min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,287
- 127,292
Kila mtu atapata mkeka wake kwa wakati🤣🤣🤣Mkuu 🤣Shoo ya mzabzab na Binti wa zamani nchi nzima inasimama
Kila mtu atapata mkeka wake kwa wakati🤣🤣🤣Mkuu 🤣Shoo ya mzabzab na Binti wa zamani nchi nzima inasimama
Tuzo ya mnafki wa kisiasa inakwenda kwaMkuu 🤣Shoo ya mzabzab na Binti wa zamani nchi nzima inasimama
Nakubal😄Kila mtu atapata mkeka wake kwa wakati🤣🤣🤣
Devisheni foo wao wapo kundi la wadudu komba mavi unachanganya bwasheeDIVISHENI FOO na genge lako mnaitwa
Mtani wangu Robert Heriel Mtibeli hajaeleweka ni akili kubwa au anataka kutake advantage ya uchawa bwashee 🤔
Pascal Mayalla 🤣huyu yupo vugu vugu. Sii moto sii barid
Nilikua najua kabisa wewe ni kipanga ila unataka ku take advantage bwashee 😅😅😅😅 ujue mimi sio fala.😂😂
Kuna wakati yasiyowezekana huwezekana.
Uliyemzania hawi
Mambo hubadilika kwa ajabu. Na hayo ndio malimwengu
Devisheni foo wao wapo kundi la wadudu komba mavi unachanganya bwashee
Nilikua najua kabisa wewe ni kipanga ila unataka ku take advantage bwashee 😅😅😅😅 ujue mimi sio fala.
Hahahaha😂😂😂 Jamani Mimi nilishaacha uchawi na kuokoka
GENTAMYCINE hata sitaki kumzungumzia huyo ana standards zake za kipekee bwashee 🤔😅😅
Jamaa hao wakivamia Uzi wako KAZI inakuwa nzito Sana
secretarybird na genge lake wanampenda Sana Mkuu Popoma. Wanaenjoy Sana kumsumbua
GENTAMYCINE hata sitaki kumzungumzia huyo ana standards zake za kipekee bwashee 🤔
Wenye hekima tupo viti virefu na vodka pembeni bwashee , wewe upo wapi master 😂😂Maisha yanahitaji uwe flexible.
Unachange kulingana na wahusika, Hali, mazingira n.k.
Hiyo ni hekima.
Kufanya moto usiwake ni busara ya ajabu sana😊Moto upo utawaka
Kufanya moto usiwake ni busara ya ajabu sana😊
SA wanasemaje bro?Mnagawana vitengo kirahisi ila mkitapeliwa na Wazimbabwe mtandaoni mkitaka kununua ma trekta SA mnanifata niulizie kama hao jamaa ni genuine au mshalizwa tayari..
😂😂😂