Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Mwisho Wa Kazi Sio Mwanzo Wa Kupumzika, Ni Mwanzo Wa Kazi Nyingine
!
!
No Reforms No Election
!
!
No Reforms No Election
Ili mradi tu umezaliwa lazima uishi kibabe, kataa kuwa mnyongeKauli ya kibabe sana hii dah😂😭
Unaambiwa tukifa ndo tunapumzika, tukiwa hai tuendelee kupambanaIlaa....
Kwa style hii hakika tutakufa tumesimama
Umesema sahihi MkuuNamba 1 na 3 wanaweza kuchukua likizo, ila namba mbili ni vigumu kuchukua likizo maana wengi ni from hand to mouth
SIo Kwa biashara hii ya bongo aiseeBinafsi naona ukiwa umejiajiri, una fursa kubwa ya kuweza kupumzika kuliko kuajiriwa
Ni suala la kusoma miamala tu ya mauzo kwenye simu yako, huku unakula zako upepo wa bahari
Hakuna mwenye uhakika wa hiliUnaambiwa tukifa ndo tunapumzika, tukiwa hai tuendelee kupambana
Uhakika gani ? Kifo ni mwisho wetu,,,, tunapumzishwa/zikwa kaburini, then waliobaki hai maisha yanaendelea ! Ndo kupumzika kwenyeweHakuna mwenye uhakika wa hili
Hii umetoa wap?Uhakika gani ? Kifo ni mwisho wetu,,,, tunapumzishwa/zikwa kaburini, then waliobaki hai maisha yanaendelea ! Ndo kupumzika kwenyewe
ukipumzika kamari italala binti yanguWakuu habari za nyie...
Mara nyingi nimekuwa nikiskia watu wanaambizana,. "Ukijiajiri unakuwa na mda mwingi wa kupumzika Kwasabu Kila kitu unajiamulia mwenyewe ufanye au usifanye".. kiuhalisia naona kama hii kauli haina ukweli,. Ila tuachane nayo tu kwanza tujikite kwenye mada
Tukiachana watumishi wa serikali najuwa likizo wanazo na wanazotumiaje hilo wanajua wenyewe,. Haya wewe ambaye umejiajiri kwanini hupumziki??,. Kwanini hujipi mda wa kupumzika japo hata miezi miwili au mitatu utulie tu upumzishe mwili na akili Au hata wiki au hata siku kadhaa ,. Kwanini hufanyi hivyo?..
Ni kwamba unaipenda sana KAZI au biashara Yako??, Au ni kwamba wewe hupendi kupumzika ( kutulia ) ,Bado hujatimiza malengo? Na unaamini ukifanya KAZI mfululizo bila kupumzika ndio utafanikiwa??,. Unayo majukumu mengi kiasi cha kwamba usipofanya KAZI wiki au mwezi mmoja Kila kitu kinavuruguika??,. Huna mtu wa kukusaidia ?? Au shida Nini??.... Tuambizane tu kidogo huenda ukapata namna ya kujipumzisha kutokana na maoni ya wadau..
Kwa upande wangu ni kwamba Bado sijaweza kujisimamia mwenyewe na watu ninaoshirikiana nao usipowasimamia KAZI zinaweza zisiende au zikafanyika sio Kwa kiwango kile ambacho inabidi kifanyike, Na mambo mengi ambayo yanahitaji kutimizwa Kwa wakati maana umri hausimami eti🥹
Nahitaji sana kujipumzisha ila changamoto ndio hiyo..
Tuambie na wewe tatizo nini???
Kiasilia kila kiumbe akiwemo binadamu anapenda kuwa on top, independent and free..... ukiajiriwa kwa kiasi kikubwa unakosa hivi vituWakuu habari za nyie...
Mara nyingi nimekuwa nikiskia watu wanaambizana,. "Ukijiajiri unakuwa na mda mwingi wa kupumzika Kwasabu Kila kitu unajiamulia mwenyewe ufanye au usifanye".. kiuhalisia naona kama hii kauli haina ukweli,. Ila tuachane nayo tu kwanza tujikite kwenye mada
Tukiachana watumishi wa serikali najuwa likizo wanazo na wanazotumiaje hilo wanajua wenyewe,. Haya wewe ambaye umejiajiri kwanini hupumziki??,. Kwanini hujipi mda wa kupumzika japo hata miezi miwili au mitatu utulie tu upumzishe mwili na akili Au hata wiki au hata siku kadhaa ,. Kwanini hufanyi hivyo?..
Ni kwamba unaipenda sana KAZI au biashara Yako??, Au ni kwamba wewe hupendi kupumzika ( kutulia ) ,Bado hujatimiza malengo? Na unaamini ukifanya KAZI mfululizo bila kupumzika ndio utafanikiwa??,. Unayo majukumu mengi kiasi cha kwamba usipofanya KAZI wiki au mwezi mmoja Kila kitu kinavuruguika??,. Huna mtu wa kukusaidia ?? Au shida Nini??.... Tuambizane tu kidogo huenda ukapata namna ya kujipumzisha kutokana na maoni ya wadau..
Kwa upande wangu ni kwamba Bado sijaweza kujisimamia mwenyewe na watu ninaoshirikiana nao usipowasimamia KAZI zinaweza zisiende au zikafanyika sio Kwa kiwango kile ambacho inabidi kifanyike, Na mambo mengi ambayo yanahitaji kutimizwa Kwa wakati maana umri hausimami eti🥹
Nahitaji sana kujipumzisha ila changamoto ndio hiyo..
Tuambie na wewe tatizo nini???
Hapo ni mpaka utengeneze mfumo mzuri wa kazi kujiendeshaWakuu habari za nyie...

Jaribu kuweka mifumo ikusaidie kufanya usimamizi na uendeshaji wa biashara yako.SIo Kwa biashara hii ya bongo aisee
Kupumzika ni most overrated statement...
Matajiri wenyewe hawapumziki, sembuse sisi ambao inabidi tutoke ndipo tupate milo ya siku?