Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
😂😂😂 Hapana bhana huyo mbona kama alikuwepo kitambo.Saivi anaitwa Tumbili in town 😁😁
😂😂😂 Hapana bhana huyo mbona kama alikuwepo kitambo.Saivi anaitwa Tumbili in town 😁😁
Mkuu umeniita mtabiri ubwabwa! Nitakuotesha majipu usoni, ohoo!Kitengo cha walevi na kilaji min -me | patrickk
Kitengo cha weeda Cannabis | KENZY
Kitengo cha entertainment dosho12 | Vincenzo Jr | ledada
Kitengo cha mapopo night owlers Intelligent businessman | Ertugrul Bey
Kitengo cha kataa ndoa komasava
Kitengo cha chai Mama Ndege | holoholo
Watabiri maprophet ubwabwa Tajiri Sina BAYA et al
Chaputa enterprises yupo Mbaga Jr | dronedrake
Gravediggers wafufua nyuzi Cherecheche | PSL god
my friends, ladies and gentlemen,1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
Shukrani sana mtani wangu💪🏿✌🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿Nisikunyime sifa zako mtani ,wewe ni kati ya walionivutia kujiunga JamiiForums, hatuwezi kuizungumzia jf bila kukutaja wewe bro👏
Aisee hatari.Naendelea na ugawaji vitengo..
Kuna kitengo adhimu kabisa ambacho sisi CHAPUTA hatujui kuwa mpaka tunapata video safi na quality kutoka PH au blaazzer basi kazi kubwa ya mitambo huwa ipo chini ya kiongozi mfawidhi bwana DeepPond
Atakuja hapaAisee hatari.
Ketengo cha pisi kali apewe MidekooTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Usisahau kitengo cha Uchawa, na chenyewe kina wadau wengi.Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Akisema unachouza, nitanunua...Nauza nini 😒
Siuzi kitu bro.....😁Akisema unachouza, nitanunua...
Uza hata maneno...Siuzi kitu bro.....😁
Tangu 🦁🐒 mfungwe umekuwa mkorofi kweli!!
Tuwe makini kikosi cha Green Guards kimeingia JF kinataka kuwachuuza wanasiasa wa JF ili kiwapoteze kuelekea uchaguzi, mtakuja jutia huu mtego.Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Mkuu Kwa heshima hebu nitake radhi😀Kitengo cha walevi na kilaji min -me | patrickk
Kitengo cha weeda Cannabis | KENZY
Kitengo cha entertainment dosho12 | Vincenzo Jr | ledada
Kitengo cha mapopo night owlers Intelligent businessman | Ertugrul Bey
Kitengo cha kataa ndoa komasava
Kitengo cha chai Mama Ndege | holoholo
Watabiri maprophet ubwabwa Tajiri Sina BAYA et al
Chaputa enterprises yupo Mbaga Jr | dronedrake
Gravediggers wafufua nyuzi Cherecheche | PSL god