Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,605
- 25,754
Salaam ewe Raisi wa chama Cha majobless pro maxMimi kama raisi wa ma jobless pro max, naunga mkono hoja yako.
Cc min -me, Selikavu, Monetary doctor, Thecoder, dosho12, Razorblade
Salaam ewe Raisi wa chama Cha majobless pro maxMimi kama raisi wa ma jobless pro max, naunga mkono hoja yako.
Cc min -me, Selikavu, Monetary doctor, Thecoder, dosho12, Razorblade
Nimescreenshoot hii comment,. Kwakweli nahitaji kujifunza kuridhika labdaKwenye kitabu cha magic of thinking big by David Schwartz ana sema
" the mind is a place it's self, you can make a hell out of heaven, or a heaven out of hell.
Nyashinski kwenye nyimbo ya hayawani, kaimba " tuna ongezea nini bidii, na roho ya mwanadamu haitosheki haki.
Kiranga ali sema the right time to stop, is not to start.
Mimi Intelligent businessman nasema jifunze kuwa na kiwango Cha kuridhika katika kila uki fanyacho.
Salama kabisa, kwema ewe makamu wa chama Cha ma jobless pro max?Salaam ewe Raisi wa chama Cha majobless pro max
Mimi imekua ngumu Ila nta retire early.Nadhani wewe uko kama Mimi mkuu,. Humu ndio sehemu ya kupumzikia na jumapili labda😃😂😂,.
I wish nipate mda hata mwezi simu imezimwa,. Niko tu mahali nimetulia napunga upepo,.kusoma some books , meditation yaani nipate utulivu wa mwili na nafsi
Kabisa mimi naona kila mtu amepumzka tu , wengine wanapumzika huko makazini wanachati humu tu.Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, naunga mkono hoja yako.
Cc min -me, Selikavu, Monetary doctor, Thecoder, dosho12, Razorblade
Naam itifaki ikizingatiwa nipo salama muheshimiwa Raisi,Salama kabisa, kwema ewe makamu wa chama Cha ma jobless pro max?
Naendelea vyema kabisaa.Naam itifaki ikizingatiwa nipo salama muheshimiwa Raisi,
Nimkaribishe mwangalizi wa majobless pro max muheshimiwa cc Dr am 4 real PhD
Pole mkuu,hulali hata kidogo au kabisa?Bagoshaa 🥺🥺
So conclusively,. Kupumzika ni Hadi uzeeni saizi tuendelee tu kupambana si ndio??KweNye kazi hizi au maisha tunayoishi yanataka utulivu, mapumziko lakini sasa unakuta kila unavyo piga hatua ndo unazidi kupambana
Mfn wanasema ukijiajiri unapumzika au uende kazini, ni biashara ya duka, kampuni, sokoni ama popote aseeh usipojitoa kusimamia biashara yako ni ngumu kupiga hatua
Tuachane na story za mitandaoni na motivation speaker,
Nina ushuhuda mmi nimeanza kuajiriwa kuuza duka 2017, lakini nilichojifunza kwa yule bruh ufuatiliaji kila siku, au mara tatu kwa wiki, bidhaa, mauzo, mwenendo mzima wa biashara, mm nipo dukani yeye yupo jingine Ila kupumzika naona alikuwa jumapili tuu tena nusu siku maake lazima aende kazini,
Nikatoka nikaenda kwingine Tena, nikatoka mpk kuajiriwa kwenye kampuni x, so hapa nilikuwa karibu na mwenye kampuni kwahiyo nilikuwa nashirikishwa each en everything anachofanya kwahiyo unakuta kiuhalisia kadri unavyo pata unatamani upate zaidi,
Upumzike kivip wakati unasubiriwa kukuza biashara, kulinda mtaji na wateja wako, jee utakula nn ?
Mpaka sasa nimekuja kuona hata mimi kupumzika ni wakati wa kulala tuu, na jumapili aseeh.
Maake utatoroka kazini kisa umeona fulani kasema yupo likizo ? Napo unaweza kuwa likizo una majukumu mengi mengi,
Pengine nadhani ukiwa na nguvu ufanye kazi kwa bidii uweke misingi mizuri ili hapo baadae upate huo muda Ila kwa sasa lazima uwe part of your work physically, mentally, and spirituality well