secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,387
- 28,807
Tangu mwezi wa nne nikongo huku.Tangu lini ndege😁😁
Tangu mwezi wa nne nikongo huku.Tangu lini ndege😁😁
😂😂😂😂Hakuna wateja huku labda mateja. Tujadili mengine
Na kiswahili kimebadilika naona😁😁Tangu mwezi wa nne nikongo huku.
Sisi wakenya tanawaongelea Kiswahili mbaya lakini nyie mnatuongelea kiingereza mbaya.Na kiswahili kimebadilika naona😁😁
Nipo Ushirika Tukuyu nauza tooki na mbaoHellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
Aisee hii ni maajabu, yaani siku zote hizo unaongeaga kiswahili kizuri leo imekuwaje😁😁Sisi wakenya tanawaongelea Kiswahili mbaya lakini nyie mnatuongelea kiingereza mbaya.
Due kiingereza ni lingua franca ya world wakenya tuko mbele ya Tz.
Ukikaa huku Kenya hata kwa siku mbili unaweza sahau Kiswahili.Aisee hii ni maajabu, yaani siku zote hizo unaongeaga kiswahili kizuri leo imekuwaje😁😁
Okay, wasalimie wakenya wenzio huko😁😁Ukikaa huku Kenya hata kwa siku mbili unaweza sahau Kiswahili.
Yaani mahali yoyote unaenda watu wanakupea service kwa kutumia English.
Nakukaribisha kwenye nchi muzuri sana.Okay, wasalimie wakenya wenzio huko😁😁
Huko hatuji maisha magumu kuliko huku TzNakukaribisha kwenye nchi muzuri sana.
I warmly welcome all the Tanzanians.
We kuja maisha ni kupambana.Huko hatuji maisha magumu kuliko huku Tz