Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

S
Waliokuja kuvamia 1964 wengi ni hawa wanaojiita waislamu, walimfuga nyoka Nyerere akawalaghai wakaona bora kafiri, wakashirikiana kuuwa waislamu kwa maelfu.
Huyu Kikwete alifanya nini 2015 baada CCM kushindwa?? Si slituletea jeshi akamlazimisha Jecha kufuta uchaguzi?

Sisi hatuoni umuhimu wa Muungano,mmetunyonya sana tumewachoka ,mnajificha kwenye udini ili mpate huruma ,hapa hoja ni moja
#kataa Muungano, muungano ni utapeli
 
huu muungano ni wa hovyo kabisa.......wazanzibar ni WABAGUZI hatari......nilinunua nyumba malindi nikaifanya ofisi...aiseee nilifanyiwa fitina pale....wacheni kabisa... nashukuru nlipata wanasheria nguli,,,, nikaiuza kwa faida.....na biashara nikafunga.........
yaani hauna faida kabisa uvunjwe hata leo.......na walioko bara fasta waende kwao....wakaanze upya kuomba vibali vya kuja bara.....pumbafu kabisa
 
#Kataa Muungano,Muungano ni utapeli
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
Ukataliwe mara ngapi??
 
Muungano usio itambua serikali ya Tanganyika ni haramu
 
S

Sisi hatuoni umuhimu wa Muungano,mmetunyonya sana tumewachoka ,mnajificha kwenye udini ili mpate huruma ,hapa hoja ni moja
#kataa Muungano, muungano ni utapeli

Kwani aliyevamia ni nani , si muondowe majeshi yenu yaliyojaa kila mtaa
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.

Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Wazenj mmeumizwa lini na wapi? Shule tu mmegoma kwenda
 
Punguza chuki !

Ubaguzi wa kikanda hata hapa Tz upo ,Vunjeni muungano ,then gaweni majimbo na ukanda pwani wote upewe zenji mkitaka usawa then uone huko kweny mapori yenu nana atakuja.

Unaongelea mzenji ambaye huku bara mnamuita "shoga" kama wa kiume huoni huu ni ubaguzi .

Mimi binafsi swala na kuvunja muungano bora mvunje ila sipo tayar kuongozwa na raisi anayetokea Chadema na kaskazini kwa ujumla bora mzanzibar.

Vunjeni kanda zote tuone ngoma iwe draw kama umetokea kanda ya kati basi hata ajira uajiriwe huko huku kwengine usifike.

Really ,watu wanachukiana hakuna la kupinga .
Hilo kaemu zenj mmeongozwa na wazanzibar miaka kibao kipi mmepata zaidi ya umaskini?
 
Tafuteni hela.. hata Muungano ukivunjika kama huna michongo utabaki fukara tu
 
Maadui wawili wa Mtanganyika:
1. CCM
2. MUUNGANO
tungefuta hivi vitu viwili , Tanganyika ingekuwa nchi ya asali na maziwa!!!
Ukitaka kujua madhara ya ccm tembelea wilaya ya HANDENI MKOA WA TANGA. Uone umaskini uliopo kwa miaka 60 ya uhuru.
Je, umeshawahi kufika Wilaya ya Ludewa na kuzunguka katika vijiji vyake?? Usifanye mchezo, Ludewa imepigika vibaya sana kupita kiasi. Ndio maana Mchungaji marehemu Christopher Mtikila (mzaliwa wa Ludewa) alikuwa MTATA SANA DHIDI YA SERIKALI. Maisha yake yote ya hapa duniani aliyatumia katika kupambana na Serikali ambayo yeye aliona kuwa ilikuwa sababu kuu ya kuifukarisha Ludewa na Watanganyika wote kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom