Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,815
- 33,486
Kumbukeni mchanga wa kujenga nyumba za Zanzibar unatoka Tanganyika,wala ulojo hawana kitu
Na hapo ulienda unguja ukienda Pemba ndio kabisa wanaweza kukuchomea mpaka nyimba,wale wavaa bakozi nuksi sana wale.Naunga mkono hoja nimeishi Zenji nimeona ubaguzi wao kwa sisi Wabara.
Serikali tatu ndio palikuwa pa kuanzia. Zingepita serikali tatu na wakashindwa kuzihudumia, muungano ungevunjika automatically! Muungano haujabalance kabisa, unaimeza the Republic of Tanganyika.Serikali tatu ni gharama kuendesha so bora kila mtu asepe tubaki na Tanganyika yetu
TANGANYIKA HATUTAKI Muungano wa KinyonyajiWenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.
Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!
Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.
Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Hata wao visiwani pia wanalalamika huu Muungano,Hivi unahisi sisi watanganyika tutapata hasara gani zaidi ya faida?
Ndomana siwaelewi wazanzibar mmekalia udini tu ,mimi popote nasali ila kama anayeabudiwa Ni Mungu mmoja,.
Kwani Kati ya huko na huku wapi pana waisilamu wengi?
Pia tuwe na chuki na waarabu ili iweje ? Sisi tunatetea maslai ya nchi nyie mmebaki kwenye udini.
Na kunyonya resource na rasilimali zetu kwa kigezo cha Muungano wa kinafki.
#Kataa Muungano ,hauna faida ni utapeli
HAKUNA.....hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika
Wewe huko zenj mnaongoza kwa kufeli, kila siku wa mwisho nyieWangekuwa vizuri zaidi ya ile ...Kausha, punguza umbea ,kaa kwenu !!
Elimu baba yako tu hana! wakati fuatilia watu wa kwanza kuwa na elimu sio wezi wa mitihani[emoji1787][emoji1787]ndo maana sura zinachakaa kwa ubatili ,kazi pombe kama wanyama
🤣🤣🤣kafeli babaako sembuse watu wa kwaida ndo unavydanganywa na mmoja wapo ni Rais wako.Wewe huko zenj mnaongoza kwa kufeli, kila siku wa mwisho nyie
Sasa nani kakubana?Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.