Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,850
😀😀😀😀AiseeKama mimi bwashee 🤣🤣🤣
Ningetembea uchi usinge nitaja bichwa wewe 😂Kitengo umeme tanesco (NGUZO) Mwachiluwi
Infropreneur sio atheist tu ana akili kubwa tena ya juu sana😁😁😁😶hakika umepatia
Sio huyo ni mwanangu mno sio yeye Kuna dogo mmoja hivi miyeyusho miyeyushohuyu sio dosho12 😀
Naongopa kwani 😂😂🙌🙌🙌Jamani!!
Hujambo kaka Mnywaji?Kaka nawakubali sana sana wanangu wa viti virefu risiti kwake Saint Anne
Seli kavu natafuta sana kitengo chako ujieSawaa ni mwanetu ila hapa tunakataa🤣🤣🤣