Una chumba kimoja na sebule au viwili na sebule,chumbani walala wewe na mmeo na kingine analala mtoto wenu,,halaf anakuja mgeni unamuacha alale na mwanao au wanao,,chonde chonde,,huyo mgeni alale sebuleni na unamwambia mwanao ajifungie chumbani hakuna kufungua mpaka asubuhi,dunia ishaharibika, bora hata alale na jinsia ke,we unamuacha analala na jinsia me ,,wanaume nyie mmelaaniwa kwa mnayoyafanya aisee,,,kwa hiyo fanyeni hivyo usiruhusu mwanao akalala na wageni kama unathamini wageni mwanao au wanao lala nao chumbani kwako
Wenginr mkikosana na mme unamuachia mme watoto ,,watoto huku wanabakwa uchi unakuwa wa mtu mzima lo,,hebu sasa tuwe waangalifu,,mgeni humjui anajifanya ndugu usimkaribishe mpe ale chakula aondoke kabisa
Tuache mambo ya kizamani,,kila mtu akae kwake maswala ya kuja kubanana kwa dada zenu halaf mnatubakia watoto aisee mi ntafungwa maana ntaua,,,mim siku nikikuta mbaba anamfanya mtoto mdogo ntanunua kesi kwa hela ya kalamu