Tuelewane katika hili swala la wageni

Tuelewane katika hili swala la wageni

Napita tu

Ila haijalishi kama dunia imeharibika au haijaharibika.....

Marufuku watoto kulala na wageni

Na wala hawalali na HG

Kiufupi hawalali na mtu mzima yoyote......

Na kuwacheki mara kwa mara usiku kunawahusu.....
Well said.
 
Hakafanywa kitu,lakin kuna jibaba huku limebaka mtoto na kumuambukiza ukimwi juu limefungwa miaka 30 sijui maisha,roho imeniuma natamani hata wamnyonge
Huku majumbani watoto wengi wanafanyiwa ukatili sana
Mi wangu huwa namkagua kabisa huko chini

Amebakwa wapi uko usiongee vitu bila ushahidi utakua unapayuka tu, halaf wewe wanaume zako ndo wabakaji,.. Usijumieshe wote, mbona mi sijasema wanawake wote Malaya na wananuka papuchi, ntakua sijatendea haki ustaraabu wangu,
 
Ni kweri Mama Sabrina kuna mijitu haifai kuitwa wanaume kabisa,

Sijui inakuaje mpaka unabaka mtoto....yani na mimi nisimkute kwa mwanangu aisee, sitak hata kufikiria ntamfanya nn...

Hata kwa upande wa wanawake wapo pia wenye kuwafundsha watt ujinga mapema....

Wazazi tuwe makini sana hii dunia ya sasa imeoza.
 
Twende nikupeleke gerezani ukawaone hao waliofungwa kwa kesi hizo halaf inakuwaje mbona wapaniki
 
Nakuambia hswa wanaume sijui wamelogwa na nani
 
Twende nikupeleke gerezani ukawaone hao waliofungwa kwa kesi hizo halaf inakuwaje mbona wapaniki

Sijapaniki wew kusema wanaume wote tunatabia za ajabu kama izo,... Wewe utakua utongozwi au umeumizwa sasa unatag watu na tabia chafu, kujiambia kwamba wao ni wabaya,ili ujisikie vyema,... Kumbe si kweli, jitazame upya!
 
Sina mume ila nayaona sana ,,yanatokea kwenye jamii,wanawake wawachunguze watoto watoto wao,kuna mtoto huku kaambukiza HIV na baba mtu mzima mtoto wa miaka 10,wanaume mmelaaniwa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]

-Ndumilakuwili-
 
Back
Top Bottom