Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,334
- 3,016
Jamaa katukimbia huyu sijui kabadili idKitengo cha kumwaga pumba/utumbo- secretarybird
Jamaa katukimbia huyu sijui kabadili idKitengo cha kumwaga pumba/utumbo- secretarybird
Sijalewa ila nipo kwenye mchakato wa kulewa na kweli sitakuelewa kabisa bro😇meku naona hatutaelewana nafikiri umeshalewa
acha nikale sahani moja na hawa jamaa wa kundi malumu wa chadema
Hapo patrickk ni sawa maana alijidunga pombe akaona haitoshi akaongezea na tuvidonge...😅🙂🙂🙂😊😇😇😇Kitengo cha walevi na kilaji min -me | patrickk
Kitengo cha weeda Cannabis | KENZY
Kitengo cha entertainment dosho12 | Vincenzo Jr | ledada
Kitengo cha mapopo night owlers Intelligent businessman | Ertugrul Bey
Kitengo cha kataa ndoa komasava
Kitengo cha chai Mama Ndege | holoholo
Watabiri maprophet ubwabwa Tajiri Sina BAYA et al
Chaputa enterprises yupo Mbaga Jr | dronedrake
Gravediggers wafufua nyuzi Cherecheche | PSL god
Aliaga, ni majuzi tu hapa alifungua uzi wadau wakadokeza kuwa anaenda jkt, pengo lake linaonekana kabla wiki haijaisha.Jamaa katukimbia huyu sijui kabadili id
Jamani basi ngoja nipokee kitengo1 .Kitengo cha akili kubwa na ufahamu
Kiranga
Infropreneur
Dennis Robert Shughuru
2.Uchawa
Tlaatlaah na Mwashambwa
2b vinywaji na starehe
Mad Max mimi na Dr am 4 real PhD
2.Ngono
mzabzab
Binti wa zamani
3.Injili ya ugoko
Setfree
Rabbon
matunduizi mzee wa kapu la sadaka
4.siasa
Benjamini Netanyahu
Erythrocyte
5 Michezo
Kalpana
Labani og
Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa Yesu ni BwanaNimemjualia wapi madam mzuri?
Maneno hayo sio mageni mjini hapa 🤔🤔🤔Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa Yesu ni Bwana
mbona liko waziii hata ukiamua siku utukane still sifa yako itabaki pale pale...Kiaje wakwetu 😅
Sure😂😂
kumbe kuna vitengo humu ndani, ila kama ni Entertainment ukae wewe mwanangu mwenyewe Cassano, you deserve all the credits mshikaji wangu...
Najaribu kwenda na kila mtu sawa ila kutukana natukana sana tu😅mbona liko waziii hata ukiamua siku utukane still sifa yako itabaki pale pale...
Nao watu wapande ya filipi ya kaisari kaskazini mwa Hermon watu wakauliza yesu ni nani ? Je wewe unajua mimi ni nani?Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa Yesu ni Bwana
Saivi anaitwa Tumbili in town 😁😁Kitengo cha kumwaga pumba/utumbo- secretarybird
Basi mapambano yaendelee wa kwetu bila kuharibu CV😆Najaribu kwenda na kila mtu sawa ila kutukana natukana sana tu😅
HahahaKitengo cha walevi na kilaji min -me | patrickk
Kitengo cha weeda Cannabis | KENZY
Kitengo cha entertainment dosho12 | Vincenzo Jr | ledada
Kitengo cha mapopo night owlers Intelligent businessman | Ertugrul Bey
Kitengo cha kataa ndoa komasava
Kitengo cha chai Mama Ndege | holoholo
Watabiri maprophet ubwabwa Tajiri Sina BAYA et al
Chaputa enterprises yupo Mbaga Jr | dronedrake
Gravediggers wafufua nyuzi Cherecheche | PSL god