Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,930
- 136,697
Utakufa wima.Nauza kibamia kwa bei nafuu. Napatimana tegeta kibaoni. Wateja wa jinsianya kike tuu ndio nawahudumia
Utakufa wima.Nauza kibamia kwa bei nafuu. Napatimana tegeta kibaoni. Wateja wa jinsianya kike tuu ndio nawahudumia
FambaUna bahati Sana, unge kaa kwenye mikono yangu unge ishia kupostiwa na mishumaa nusu albino wewe.
😂😂😂😂😂Uzi wa ma winga...🤣
😂😂😂😂Jirani hiyo itakuwa ngumu, humu tunaishi watu tusiojulikana….!!
Wanaouza biriani wapost niniHellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi.
Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao viewers ni robots na watu walioko nje ya nchi,. Naamini wengi tupo hapahapa Tz,.
Your girl nikaja na wazo,. Why wafanya biashara na wajasiriamali tusitumie hii fursa,. Na nina imani itawork out... Em tuambie uko wapi?? Na unauza kitu gani ??( hapa unaweza ukaweka hata picha moja ya bidhaa unazouza na bei ) Au unatoa huduma gani??,. Unaweza kupata wateja wengi humu pia naamini watu wapo na wataona na watakutafuta,..
Kwa watoa huduma em jaribu tu kuielezea huduma yako tu vizuri bila kuweka links ( hii kuepukana na utapeli au hackers) .. Just nadi tu huduma yako atakayevutiwa nayo akutafute Pm na mje mtupe mrejesho mambo yalikwendaje??..
I promise to be your first customer from JF/JA nikivutiwa na bidhaa au huduma yako,.
Uwanja ni wenu.....
Mambo mrembo. Kibamia kimeshika bei...buku 5 tuu unaenjoyUtakufa wima.
Wee unas3ma kuwa wanaume wa jf hawana dollar? Ebu tangaza tuone kama hawafiki dauSijaona wa kuniungisha wote choka mbaya…!! 😹😹
Nitakuja kukutembelea kaka siku. Weekend uwa naenda Chanika.Nauza Electronic device
Nauza phone accessories
Nauza movies zooteeee
Location dasalam Gomzi
Free delivery kwa hapa gomzi
Kakipikie kwa dagaa,Mambo mrembo. Kibamia kimeshika bei...buku 5 tuu unaenjoy
Hivyo sina mkuuAisee ndula kali....vipi unauza cones na poles za mazoezi?
GUd gud mkuuNauza tyre za magari
Nauza rim za magari
Nauza battery za gari
Napatikana Kariakoo
0626 799 329
Mkuu karibu sana aiseeeNitakuja kukutembelea kaka siku. Weekend uwa naenda Chanika.
Kwani mna ugomvi mkuu.?Out of topic,.
Content ignored 🚮🚮
Nipe hiyo dealNdugu napata simu za batani za elfu kumi na elfu kumi na mbili niwapige wanakijiii huku wameanza kuvuna viazi ?
Cha Njombe nasikia kipo superiorCha Arusha ni kinini hicho mkuu,. Tunakipataje??, delivery unafanya??
![]()