Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

Kivipi Kwasababu huwezi kuwa Mtanganyika ukawa na uchungu na zanzibar au mzanzibar ukawa na uchungu na Tanganyika,ni bora tuvunje tu,na tukichelewa kizazi kijacho kitavunja iwe isiwe
Jiulize kwa nini wanaung'ang'ania?
 
Bara wasomi wapo ila kuhusu muungano walipata zero kabisa.

Wale waliosoma kwa kuunga unga kule visiwani wakija bara wanachukua nafasi kubwa serikalini ndio wanawapangia akina Prof Kabudi,prof muhongo, prof mkumbo kazi.

Very interested!!!
....Very Interesting....! [emoji846]
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.
Nini kinawazuia kustawi. au bado una mentality ya kukosa misaada ya sultan wenu
Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
##kataa muungano ni utapeli
 
Badala ya kuondoa mipaka yote tukawa kama Marekani na Urusi hata Kanada mnawazia tena kugawanya!
Hilo sawa,ibaki nchi na serikali moja au Muungano uvunjike? kumbuka kabla ya kuwa Tanganyika kulikuwa na serikali nyingi za kichifu ,zikavunjwa ikaundwa moja, hamna nchi ndani ya nchi
#Kataa Muungano ni utapeli
 
Tutandike jamvi chini,
Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.
Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki,
Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.
-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.
-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?
-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu
-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa
-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.
-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..
- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.
Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
Kweli.
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.

Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
#Kataa_Muungano
 
Tutandike jamvi chini,

Ndoa yoyote lazima iwe na manufaa kwa wanandoa wote ili kudumisha Muunganiko, kama mmoja anataka awe tu mmufaika pasina kutimiza wajibu au kuwa mbinafsi basi hiyo ndoa haina Maisha au haina uhai,na iwapo itaendelea kuna maafa mbeleni.

Hebu tuje labda mnijuze mm sioni Umuhimu wa Muungano .Sibezi jitihada za nyerere na Karume kwenye hili la kuangalia jicho la kiusalama zaid,lakini hilo kwa sasa halina mantiki.

Si lazima adui atokee zanzibar tu, maana tumepatana na kenya,rwanda,burundi,congo n.k kwanini asitokee huko?
Tekinologia imeendelea si lazima vita vipiganwe ana kwa ana...!!kuna silaha kutoka bara hadi bara hivyo ishu ya usalama imepitwa na wakati.

-Ishu ya kijamamii, haiwezekani huu Muungano, mmoja ale chako tu chake hakitaki kiguswe ,ardhi yake ni yake yetu ni ya pamoja hamna Muungano wa hivyo huo ni ujinga, fursa za Ajira za kwake ni zake ,za kwetu ni za Muungano na kisiasa pia, pia kwenye ndoa hawa watu ni wabaguzi kweli kweli hata kwa binti zao kwa wabantu.

-Kiuchumi- haiwezekani leseni ya bara iwe ya bara tu,ila ya zenji ni ya Muungano uwo ni ushuzi, .kwenye kodi huku utalipia kodi ukiingiza kule utalipia pia mantiki ya kuungana ni nini?

-Kisiasa-mtanganyika hana haki ya kisiasa kule hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, mzanzibar ana haki zote hata kuingia ikulu

-Kiutamaduni-
Sisi ni wabantu wao wanajiita waarabu ingawa waarabu wanawakataa

-geographical location kila nchi ina mipaka yake iliyojiwekea na nchi nyingine ina dai eneo kwa nchi nyingine,ushuzi huu.

-Utalii- ndo hoja yao kuu ,ila cha kushangaza sisi tuna resources kuzidi wao, sasa umuhimu wao upo wapi..

- Kidini- Kule ni udini tu wamekalia hoja za kidini-.pia ni wabaguzi kwa wasio wa islam.

Faida kwa mbara; nisiwe mnafiki kwakeli hamna ,na hili muulize mwananchi yoyote wa bara hivi kuwepo kwa Muungano kunasaidia nn Mtanganyika naamini asilimia 98%Watakwambia hamna.

Zaidi ya kunyonya resource zetu,kuchukua ardhi,kutubagua,na kuuza bandari zetu,na kuleta udini.
Mimi naomba niwe muasisi wa Kampeni ya #Kataa Muungano.

Muungano ni utapeli,unyonyaji,udini, n.k na hauna faida
Hoja ya kipumbavu mno.
Sisi shida sio muungano.
Shida ni wewe bwege keyboard worrier
Mkiambiwa muitoe ccm nyoko mnasema hamna mbadala,
Bado kunajisiwa tuu ndicho mlicho bakizwa.

Hoja mezani bandari isiuzwe, base line katiba rasimu warioba, action kuandamana kuitoA ccm
Haya ndo maamuzi ya kiume
 
Punguza hisia Mukuu, hoja moja haiui hoja nyingine, Kama wewe ni Mtanganyika utaniambia hoja ipi kati ya hizo ni ya kupu.... Kama mtazamo wako ama ya kupuuzia, hivi inakuingia akilini fursa za kazi zitolewe kwa nchi moja kwa usawa,nyingine hamna,biashara hvyohivyo,kisiasa na uongozi zitolewe kwa usawa kwenye nchi moja tu,nyingine hamna ,ardhi,umeme ,chakula,ulinzi sasa sisi watanganyika tuna nufaika na nn ? Eti kama ww Mtanganyika unanufaika na nini!
Huoni viongozi wa Zanzibar hawana uchungu na Tanganyika mara wagawe ardhi,mara udini,uoni deni tunalipa sisi ila mikopo tunagawana sawa! Hatuna haki ya ardhi wala siasa,wala uhuru sasa Muungano wa nini?
Ni rahisi kuungana na zambia au burundi kwa usawa ila si hawa zanzibar,...
Hoja zako ni zamuhimu ila haziui hii hoja.
#Kataa Muungano ni utapeli
 
Maadui wawili wa Mtanganyika:
1. CCM
2. MUUNGANO
tungefuta hivi vitu viwili , Tanganyika ingekuwa nchi ya asali na maziwa!!!
Ukitaka kujua madhara ya ccm tembelea wilaya ya HANDENI MKOA WA TANGA. Uone umaskini uliopo kwa miaka 60 ya uhuru.
Hali inavyoenda na hizi teuzi Kuna siku watakaa mawaziri wawili wazanzibari mmoja wa Muungano na mwingine wa Zanzibar kuijadili maslahi ya Tanganyika. Sijui kama mnanielewa?
 
Punguza hisia Mukuu, hoja moja haiui hoja nyingine, Kama wewe ni Mtanganyika utaniambia hoja ipi kati ya hizo ni ya kupu.... Kama mtazamo wako ama ya kupuuzia, hivi inakuingia akilini fursa za kazi zitolewe kwa nchi moja kwa usawa,nyingine hamna,biashara hvyohivyo,kisiasa na uongozi zitolewe kwa usawa kwenye nchi moja tu,nyingine hamna ,ardhi,umeme ,chakula,ulinzi sasa sisi watanganyika tuna nufaika na nn ? Eti kama ww Mtanganyika unanufaika na nini!
Huoni viongozi wa Zanzibar hawana uchungu na Tanganyika mara wagawe ardhi,mara udini,uoni deni tunalipa sisi ila mikopo tunagawana sawa! Hatuna haki ya ardhi wala siasa,wala uhuru sasa Muungano wa nini?
Ni rahisi kuungana na zambia au burundi kwa usawa ila si hawa zanzibar,...
Hoja zako ni zamuhimu ila haziui hii hoja.
#Kataa Muungano ni utapeli
Ni kweli nimeandika kihisia kwasababu ya kuchoshwa na udumavu wa fikra mliokua nao watanganyika wengi.
Iko hivi,

× Rasimu ya katiba pendekezwa ya jaji warioba imeweka mambo yoote ya muungano sawa kama maoni ya wananchi walivyopendekeza yaani wabara na visiwani ikiwa ni pamoja na swala la serikali tatu.
Dunia ya sasa ni ngumu kukimbia muungano si dunia ya kujitenga bali kurekebisha muundo istoshe ukweli usiopingika sisi ni ndugu tayari.

Hata hivyo ni aibu kusema tunaonewa na zanzibar inchi iliyo na watu wasiozidi hata DsM , means what wabara ni cowards, wapumbavu na wajinga. Tumewapo roho na utu wetu wanasiasa we are worthless now... hatujawapa mipaka viongozi wetu wanatuendesha watakavyo... na sifa ya binadamu yeyote usipo mpa limit nature yetu ni ku go beyond ya uharibifu....

Nasisitiza current tupambane na hili la DP Kisha tuendelee na katiba.

Swali vikirishi... hivi kwanini maandamano ya yanga na simba yanafanikiwa lakini ishu za kitaifa hazifanikiwi???
 
Yanafanaikiwa kwa sababu ya Kukosa Elimu,
Ongezea na maandamano ya Mwenge hivi wakuu wa wilaya mikoa ,mawaziri wanafanya kazi gani hadi Mwenge ukazindue miradi mipya,na wenyewe ni wa kuukataa

Tunaitaji Katiba mpya ,ila serikali tatu ni kurudia kulekule hamna nchi ndani ya nchi ,either iwe nchi moja nyingine iwe jimbo ama tuuvunje
 
Back
Top Bottom