Tuambie uko wapi na unauza nini?

Tuambie uko wapi na unauza nini?

Subwoofers, home theater, soundbars, na speakers pitieni hapa wakuu

Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.

Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.

Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..

Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..

I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.

Uwanja ni wenu.....
Tuanze na wewe uko wapi na unauza nini.

IMG_3708.jpeg
Nauza vibadilisha Ngozi..
Jumla na rejareja
Online shop
Nafanya delivery
Ukihitaj njoo PM
 
Tyre dogo namba kumi na nne kaka ,la Noah kwako napata kwa shilingi ngapi ? Nimeliuza tyre spea jana maana mshahara umekawia na koo haliko likizo ndugu
Ungenitajia size kamiki uliyofunga kwenye Noah yako, mana size 14 zipo nyingi na kila moja ina bei yake
175/70/14 80,000
185/70/14 85,000
195/70/14 100,000
205/70/14 115,000
 
Nauza friji na friza, nipo kariakoo pitieni uzi huu mnisapati wakuu

Sawa Rafiki tumeona,.
Nitapitia uzi wako
 
Why picha iwe ngumu,. Inabidi tuone hiyo accessory ya 15k inafananaje? So we can pick??. Na vipi wauza kwa jumla au rejareja ??@Poor Brain
Kwani ni lazima uvione au ununue vitu vyake? Ameshakuambia picha haiwezekani wewe bado wang'ang'ana kama super glue. Unahitaji hizo bidhaa nenda duka lililo karibu nawe. Over!
 
Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.

Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.

Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..

Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..

I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.

Uwanja ni wenu.....
Naona mmeanza kuwatafuta kiaina wale Cyber Criminals wa jana ili muwateke siyo?
 
Kwqmba nikuambie niko wapi ? Nafanya nini ? Nini maana ya anonymity??? Kuna majukwaa yake huko peleka Facebook, insta n.k,,,ikiwezekana lipia adds !
 
Kwani ni lazima uvione au ununue vitu vyake? Ameshakuambia picha haiwezekani wewe bado wang'ang'ana kama super glue. Unahitaji hizo bidhaa nenda duka lililo karibu nawe. Over!
Aisee,. Mbona povu mkuu??🤔🤔
 
Back
Top Bottom