Tuambie sababu inayokufanya usipumzike.....

Nikisoma comment za humu mh kweli JF wote matajiri,wasomi, hawapumziki!

kuna yule yeye kila akiandika uzi anasema:
Kwa sasa Dar es salaam
Nipumzike sasa.

Cc: Robert Heriel Mtibeli
Matajiri hawana stress mda wowote wanapumzika,. And vice versa is true 😂😂😂
 
Technically unatuambia kuwa huwa hupumziki!!.
Biashara hiyo inakufa the sooner unapata serious challenje. Jiangalie sana.

Nb
Nimepumzika toka December 2024
 
Suala la kujipa likizo/ kupumzika ni muhimu Kwa Kila Binadamu

Zamani wakati tunalima kimazoea kutegemea mvua, ilikuwa baada ya mavuno hasa Mwezi Julai, ilikuwa tunapumzika miezi 2 hadi Septemba tunaanza tena kuandaa mashamba.

Nilipoajiriwa, nimekuwa nikichukua Likizo ya Siku 28 kwaajili ya kupumzika

Baada ya kupanda ngazi fulani fulani, nikawa napewa Siku 14 badala ya Siku 28

Kuna Siku nimechukua familia, na kwenda kupumzika viziwa vya karafuu, nikakuta napigiwa simu kuelekezwa kusitisha Likizo yangu na kurudi kwenye majukumu

Wakati huo nimekaa Likizo Siku 8 tu kati ya 14 nilizopewa

Binafsi naona ukiwa umejiajiri, una fursa kubwa ya kuweza kupumzika kuliko kuajiriwa

Ni suala la kusoma miamala tu ya mauzo kwenye simu yako, huku unakula zako upepo wa bahari

Labda kama hujaamua kuweka mifumo ikusaidie kwenye uendeshaji wa biashara/miradi yako
Pole na hongera,.

Mifumo Bado haijasimama for real...
Ila natamani ningepata mda hata hizo siku nane mbona zingenitosha sana kupunguza hizi pressure za kazi
 
So conclusively,. Kupumzika ni Hadi uzeeni saizi tuendelee tu kupambana si ndio??
Hapana sio mpka uzeeni Ila misingi unayoitaka ikakaa vzr,

Mfano tuseme una watoto wa shule, una Kodi nyumbani na biasharani kwako, Kuna bills za kila siku, una vikundi viwili vitatu, utapumzika vipi ?

Mfano mwingine anaona akishajenga ana kwake ile hela ya Kodi anaelekeza kwenye kitu kingne,

Haya watoto maybe wanasoma au haendelei na masomo ama ana mkopo tyr ela zile nazo zinapungua kama ni mradi utaweza kuongezea kitu au dukani ama kitu kipya, haya bills zitapungua maybe watoto wamepungua nyumbn au wana miji yao tyr,

so far ukijiwekeza vzr huko mbelen kutakufanya upate full time nyingi

Sasa tufanye kazi tuu, kwakweli kama zipo tupambane.
 
Technically unatuambia kuwa huwa hupumziki!!.
Biashara hiyo inakufa the sooner unapata serious challenje. Jiangalie sana.

Nb
Nimepumzika toka December 2024
Hongera sana aisee,.
Kusema ukweli mkuu, nisipiwepo au nikiumwa kama sio kufilisika basizee wangu lazima aingilie kati kusimamia
. Sometimes ni kumchosha tu so lazima nipambane mwenyewe

Naweza nikawa naanza upya hii mara ya 5, but I believe siku Moja na Mimi nitasimama na kupumzika pia
 
Suala la kujipa likizo/ kupumzika ni muhimu Kwa Kila Binadamu

Zamani wakati tunalima kimazoea kutegemea mvua, ilikuwa baada ya mavuno hasa Mwezi Julai, ilikuwa tunapumzika miezi 2 hadi Septemba tunaanza tena kuandaa mashamba.

Nilipoajiriwa, nimekuwa nikichukua Likizo ya Siku 28 kwaajili ya kupumzika

Baada ya kupanda ngazi fulani fulani, nikawa napewa Siku 14 badala ya Siku 28

Kuna Siku nimechukua familia, na kwenda kupumzika viziwa vya karafuu, nikakuta napigiwa simu kuelekezwa kusitisha Likizo yangu na kurudi kwenye majukumu

Wakati huo nimekaa Likizo Siku 8 tu kati ya 14 nilizopewa

Binafsi naona ukiwa umejiajiri, una fursa kubwa ya kuweza kupumzika kuliko kuajiriwa

Ni suala la kusoma miamala tu ya mauzo kwenye simu yako, huku unakula zako upepo wa bahari

Labda kama hujaamua kuweka mifumo ikusaidie kwenye uendeshaji wa biashara/miradi yako
Kijana ameweka makundi ya Ajira:-
1. Kuajiriwa (hapa unalipwa mshahara)
2. Kujiajiri (hapa wewe unafanya kazi ambayo mmiliki ni wewe, kihalali kwa wanaojua biashara lazima ujilipe mshahara ili matumizi yako yasiwe zaidi ya mshahara). Hapa unaweza kuwa ni mchanganyiko wa waajiriwa na wewe upo unafanya kazi mfano mama ntilie amejiajiri - anapika ila kuna vibinti vya kutafuta oda ameviajiri.
3. Kumiliki biashara - Wewe unapokea ripoti tu (hawa ni wachache na hapa JF kama wapo hawafiki hata 5% ya wana JF)
 
Pole na hongera,.

Mifumo Bado haijasimama for real...
Ila natamani ningepata mda hata hizo siku nane mbona zingenitosha sana kupunguza hizi pressure za kazi
Asante Mjukuu!

Unaweza kujipa likizo Kwa kuangalia high na low season ya biashara yako

Ukiona kipindi cha low season, ambapo biashara huwa inasuasua(kipindi cha mvua kutokana na biashara ya aluminium uliyosema unafanya huwa inakuwa chini) unaamua kupumzika japo Mwezi mmoja

Tena ukiwa umekusanya akiba kidogo, unaenda zako kupumzika Mikumi national park ama Ngorongoro

Ukirudi unakuwa timamu kuanzia mwili na akili Kwa ujumla
 
Kijana ameweka makundi ya Ajira:-
1. Kuajiriwa (hapa unalipwa mshahara)
2. Kujiajiri (hapa wewe unafanya kazi ambayo mmiliki ni wewe, kihalali kwa wanaojua biashara lazima ujilipe mshahara ili matumizi yako yasiwe zaidi ya mshahara). Hapa unaweza kuwa ni mchanganyiko wa waajiriwa na wewe upo unafanya kazi mfano mama ntilie amejiajiri - anapika ila kuna vibinti vya kutafuta oda ameviajiri.
3. Kumiliki biashara - Wewe unapokea ripoti tu (hawa ni wachache na hapa JF kama wapo hawafiki hata 5% ya wana JF)
Lakini makundi yote hayo yanahitaji Mwezi mmoja Kwa Mwaka japo kumzika na ku-refresh

Jambo la muhimu ambalo wengi wa Sisi Wabongo hatujui ni kushindwa kujilipa mshahara kwenye biashara yako

Unatakiwa ujichukulie kama mmoja wa waajiriwa kwenye biashara unayofanya hivyo unastahili Likizo fupi/ndefu
 
Namba 1 na 3 wanaweza kuchukua likizo, ila namba mbili ni vigumu kuchukua likizo maana wengi ni from hand to mouth
 
Hongera sana aisee,.
Kusema ukweli mkuu, nisipiwepo au nikiumwa kama sio kufilisika basizee wangu lazima aingilie kati kusimamia
. Sometimes ni kumchosha tu so lazima nipambane mwenyewe

Naweza nikawa naanza upya hii mara ya 5, but I believe siku Moja na Mimi nitasimama na kupumzika pia
Jitahid. Mimi sio kwamba nimepumzikq parsee ila siko kwenye mode ya full time.
 
Back
Top Bottom