Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,850
Karbu hapa gongo la mboto nipo kota hapa..Lugalo
Mda huu nipo namuadabisha MP mmoja hapa
Karbu hapa gongo la mboto nipo kota hapa..Lugalo
Aaaaah nimechoka sana acha tuuu mkuu nasikitika snaaAnatumia Id gani 😀
Hapo mpaka uimalize mwenge mixer buguruni utakuta mwanangu kashachoka aiseeLugalo
Namchota mitama kimo cha ng'ombe, anatoa macho tu.....Hapo mpaka uimalize mwenge mixer buguruni utakuta mwanangu kashachoka aisee
Kama mimi bwashee 🤣🤣🤣Naunga mkono hoja wengi ni jobless
Kitengo cha atheist ⚛️ Infropreneur
Dr haya land huwa nafatilia sana ushauri wake ...DR HAYA LAND yeye ni mtu wa akili kubwa na kipanga kweli kweli ila anatumia akili nyingi sana kukwepa majivuno yao ya kihaya kwa kujificha kwenye kivuli cha hekima ya juu🤔
🤣🤣Kiranga anafaaaHiyo Wampe Kiranga na kuna mwamba mmoja anaitwa Hateeb, we anzisha uzi useme dunia ni duara ndio utamjua 😄😄
Mimi nawafuatia wote tu na nina wajua vilevyo wewe tulia tu 🤣Dr haya land huwa nafatilia sana ushauri wake ...
Umbea Nifah pamoja na Warumi (RIP)1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
😀😀😀Dah!Namchota mitama kimo cha ng'ombe, anatoa macho tu.....