B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,649
- 6,411
Kitengo cha machawa hapo kuna kinaTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Lucas
Tlaatlaa
Chiembe
Voice
Mtoto wa shule nk
Wakumbushe tu
wataimba NO REFORMS NO ELECTION muda mchache ujao
