Tuelewane katika hili swala la wageni

Tuelewane katika hili swala la wageni

Mim nishashuhudia babu kafumaniwa na mjukuu wake ,,na babu ana bonge la boo,mjukuu ana miaka 12 ,babu yupo jela,,mwingine mkewe aliondoka akaacha watoto,baba mtu akaanza kuwa anamuingilia mwanae na akamuua kisha akatoroka
Halaf hawa wnaasema nini
Siku hizi hata baba zao wenyewe unakuwa tu makini wanaume wenyewe zipi mkononi kila mwanamke anayepita anmtaka mwishowe wanahamia kwenye damu zao laana hizo kwakweli mie hata awe ndugu yangu akafungwe tu sitajali wala siangalii sura pumbavu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napita tu

Ila haijalishi kama dunia imeharibika au haijaharibika.....

Marufuku watoto kulala na wageni

Na wala hawalali na HG


Kiufupi hawalali na mtu mzima yoyote......

Na kuwacheki mara kwa mara usiku kunawahusu.....
 
Si useme hutaki tu wageni hapo nyumbani kwako, perepeche nyingi za nini? Unatumia kuharibika kwa dunia kuwa kigezo cha kutotaka wageni Mama Sabrina
 
Hahahahahahaha...unampa makavu chief!

Ila kwa jazba za mama Sabrina..ni design ya wanawake wanene..warefu...weusi...anaonekana anapenda ugomvi sana! eti babu kafumaniwa ana **** mkubwa..nimecheka! sasa kama wanaume tumelaaniwa baba yako yuko salama kweli? au babu yake Sabrina anakojoa amechutama?
Cc Nyani Ngabu
 
Napita tu

Ila haijalishi kama dunia imeharibika au haijaharibika.....

Marufuku watoto kulala na wageni

Na wala hawalali na HG


Kiufupi hawalali na mtu mzima yoyote......

Na kuwacheki mara kwa mara usiku kunawahusu.....
Waambie hao
 
Back
Top Bottom