Tugawane nchi katikati

Tugawane nchi katikati

Suala la Tanganyika na Zanzibar ni tofauti, kwa sababu Tanganyika na Zanzibar zote ziliwahi kuwa nchi zenye mpaka viti UN kabla ya kuungana.
Muungano wa Tanganyika na CCM ni nguzo mojawapo kubwa inayosaidia kuendelea kudumisha utawala wa CCM na tunaoumia ni raia wa pande zote mbili.
 
Tutatua huko huko, ili mradi hawa watu tuwaepuke, tumejaribu kuomba baadhi ya mabo yarekebishwe ili tuwe kitu kimoja hawataki, tumeshinikiza wametuua
Sasa kugawana nchi kunakuhakikishiaje unawaepuka?

Watu wenyewe wengi mpaka rangi sawa na wewe. Na wengi wanajua kuficha makucha yao huwajui mpaka wapate power.

Sasa unapogawana nchi, ukifikiri kugawana nchi ndiyo utatuzi, unajuaje huko kwenye nchi mpya hawatapenya?
 
Muungano wa Tanganyika na CCM ni nguzo mojawapo kubwa inayosaidia kuendelea kudumisha utawala wa CCM na tunaoumia ni raia wa pande zote mbili.
Suala la Tanganyika/Zanzibar ni tofauti na sitaki kuliweka kwenye mjadala huu.

Hilo linafaa kuwa na mjadala wake tofauti.

Mjadala huu ni wa kuigawa Tanganyika vipande.
 
Sasa kugawana nchi kunakuhakikishiaje unawaepuka?

Watu wenyewe wengi mpaka rangi sawa na wewe. Na wengi wanajua kuficha makucha yao huwajui mpaka wapate power.

Sasa unapogawana nchi, ukifikiri kugawana nchi ndiyo utatuzi, unajuaje huko kwenye nchi mpya hawatapenya?
Watajiengua tu CCM na wananchi ni kama maji na mafuta, nasema wananchibkwakuwa sidhani kama CCM ni wananchi, wana tabaka lao wamejijengea, not like us
 
Na hakika upande wowote tutakao elekea hakika tutawazidi CCM kwenye Kila sphere of life...

Watakuja kuomba misaada ya hali na Mali..

Tutajiita TANGANYIKA FREE STATE....wenyewe waendelee na jina lao...na mambo yao.

NB. Siku Paul makonda akiwa RAISI WA TANZANIA NDIO SIKU IYO NTABEBA VYANGU NA KUHAMA HII NCHII HATUWEZI ONGOZWA NA KILA MTU.
Hilo popoma haliwezi kuwa Rais
 
Mbaya zaidi na ma CCM yanakazia humohumo, ila ka nchi ketu kapya tungekuja na kitu tofauti kabisa, Mazombi tunayachekecha yaende huko upande wa pili, huku kwetu tunabakiza cream tu
Kama Israel tu
 
Na ushuru wa kutumia bandari itakuwa ni mauaji labda mtumie ya Msumbiji
Kipande chetu tunachukua bandari ya mtwara tunaipiga msasa inakuwa kama beira ya msumbiji, kwenye kugawana hawawezi kuchukua bandari zote, wao si wameyza kwa waarabu?
 
Kipande chetu tunachukua bandari ya mtwara tunaipiga msasa inakuwa kama beira ya msumbiji, kwenye kugawana hawawezi kuchukua bandari zote, wao si wameyza kwa waarabu?
Sheria za kimataifa lazima ziheshimiwe
Angalia Ethiopia li nchi likubwa linavyonyanyaswa na ka Eritrea kwenye bahari, kila siku anatakuanzisha vita

1777408980269.png
 
Generally in either way Tanganyika needs freedom. Ni bora tummegee Kikwete dar, pwani, tanga na kusini aitawale nasi tubaki na the rest tuone ulafi wake utamfikisha wapi huyu shetani anaejiona ana akili kuliko watanganyika wote. Akileta tena tamaa bora tupigane vita ambavyo havijawahi shuhudiwa. Tumemdekeza sana, huyu mzee ndo chanzo cha matatizo yote kwenye hii nchi. Wazalendo wa ccm na upinzani wanakufa kwa mkono wake.
 
Generally in either way Tanganyika needs freedom. Ni bora tummegee Kikwete dar, pwani, tanga na kusini aitawale nasi tubaki na the rest tuone ulafi wake utamfikisha wapi huyu shetani anaejiona ana akili kuliko watanganyika wote. Akileta tena tamaa bora tupigane vita ambavyo havijawahi shuhudiwa. Uyu mzee ndo chanzo cha matatizo yote kwenye hii nchi.
Hakika
 
Watajiengua tu CCM na wananchi ni kama maji na mafuta, nasema wananchibkwakuwa sidhani kama CCM ni wananchi, wana tabaka lao wamejijengea, not like us
Na ukishajimegua ukawa na nchi nyingine hiyo nchi nyingine haitawezekana kuwa na matabaka yatakayorudia tatizo hivihivi?

Utazuiaje?

Ukishindwa kuzuia, utagawa nchi tena uwatenge hao watu?
 
Na ukishajimegua ukawa na nchi nyingine hiyo nchi nyingine haitawezekana kuwa na matabaka yatakayorudia tatizo hivihivi?

Utazuiaje?

Ukishindwa kuzuia, utagawa nchi tena uwatenge hao watu?
Halitajirudia kwakuwa kule kutakuwa na katiba mpya ambayo itakuwa ni tofauti na hii ya huku CCM, shida kubwa inayosababisha yote haya ni katiba inayowapa madaraka viongozi bila ukomo na kutowajibishwa, kutokuwa na hakika ya kuona kesho yenye matumani, amani ya kweli bila dhuluma ya utekaji,ufisadi, ukosefu wa ajira kwa kiwango cha juu, kupanda kwa gharama za maisha , tume huru ya uchaguzi n.k
 
Katiba haimalizi matatizo ya utamaduni, huelewi wapi?

Pia, Katiba imempa kiongozi gani madaraka bila ukomo?

Unaweza kuweka kifungu hicho hapa tukijadili?
 
Habari nzima ya kuigawa nchi pasu pasu kuwatenga CCM ni fantasy ya kuchangamsha baraza tu isiyo na mantiki ya kifalsafa wala namna ya kuitekeleza kiuhalisia.

Na hata kwenye fantasy ya kisiasa, ni fantasy ya kijinga ya kitatua tatizo kwa kuzalisha tatizo kubwa zaidi.

Fight me on this.
 
Habari nzima ya kuigawa nchi pasu pasu ni fantasy ya kuchangamsha baraza tu isiyo na mantiki ya kifalsafa wala namna ya kuitekeleza kiuhalisia.

Fight me on this.
We nae kama wale wale CCM , itawezekana tu kama kuna baadhi ya nchi iliwezekana kwanini sisi tushindwe? Tunakoelekea tutagawana tu hii nchi
 
We nae kama wale wale CCM , itawezekana tu kama kuna baadhi ya nchi iliwezekana kwanini sisi tushindwe? Tunakoelekea tutagawana tu hii nchi
Hujaweka mpango, hujaeleza itawezekana vipi, hujaweka kifungu cha katiba cha uongozi bila kikomo.

Unaelezea fantasy tu.
 
Back
Top Bottom