Tyre dogo namba kumi na nne kaka ,la Noah kwako napata kwa shilingi ngapi ? Nimeliuza tyre spea jana maana mshahara umekawia na koo haliko likizo nduguNauza tyre za magari
Nauza rim za magari
Nauza battery za gari
Napatikana Kariakoo
0626 799 329
NakaziaKumbuka wewe hujatupa location 😊
Cheza na vyote ila sio mamlakaHahah
Karibuni sana, nyumba ni maisha na vifaa bora mimi ndiye ninayeviuza kwa bei ya chini.Oukay thanks,. Picha??
Why picha iwe ngumu,. Inabidi tuone hiyo accessory ya 15k inafananaje? So we can pick??. Na vipi wauza kwa jumla au rejareja ??
@Poor Brain
Nitashukuru ,fanya uwe njia ya mimi kuitwa mtumishi mwenye hela kuliko daily kuitwa chapombe na wakulima mshenziSafi mkuu ngoja nifatilie hapa chap alafu nakurejea
Baby mi sina mchumba...Huna uchouza babe??😃😅
Dada unaweza kuweka na picha walau tuoneKwa watu wa Songea anae hitaji Aluminum profiles,. Kutengenezewa Madirisha na milango ya chuma na Aluminums. Makabati na meza za vioo,. Showcases na Mageti na container za kuuzia bidhaa basi asiache kututafuta kwa namba hizi hapa 0679739287
Yaani ukiwa vzr mkuu mbona hata mimi takubalo kufata nyendo zako.Nitashukuru ,fanya uwe njia ya mimi kuitwa mtumishi mwenye hela kuliko daily kuitwa chapombe na wakulima mshenzi
Mada zipi mdogo wangu maana kila siku hizi mada huzitaji unanipiga pin juu kwa juu unapotea ,leo nichane tu mfanyabiashara mwenzanguYaani ukiwa vzr mkuu mbona hata mimi takubalo kufata nyendo zako.
Hapo ukiacha na kuchangia zile mada za ajabu ajabu ndo utakua verify kabisa kuwa mtu na heshima zake