Tugawane nchi katikati

Tugawane nchi katikati

Nakubaliana nawe kwamba muungano usiwepo. Sikubaliani nawe kwamba muungano unawanufaisha zaidi Wazanzibari. Jee hili la kuwanufaisha zaidi Wazanzibari limeanza 2021 au kabla? Ikiwa ni kabla ulikuwa wapi wakati huo hujasema, unasema leo?
Nasema leo kwakuwa umefika wakati sasa tumechok
 
Mkuu, unasema leo kwasababu kuna Mzanzibari. Siku akiondoka hutosema tena. Hivi ndivyo ilivyo.
Tulishaongeaga huko nyuma, lakini kwa hali ya sasa hapana.tumechoka hatutaki Muungano wala Wauaji CCM
 
Nasema leo kwakuwa umefika wakati sasa tumechok
Ndio mkuu. Umechoka kwasababu pale juu yupo Mzanzibari. Wakati huo wote ulikuwa unafaidi matunda ya muungano kwa kuididimiza na kuidhulumu Zanzibar haikuwa inakushuhulisha. Ubarikiwe kwa ubaguzi.
 
Back
Top Bottom