Tuelewane katika hili swala la wageni

Tuelewane katika hili swala la wageni

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,607
Reaction score
27,607
Una chumba kimoja na sebule au viwili na sebule,chumbani walala wewe na mmeo na kingine analala mtoto wenu,,halaf anakuja mgeni unamuacha alale na mwanao au wanao,,chonde chonde,,huyo mgeni alale sebuleni na unamwambia mwanao ajifungie chumbani hakuna kufungua mpaka asubuhi,dunia ishaharibika, bora hata alale na jinsia ke,we unamuacha analala na jinsia me ,,wanaume nyie mmelaaniwa kwa mnayoyafanya aisee,,,kwa hiyo fanyeni hivyo usiruhusu mwanao akalala na wageni kama unathamini wageni mwanao au wanao lala nao chumbani kwako
Wenginr mkikosana na mme unamuachia mme watoto ,,watoto huku wanabakwa uchi unakuwa wa mtu mzima lo,,hebu sasa tuwe waangalifu,,mgeni humjui anajifanya ndugu usimkaribishe mpe ale chakula aondoke kabisa
Tuache mambo ya kizamani,,kila mtu akae kwake maswala ya kuja kubanana kwa dada zenu halaf mnatubakia watoto aisee mi ntafungwa maana ntaua,,,mim siku nikikuta mbaba anamfanya mtoto mdogo ntanunua kesi kwa hela ya kalamu
 
boyfriend wako au mume wako ni jinsia gani? nimeuliza tu
 
Baba ana mbaka mwanae, kaka ana mbaka mdogo wake wa kike wa damu, utafukuza wangapi siwez fukuza kaka angu au ndugu yangu kisa mwanangu atabakwa hayo ni matokea ya tabia za mtu binafsi zisijumlishwe kwa watu wote.
 
Sina mume ila nayaona sana ,,yanatokea kwenye jamii,wanawake wawachunguze watoto watoto wao,kuna mtoto huku kaambukiza HIV na baba mtu mzima mtoto wa miaka 10,wanaume mmelaaniwa
 
Sabrina wamemfanya nini?
 
amelaaniwa baba sabrina sio mwanaume mimi
 
Baba ana mbaka mwanae, kaka ana mbaka mdogo wake wa kike wa damu, utafukuza wangapi siwez fukuza kaka angu au ndugu yangu kisa mwanangu atabakwa hayo ni matokea ya tabia za mtu binafsi zisijumlishwe kwa watu wote.
Hujaona juzi yule mtoto aliobakwa na kuuawa juu,,huku mtaani yapo mengi mbona sema hayatangazwi,,kua makin lala na mwanao wakija wageni
 
Lakini ni ukweli usiopingika wageni wasio kuwa na kazi no kila mtu achunge mwanae mambo ya siku hizi hapana tena ndugu labda nikute walishampeleka polisi laa kabla ya kupelekwa polisi kitaeleweka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mim nishashuhudia babu kafumaniwa na mjukuu wake ,,na babu ana bonge la boo,mjukuu ana miaka 12 ,babu yupo jela,,mwingine mkewe aliondoka akaacha watoto,baba mtu akaanza kuwa anamuingilia mwanae na akamuua kisha akatoroka
Halaf hawa wnaasema nini
 
Sabrina wamemfanya nini?
Hakafanywa kitu,lakin kuna jibaba huku limebaka mtoto na kumuambukiza ukimwi juu limefungwa miaka 30 sijui maisha,roho imeniuma natamani hata wamnyonge
Huku majumbani watoto wengi wanafanyiwa ukatili sana
Mi wangu huwa namkagua kabisa huko chini
 
Back
Top Bottom