Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,742
- 44,199
Masaburi yakoWewe ni mujinga
Masaburi yakoWewe ni mujinga
Ni vyema. Jee muungano bado uwepo? Sio tatizo tena?Tugawane nchi katikati mikoa 13 kila upande ili kila mtu aishi kwa amani anapopenda, CCM wabaki na kipande chao (pamoja na Zanzibar)waishi kwa hii katiba yao na mifumo yao ya maisha , majeshi yao na watu wao wanaoipenda, na sisi twende na kipande chetu cha mikoa 13 ,tukaunde majeshi yetu, katiba yetu , na vitu vyetu tunavyotaka.
Kuishi maisha kama ya sasa kwakweli tumechoka, kila mtu aende upande wake. Mbona sudani kuna kusini na kaskazini? Na sisi tugawane.
Vipo vifungu,Katiba haimalizi matatizo ya utamaduni, huelewi wapi?
Pia, Katiba imempa kiongozi gani madaraka bila ukomo?
Unaweza kuweka kifungu hicho hapa tukijadili?
Hata sasa Pwani ni yenu ila mmeishia kuuza bandari tu.Naona pwani yetu , Zanzibar , Tanga , Mtwara , Dar , lindi tukiwa na kila kitu yaani ..Bahari zote kwetu , gas na kilimo cha kutosha , hakuna riba kwenye bank zetu .
Tunaondoa kabisa mfumo wa kidemokrasia , tunatafuta mzawa.. Hatutokuwa na stress kabisa ..
Somalia wanakila kitu na demokrasia hawaitaki lakini hawajatoboaNaona pwani yetu , Zanzibar , Tanga , Mtwara , Dar , lindi tukiwa na kila kitu yaani ..Bahari zote kwetu , gas na kilimo cha kutosha , hakuna riba kwenye bank zetu .
Tunaondoa kabisa mfumo wa kidemokrasia , tunatafuta mzawa.. Hatutokuwa na stress kabisa ..
Sisi hatuna vita wala fujo za kijingaSomalia wanakila kitu na demokrasia hawaitaki lakini hawajatoboa
Mkishajitenga kama mlivyosema. Tayari mtakuwa na ile ingridient muhimu ya fujoSisi hatuna vita wala fujo za kijinga
Hakuna kitu kama hichoMkishajitenga kama mlivyosema. Tayari mtakuwa na ile ingridient muhimu ya fujo
🤣🤣🤣🤣 Hata mimi hapo kwa Maconder kuwa rais bora nihamie HaitiNa hakika upande wowote tutakao elekea hakika tutawazidi CCM kwenye Kila sphere of life...
Watakuja kuomba misaada ya hali na Mali..
Tutajiita TANGANYIKA FREE STATE....wenyewe waendelee na jina lao...na mambo yao.
NB. Siku Paul makonda akiwa RAISI WA TANZANIA NDIO SIKU IYO NTABEBA VYANGU NA KUHAMA HII NCHII HATUWEZI ONGOZWA NA KILA MTU.
😁😁😁hawawezi tupatia hata jimbo wanatamaa hawaAu watupe Mikoa mitatu tuu. Wao wabaki na 28 😆
Muweke maneno vizuri, ukisema madaraka bila ukomo unaweza kusomeka kuwa katiba inampa rais urais usio na ukomo.Vipo vifungu,
1. Rais anateua kila mtu katika mihimili yote, hadi mtendaji mkuu wa bunge!
2. Matokeo ya uchaguzi ya Rais hayahojiwi popote
3. Bajeti ya Ikulu haidhibitwi
4. Rais anaweza kuunda idadi yoyote ya mikoa, wilaya na wizara.
5. Rais hashitakiwi mahakamani kwa kosa lolote.
6.Rais ana mamlaka yasiyodhibitwa katika kusaini watu wanyongwe.
7.Rais anaweza kupanga bajeti yoyote nje ya bunge.
Huenda unazungumza ukiwa huna kumbukumbu au Tanzania huijui au umeisahau. Kwenye huu muungano, au kwenye makubaliano ya huu muungano hakuna swala la Chama. Liliopo ni Tanganyika na Zanzibar. Ukitaja Chama ni kama umejisau. Swala hapa ni muungano na wala sio chama. Jee muungano uwepo, kwamba leo umekuwa mwema, au usiwepo?Kwenye muungano watajuana CCM na wazanzibar, kipande chetu hatutaki muungano
Huenda unazungumza ukiwa huna kumbukumbu au Tanzania huijui au umeisahau. Kwenye huu muungano, au kwenye makubaliano ya huu muungano hakuna swala la Chama. Liliopo ni Tanganyika na Zanzibar. Ukitaja Chama ni kama umejisau. Swala hapa ni muungano na wala sio chama. Jee muungano uwepo, kwamba leo umekuwa mwema, au usiwepo?Kwenye muungano watajuana CCM na wazanzibar, kipande chetu hatutaki muungano
Muungano usiwepo, hauna manufaa kwetu,unawanufaisha zaidi wazanzibar,sioni faida yoyote yamuungano TanganyikaHuenda unazungumza ukiwa huna kumbukumbu au Tanzania huijui au umeisahau. Kwenye huu muungano, au kwenye makubaliano ya huu muungano hakuna swala la Chama. Liliopo ni Tanganyika na Zanzibar. Ukitaja Chama ni kama umejisau. Swala hapa ni muungano na wala sio chama. Jee muungano uwepo, kwamba leo umekuwa mwema, au usiwepo?
Nakubaliana nawe kwamba muungano usiwepo. Sikubaliani nawe kwamba muungano unawanufaisha zaidi Wazanzibari. Jee hili la kuwanufaisha zaidi Wazanzibari limeanza 2021 au kabla? Ikiwa ni kabla ulikuwa wapi wakati huo hujasema, unasema leo?Muungano usiwepo, hauna manufaa kwetu,unawanufaisha zaidi wazanzibar,sioni faida yoyote yamuungano Tanganyika