanduana - Baltasar ebal engonga10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Mimi ni makamu kitengo hicho Mh Rais 😂Half american kitengo cha dipresheni.
Lord Denning anaingia namba 4 hapo1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
Pumba tupuTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Hili ni genge la wala msuba mashuhuri!DIVISHENI FOO na genge lako mnaitwa
Sure bro sio rahisi kukumbuka kila mtuLord Denning anaingia namba 4 hapo
Mimi nataka niharibu cv wakwetu kwasababu cv ya kweli ipo moyoni mwangu na nitakufa nayo🤣🤣🤣Basi mapambano yaendelee wa kwetu bila kuharibu CV😆
Kija wa depreshen 😅Kitengo cha manusu apa
Aaah we! Usikimbie majukumu🤣Mimi ni makamu kitengo hicho Mh Rais 😂
Afisa Maji sio😃😃Mimi nawafuatia wote tu na nina wajua vilevyo wewe tulia tu 🤣
Sure🤣Afisa Maji sio😃😃
Bila shaka umelogwaErythrocyte ndio anaongoza kwa uchawa. Hata kura zilipigwa hapa JF akashinda.
Aliyempa Mimba Mama yako Mzazi hadi Kufukuzwa na Baba yako Mzazi. Idiot!!!Kitengo cha upopoma na utaahira GENTAMYCINE
Wewe ni chawa promax. Ulikuwa chawa wa Mbowe. Ulipoona kuna dalili za Mzee Mbowe kushindwa, ukahamia kwa Lissu. Sasa hivi uko kwa Lissu na Heche kama chawa promax JF. Na kura tulikupigia ukamshinda Lucas Mwashambwa hapa JF. Kama unabisha tuwaombe mods waulete ule uzi ulioshinda kwa uchawa! Ahahahahaha!!!!Bila shaka umelogwa
Shukrani 😎Nipo gud rafkii yangu...hongera kwa ubingwa...😊😊😊