Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Kama sisi watanganyika hatuwezi kumiliki ardhi zanzibar, ila mzanzibar anaweza kumiliki ardhi bara.

#KataaMuungano

Unataka ardhi Zanzibar ya kazi gani Wakati Tanganyika inatafuta watu?
Hao wanaonunua ardhi Tanganyika wengi Hao CCM wezi
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
Naunga mkono hoja
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.

Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Na mtafute Jamiiforums yenu ,hii ni jamiiforums ya watanzania ,mtafuteni Maxence Melo wenu pia 😂😂😂😂😂😂
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
Kwa hoja zako hizo maana hata mimi nayaona matatizo hayo nakuona uko sahihi mkuu.

Udini sana hao watu.
 
binafsi naamini waanzilishi wa huu Muungano wallikuws na nia njema ila sasa kwa hawa tulionao wanautumia vibaya
Hivyo
HATUONI LOGIC YOYOTE YA MUUNGANO
HUU NI UTAPELI inabidi tupaze sauti zetu ili TUUVUNJE KILA MTU AENDESHE MAMBO YA NCHI YAKE
WA BARA AKAE BARA
NA ZNZ AKAE ZNZ NA MAMBO YAKE
 
Wapi tumesema wabara sisi ni matajiri? Nyie ndio mnajiongopea eti tungekuwa vizuri, muwe vizuri hata elimu tu hamna
Wangekuwa vizuri zaidi ya ile ...Kausha, punguza umbea ,kaa kwenu !!

Elimu baba yako tu hana! wakati fuatilia watu wa kwanza kuwa na elimu sio wezi wa mitihani🤣🤣ndo maana sura zinachakaa kwa ubatili ,kazi pombe kama wanyama
 
Na mtafute Jamiiforums yenu ,hii ni jamiiforums ya watanzania ,mtafuteni Maxence Melo wenu pia 😂😂😂😂😂😂

Mbona ziko , hii ni ya East Africa au hujui kuwa mna wa Burundi , Rwanda, Uganda, Kenya, hii si politics tu .
 
Hoja ya kipumbavu mno.
Sisi shida sio muungano.
Shida ni wewe bwege keyboard worrier
Mkiambiwa muitoe ccm nyoko mnasema hamna mbadala,
Bado kunajisiwa tuu ndicho mlicho bakizwa.

Hoja mezani bandari isiuzwe, base line katiba rasimu warioba, action kuandamana kuitoA ccm
Haya ndo maamuzi ya kiume
Mi 5 tena kwa wala Orojoooooo
Mtakoma pumbavu zenu,watanganyika.
 
Back
Top Bottom