Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Nipe faida ya Muungano kama Mtanganyika, hata mbili zile unasema kweli tunaitaji Muungano .nyingi hasara
#kataa Muungano ni utapeli

Naunga mkono hoja
Wenzetu Wanzibari waliweza kuamsha vugu vugu hili la kuukataa Muungano mwaka 2001 km sikosei ila approach waliyotumia ni ile ya Mashekhe wa Uamsho na vugu vugu lile likawa batili.
Sasa Watanganyika zamu yetu,kuukataa Muungano huu wa kihuni.
Tunahitaji Tanganyika huru
Tunahitaji Rais wa Tanganyika km alivyo Rais wa Wanzibar
Tunahitaji Wimbo wetu wa Taifa km ulivyo kwa Wanzibar nk nk
Uhuru wa Tanganyika Oyeeee
Uhuru wa Tanganyika oyeee
 
Hoja ni kuwa haki sawa,kama tunataka shirikisho la pamoja badi haki za Mtanganyika akiwa zanzibar ziwe sawa na mzanzibar akiwa Tanganyika ,ndoa ya upande mmoja haikubaliki ,haiwezekani ww kila kitu ujenge ukweni,ununue gari ukweni,usomeshe ukweni,na shoo upangiwe mda,misaada yote ya harusi kisiba utoe, ila kwenu hawataki hata kiberiti kiende kea kigezo sisi Ukoo wetu mdogo wao Ukoo mkubwa ,huo ni utapeli,nakazia kwa herufi kubwa
#KATAAMUUNGANO,MUUNGANONIUTAPELI

#KATAAMUUNGANO,MUUNGANO UMEUA TANGANYIKANAMUUNGANONI UTAPELI
#WE WANT THE FREEDOM OF TANGANYIKA
 
binafsi naamini waanzilishi wa huu Muungano wallikuws na nia njema ila sasa kwa hawa tulionao wanautumia vibaya
Hivyo
HATUONI LOGIC YOYOTE YA MUUNGANO
HUU NI UTAPELI inabidi tupaze sauti zetu ili TUUVUNJE KILA MTU AENDESHE MAMBO YA NCHI YAKE
WA BARA AKAE BARA
NA ZNZ AKAE ZNZ NA MAMBO YAKE

Na ardhi yetu aliyotangaza Mtanganyika Mwenzetu kuwa ni eneo la Serikali ya Zanzibar irudi pumbavu wahead
Hatuutaki muungano huu wa kitapeli
 
Na hapo ulienda unguja ukienda Pemba ndio kabisa wanaweza kukuchomea mpaka nyimba,wale wavaa bakozi nuksi sana wale.

Mimi nilifanya research kuhusu masuala ya elimu Unguja na Pemba
Ilibidi nibadili jina niwe Fatuma au halima na wanasema kabisa “ wewe wa kwetuuu” ili upate ushirikiano na wanakuuliza kabisa,” sasa wewe mbara kwanini kutuhoji sisi kwani zanzibari hakuna watu wa kufanya kazi hii?”
#KATAAMUUNGANO
 
Tukatae muungano kisa mama kauza bandari au

We jini hebu kuwa na akili na maono ya kijini jini ya kuona mbali!!
Tunazungumzia faida za muungano kwa Watanganyika unazijua? Km hii ya mama kuuza bandari ni moja ya hasara ya Muungano basi Watanganyika shime tuungane tuukate huu MUNGANO akauze bandari ya Zanzibar Over!
 
Mimi nilifanya research kuhusu masuala ya elimu Unguja na Pemba
Ilibidi nibadili jina niwe Fatuma au halima na wanasema kabisa “ wewe wa kwetuuu” ili upate ushirikiano na wanakuuliza kabisa,” sasa wewe mbara kwanini kutuhoji sisi kwani zanzibari hakuna watu wa kufanya kazi hii?”
#KATAAMUUNGANO
Kuna waziri anayeshughurikia maswala ya Muungano naye yupo kimya maiaka nenda rudi, wasipo uvunja,kizazi hiki tutavunja na bagamoyo hawana chao pale, haki sawa kwa watanzania au tuvunje Muungano
#KataaMuungano,Muunganoniutapeli
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
"Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam".
 
Hivi kimantiki, kuna tofauti gani ya kimaoni kati yako wewe na ya mtoa hoja?

Halafu nawashangaeni sana baadhi ya wanaJf, kila utapotaka kujenga hoja lazima u crash kwanza hoja ya mwenzako au uanze na tusi!

Hii ina afya gani katika kujenga maoni jumuishi?
Inategemea na muktadha
 
Huu muungano wa mchongo siku ukivunjika kuja huku na sisi kwenda kule mpaka visa ???vipi kuhusu maduka ,mashamba na nyumba zao walizojenga huku naona wao ndio wataopata hasara maana kwao mbongo hamiliki ardhi zitabinafsishwa au ndio wataamua wawe waBara haha kazi ipo!
Siyo kirahisi hivyo. Kuna mambo ya haki za binadamu na kina UN wataingilia kati.

Siku muungano ukivunjika inawezekana kukawa na kipindi cha mpito ambapo inawezekana Wazanzibar waliopo bara wakapewa uhuru wa kuchagua, kubaki bara na haki zao zote zikalindwa mfano kupewa uraia wa Tanganyika au kurudi Zanzibar na kinyume chake. Rejea kuvunjika kwa Sudani. Wapo weusi waliamua kubaki Sudan ya Khartoum

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilifanya research kuhusu masuala ya elimu Unguja na Pemba
Ilibidi nibadili jina niwe Fatuma au halima na wanasema kabisa “ wewe wa kwetuuu” ili upate ushirikiano na wanakuuliza kabisa,” sasa wewe mbara kwanini kutuhoji sisi kwani zanzibari hakuna watu wa kufanya kazi hii?”
#KATAAMUUNGANO
Mie nilifanya project fulani huko ilinihitaji nifanye makazi huko licha ya maslahi kuwa makubwa lakini sasa kuna vichembe vya ubaguzi vilinivunja moyo, hata yake maslahi sikuona umuhimu wake nikarudi zangu bara.
 
Wakati huku tunawapa heshima na majina mazuri,kwao wanatubagua
#Kataamuungano,niutapeli
 
Siyo kirahisi hivyo. Kuna mambo ya haki za binadamu na kina UN wataingilia kati.

Siku muungano ukivunjika inawezekana kukawa na kipindi cha mpito ambapo inawezekana Wazanzibar waliopo bara wakapewa uhuru wa kuchagua, kubaki bara na haki zao zote zikalindwa mfano kupewa uraia wa Tanganyika au kurudi Zanzibar na kinyume chake. Rejea kuvunjika kwa Sudani. Wapo weusi waliamua kubaki Sudan ya Khartoum

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Haina shida ila si kigezo cha Muungano kuendelea,
Tunapata viongozi wasio na huruma na walio tayari kuuza rasilimali zetu kwa kigezo cha kuipa milioni tano tano simba na yanga
 
Izi porojo zenu hazijaanza leo,kama ww hufaidiki haimaanishi kua hauna faida .,na pia sie Bara ndio tuliwafata wao na always bara ndio tumekandamiza xnaa hao
 
Back
Top Bottom