Tugawane nchi katikati

Tugawane nchi katikati

1777386989612.png
 
Haiwezekqni na hatotokea yaani watu na kizanzibar chaos wamege bara apana haiwezekani
 
Utamaduni wetu jamii za kiafrika ni kikwazo namba moja kwa maendeleo kwa level ya kitaifa.

Mila na desturi zetu hazisapoti maendeleo katika level ya kitaifa.
Mbaya zaidi na ma CCM yanakazia humohumo, ila ka nchi ketu kapya tungekuja na kitu tofauti kabisa, Mazombi tunayachekecha yaende huko upande wa pili, huku kwetu tunabakiza cream tu
 
Haiwezekqni na hatotokea yaani watu na kizanzibar chaos wamege bara apana haiwezekani
Bora tukigawana wanakuwa na kipande , we huoni saivi ni kama wamechukua nchi yote tu, na mchanga wanakuja kuchota huku wakajenge majumba huko
 
Back
Top Bottom