Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Mzanzibari hauwi mtu wala kutia mtu kilema kuchukuwa hivyo vitu , inakuwaje nyinyi mnakuja kuuwa watu
Ili Mzanzibari apewe hivyo vitu ????😝😝
Una uhakika gani haui?
Kwani hao wanajeshi ni watanganyika peke yake?
Si mna jeshi Zanzibar? Ambalo ndani yake ni Wazanzibari?
Hii hoja haina mashiko.
Muungano haina faida Kwa Watanganyika.
 
Una uhakika gani haui?
Kwani hao wanajeshi ni watanganyika peke yake?
Si mna jeshi Zanzibar? Ambalo ndani yake ni Wazanzibari?
Hii hoja haina mashiko.
Muungano haina faida Kwa Watanganyika.
Hilo jeshi linaitwa jeshi la Zanzibar?
Lini Mkuu wa majeshi alikuwa Mzanzibari??
 
Punguza chuki !

Ubaguzi wa kikanda hata hapa Tz upo ,Vunjeni muungano ,then gaweni majimbo na ukanda pwani wote upewe zenji mkitaka usawa then uone huko kweny mapori yenu nana atakuja.

Unaongelea mzenji ambaye huku bara mnamuita "shoga" kama wa kiume huoni huu ni ubaguzi .

Mimi binafsi swala na kuvunja muungano bora mvunje ila sipo tayar kuongozwa na raisi anayetokea Chadema na kaskazini kwa ujumla bora mzanzibar.

Vunjeni kanda zote tuone ngoma iwe draw kama umetokea kanda ya kati basi hata ajira uajiriwe huko huku kwengine usifike.

Really ,watu wanachukiana hakuna la kupinga .
Wewe nahisi hauko saw rudi darasani kwanza ,eti pwani wapewe zenji wapewe kwa sababu tunawaogopa au ? Mmechukua bagamoyo mnataka na pwani mzima!
Tushasema tunaukaataa Muungano wa kiboya
 
Kwa hii katiba ya sasa jinsi ilivyo, akipatikana rais wa Tanzania Mzanzibar, halafu akafumba macho na kuziba masikio, hakika Zanzibar itatajirika.

Itakuwa ni mwendo wa kuchukua rasilimali za bara na kuhamishia huko Zenji kimya kimya, na ikumbukwe katiba hii inampa mamlaka makubwa rais

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu,kama hatuwezi kua na serikali tatu bora zenji iwe mkoA tu na raisi awe nimmoja tu bara na visiwani.
 
Hata wao visiwani pia wanalalamika huu Muungano,
Tatizo kuu na sugu sio muungano huu bali ni ubinafsi na tamaa ya kujirimbikizia mali(ulioasisiwa na ccm). Ugonjwa huu unaanza kumega Muungano wa Bara na Visiwani.
Sisi wa Bara tukiachana na wazanzibar, bila ya kutambua na kutibu ugonjwa huu, utaendelea kututafuna na hapo tutamwona kiongozi rais wa Tanganyika anapendelea atokako. Hatutabaki salama.
Pia Zanziba watakua na vita ama migogoro yao. Bara zitapigwa na visiwani hakutakalika.
Dawa ni tukae tutambue chanzo tutibu, hata ikija katiba mpya bila gonjwa hili kushughulikiwa ni kazi bure. Ije ije katiba. bora inayoweka sheria kali za kuondoa kujipendelea na kujilimbikizia mali bila kuwajali wenzio. Mie nilitegemea Magufuri mnayemuita kiongozi bora angeenda kujenga uwanja wa ndege mkoa atokako waziri mkuu wake nako kuchangamke na kusukuma shughuli za kiuchumi, hilo hamlioni. virus tayari. inawatafuna.
Sasa tatizo kuu ni ccm kama hamjui mana ndio inatupelekesha. Ni lidudu baya sana ccm lililovaa ngozi ya kondoo huku ndani linafuga majoka ya ajabu. Napendekeza futa ccm na vyama vingine vyote baada ya kuunda katibu bora. Vianzishwe vyama vipaya tofauti na hivi. Lazima gonjwa hili iitapona
 
Unamaanisha kijana yupi?
Mi naongea Wazanzibari wote simaanishi mtu mmoja.
Watanganyika wote hawana faida wanayopata kwenye muungano huu.
Wakienda Zanzibar wanawekwa kwenye kipengele Cha "foreigners " wanaoruhusiwa kufanya investment, what the hell is this?
Alafu Wazanzibari wakija huku hawafanywi kama maforeigners ila Wana Haki sawa na wazawa.

warudi kwao
Kwani si wana kwao?
watuachie nchi yetu!
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
Watu mmechafukwa.
 
Ni kweli ndoa inayofaidisha upande mmoja hiyo ndoa haifai.

Kila mmoja achukue hamsini zake.
 
Back
Top Bottom