Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,905
Tutandike jamvi chini,
Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.
Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.
Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.
-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.
-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?
-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu
-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa
-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.
-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..
- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.
Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.
Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.
Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida