Na tusio na vyama tutaenda wapi😂😂😂Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu, katiba yetu , na vitu vyetu tunavyotaka.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.
Kama ilivyoondolewa BDP Botswana au True Whig Party(TWP) Liberia.Damu ya CCM ipo kwenye miili ya Watanzania wengi. Unawaondoaje CCM?
Siioni CCM ikiendelea kutawala baada ya mwaka 2035, imechoka na imechokwa sana, pia imehasimiana sana yenyewe ndani kwa ndani baada ya watawala kuny'ang'anya hata wanachama wake haki ya kuchagua viongozi ndani ya chama.Halafu bila katiba kandamizi na Tume feki ya uchaguzi mbona hawa Wepesi sana, mapema tu wako out.
Tutafika tu tuombe uzima na ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya, tutakuwa tumepata uhuru kwa mara ya pili baada ya ule wa 1961Siioni CCM ikiendelea kutawala baada ya mwaka 2035, imechoka na imechokwa sana, pia imehasimiana sana yenyewe ndani kwa ndani baada ya watawala kuny'ang'anya hata wanachama wake haki ya kuchagua viongozi ndani ya chama.
Na hiyo mikoa 13 una hakika hamtagombana na kutaka kuigawanya nchi tena mpaka mbaki na viwanja vya kuzikana kila mtu na chake tu?Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu, katiba yetu , na vitu vyetu tunavyotaka.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.
Korea kusini na kaskazini wamewahi kugawana tena? Vipi na Sudan ipo sudani ya tatu? Wajerumani pia waliwahi kugawana, natumaini hatutagombana, mchawi ni hiki kizazi cha CCM, hatuwezi kuwa kitu kimoja na watu ambao waanawaonaa wengine kama takatakaNa hiyo mikoa 13 una hakika hamtagombana na kutaka kuigawanya nchi tena mpaka mbaki na viwanja vya kuzikana kila mtu na chake tu?
Mkielewana leo watoto wenu wakagombana itakuwaje hapo? Watagawana nchi kama mali ya urithi nao?
Tena wachukue mikoa yenye madini sanaAu watupe Mikoa mitatu tuu. Wao wabaki na 28 😆
Nitasapoti "Velvet Divorce" kati ya Tanganyika na Zanzibar, ninaamini kwa kiasi kikubwa sana siasa zetu pia zinaathitiwa kwa namna hasi na huu muungano.Na hiyo mikoa 13 una hakika hamtagombana na kutaka kuigawanya nchi tena mpaka mbaki na viwanja vya kuzikana kila mtu na chake tu?
Mkielewana leo watoto wenu wakagombana itakuwaje hapo? Watagawana nchi kama mali ya urithi nao?
Uzuri nchi yetu kila upande kuna rasimali nzuri ni suala la kuacha ulafi,ufisadi na ubinafsi nakwamnia kuna upande utakuwa na maendeleo zaidi kuliko mwingine, badari ya dar si wameuza sie upande wetu tunaunda ya mtwara inakuwa bonge moja la bandariTena wachukue mikoa yenye madini sana
Hata ccm wapewe bahari, gas na Dsm yote bado watakuwa masikini kuliko eneo watakalopewa wapinzani wao
Hujui kuwa Sudan zote mbili kuna vita sasa hivi?Korea kusini na kaskazini wamewahi kugawana tena? Vipi na Sudan ipo sudani ya tatu? Wajerumani pia waliwahi kugawana, natumaini hatutagombana, mchawi ni hiki kizazi cha CCM, hatuwezi kuwa kitu kimoja na watu ambao waanawaonaa wengine kama takataka
Suala la Tanganyika na Zanzibar ni tofauti, kwa sababu Tanganyika na Zanzibar zote ziliwahi kuwa nchi zenye mpaka viti UN kabla ya kuungana.Nitasapoti "Velvet Divorce" kati ya Tanganyika na Zanzibar, ninaamini kwa kiasi kikubwa sana siasa zetu pia zinaathitiwa kwa namna hasi na huu muungano.
Tutatua huko huko, ili mradi hawa watu tuwaepuke, tumejaribu kuomba baadhi ya mabo yarekebishwe ili tuwe kitu kimoja hawataki, tumeshinikiza wametuuaHujui kuwa Sudan zote mbili kuna vita sasa hivi?
Ujerumani huelewi kuwa wameona kutengana ni ujinga wamerudi kuwa nchi moja?
Korea unaelewa geopolitivs zikizopelekea nchi kugawanywa?
Huo utatuzi wenu hauna mantiki wala tija, ni utatuzi wa kutafuta jibu rahisi kwa swali gumu.
Mkigombana mkakimbilia kugawana nchi, baada ya kugawana nchi mkigombana tena mtafanyaje?
Mtagawana nchi tena?
Maana matabaka hayaishi.
Tumewaondoa wakoloni wazungu tukafikiri weusi wote ni wamoja. Tukagundua hata kwenye weusi kuna wakoloni.
Sasa na nyie mnaojiona wamoja hamuipendi CCM, mkigundua si wamoja hivyo, umoja wenu ni katika kuiondoa CCM tu, mkishaiondoa CCM hamna umoja, mnagombana, mkigombana mtafanya nini?
Mtagawana hiyo nchi mpya tena?
Mpaka lini?