balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,152
Huyo Twiga bei gano?Saa za Watoto
Tsh 15,000/=
Arusha Town
0712350159
Huyo Twiga bei gano?Saa za Watoto
Tsh 15,000/=
Arusha Town
0712350159
Kuna mmoja said. "Niko mtaani nauza sura"Uzi mzima sijaona wale dada zetu wauza utamu kwa maana ndo bidhaa pendwa.
Cha kilo kumi!Nauza kitumbua
mmesajiliwa na VETA?Kwa watu wa Songea anae hitaji Aluminum profiles,. Kutengenezewa Madirisha na milango ya chuma na Aluminums. Makabati na meza za vioo,. Showcases na Mageti na container za kuuzia bidhaa basi asiache kututafuta kwa namba hizi hapa 0679739287
Tunafundisha pia vijana kazi zote za welding na Aluminums kwa vitendo ,. Ada 300k mpaka aweze kila kitu🙏🙏
Location nope nopeKwa hali ya sasa siyo muhimu sana kujuana location.
Npo Tabata nauza Generator kubwa pamoja na spare zakeHellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
Jirani kuwa serious basi😀😀Nauza kibamia kwa bei nafuu. Napatimana tegeta kibaoni. Wateja wa jinsianya kike tuu ndio nawahudumia
Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
Jirani mambo vipi? Mbona hujaja kukichungulia kibamia au hupiki mlenda leo tule na ugaliJirani kuwa serious basi😀😀
😀😀😀Jirani mambo vipi? Mbona hujaja kukichungulia kibamia au hupiki mlenda leo tule na
Jirani leo nakuja kwako hapo mida ya jioni. Nikuletee nini jirani
Tangu lini ndege😁😁Niko Kenya mombasa kwa sasa kazi ako nafanyanga ni nauzanga vifaa vyote vya ujenzi.
So nawakaribisha JF members ambao wanakaa Kenya hasa wale wa karibu na mwambao wa Indian ocean.
Gharama zako zikoje?Mimi kwa ambae anataka kuja kutembea Zanzibar anitafute
Karibuni Zanzibar
Gharama zinategemea na safari unazotaka kwendaGharama zako zikoje?
Karibu nduguGharama zako zikoje?
Jirani lete hata chocolate tu inatosha, sina mambo mengi😀Jirani leo nakuja kwako hapo mida ya jioni. Nikuletee nini jirani
Usijali hiyo umepata na cake juuJirani lete hata chocolate tu inatosha, sina mambo mengi😀