Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 270
Dini ni tofauti hakuna cha kuficha.
kwani zitto , arfi nao si wapo? au ndio senema tu?
Dini ni tofauti hakuna cha kuficha.
kweli hawakuwa same. maana karume kaanzisha tv ya Mwanzo. mwalimu yeye akipiga marufuku sabuniTanzania bwana!!
Yaani kila anachofanyiwa Nyerere lazima afanyiwe Karume. By the way, hivi tulikuwa wapi miaka yote hiyo kuja na Karume day mpaka Nyerere alipotutoka!!?? Hata sarafu Karume alipewa baada ya manoti ya Nyerere kuapishwa. Tufikie mahali tukubali kuwa hawakuwa same class.
labda dini yake haiwavutii chadema
muwe wakweli chadema.Kwa wenye akili zetu tulijua ulikokuwa unaelekea. Mpo wengi mitakataka kama wewe. Karume hata wanawe wa kuwazaa wenyewe hawazuru kaburi lake hana sifa hizo.
Karume sio mwasisi wa taifa lolote lile duniani,
Mapinduzi hakuyafanya wala kuyaongoza yeye,
Siku ya mapindizi yeye alikuwa viunga vya Jiji la maraha la Daslamu.
Baba wa taifa la Zanzibar ni John Okello a.k.a Field Marshal
JULIASI KAMBARAGE NYERERE.
Wewe ndio raisi wa kwanza wa taifa hili la Tanganyika na baadae Tanzania. Umeondoka duniani miaka kumi na nne iliyopita sikumbuki walisema kwa shinikizo la nini vile. Ninakukumbuka sana na ninayakumbuka maneno yako matamu uyatoayo ukiwa mbele za watu. Umekua ukikemea UDINI, UKABILA, UMASIKINI,RUSHWA, UFISADI N.K. Mheshimiwa ningependa sana kile ulichokuwa ukikizungumza majukwaani kingekuwa ndio matendo yako halisi ila hali ilikuwa tofauti. Nakupongeza kwakuwa ulikuwa sikiongozi unaependa kujilimbikizia mali lakini karibu mateso yote tupatayo watanzania baada ya miaka 51 ya uhuru wewe ndio chanzo cha matatizo hayo. Ngoja nikukumbushe mheshimiwa miaka ile ya sabini uliwalazimisha watanzania kwenda kuishi vijiji vya ujamaa na waliogoma kama babu yangu ulimchomea nyumba yake na kuifanya familia yake ikalala nje. Wewe ndie uliyekuwa ukilazimisha watanzania wanunue betri za NATIONAL zilizotengenezwa kwenye kiwanda chako binafsi pamoja na kwamba haukuwa ruhusu watanzania kuwa na radio, uliifikisha nchi sehemu mbaya mpaka watu wakafikia kula nyasi. Ulikuwa haudhamini ELIMU na uliwaruhusu wachache kusoma tena kwa maagizo ya kuja kuendeleza fikra zako. Wewe ndie uliyetaifisha mali za watu na taasisi na kuwarudishia wengine na kuwanyima wengine. Wewe ulikuwa dikteta mbaya sana uliyewaua kila uliowaona wanamawazo kinyume na yakwako. Ulikuwa unapenda kusikika wewe tu na kutajwa pekeyako na viongozi wengine waliokuwa nawe hukutamani wasikike. Tanzania mpaka leo inasheria kandamizi katika katiba uliyotengeneza wewe mwenyewe pasi kuwashirikisha watanzania. Leo magazeti yanafungiwa kwa sheria zilezile kandamizi ulizoziweka dikteta wewe. Najisikia uchungu kuendelea kuandika kwani sijui niandike lipi niache lipi.
Karume sio mwasisi wa taifa lolote lile duniani,
Mapinduzi hakuyafanya wala kuyaongoza yeye,
Siku ya mapindizi yeye alikuwa viunga vya Jiji la maraha la Daslamu.
Baba wa taifa la Zanzibar ni John Okello a.k.a Field Marshal
Dini ni tofauti hakuna cha kuficha.
![]()
![]()
Sote tunajua kwamba unapozungumzia historia ya TZ . huachi kuyataja majina ya watu wawili. Mwalimu nyerere na hayati Karume.Kila wakati nasikia Chadema wao wanakimbilia kwa mwalimu na sijabahatika kuwaona Viongozi wakuu wa Chadema kama DK SLAA na Mbowe wakihudhuria katika kaburi la Makamo wa kwanza wa Rais wa Tanzania (hayati Karume)
![]()
tUMUENZI KWA LIPI ZURI?Ndugu wana wa nchi hii, eti leo viongozi na baadhi ya wananchi wameanza taratibu kwa kukumbushwa na rais KIKWETE kuwa na mjadala wa kuchagua siku ya kumuenzi NYERERE
KIKWETE anasema "ikiwa tutamuenzi kwa siku ya kuzaliwa itakua vizuri na itabidi tusherehekee kwa mbwembwe na hiyo ndiyo iitwe Nyerere day"
HAPA,Kikwete na wanao kuunga mkono nawapinga katika hili, TUMUAZIMISHE NYERERE,kwa vitendo alivyofanya kwa taifa hili,kuacha kujilimbikizia mali,kupunguza safari za nje ya nchi zisizo na tija,kuacha ufisadi n.k
tUMUENZI KWA LIPI ZURI?
Yaani badala ya kuzungumzia misingi iloachwa ww unazungumzia kaburi.
Maneno meeeengi lkn kwa mtanzania mwenye kuufahamu ukweli haya maana yoyote ! Na ni uongo mtupu!
We unamsifia MDINI? NA MBAGUZI?
Nyerere ktk umri wake toka baada tu ya kupata uhuru YYT ASIEKUWA.MKRISTO KWAKE ALIKUWA NI UCHAFU TU!
Kanisa aliliweka.mbele mpaka kwenye ruzuku za serikali.
We kaa ukijaribu kudanganya watu kuwa Nyerere alikuwa mwema!
Yule alikuwa ni nyoka anae kuuma huku anakupuliza! Anakuchekea hadharani akiingia ndani anakuwekea sumu kwenye chakula!
Ikiwa unampenda kiasi cha kutetea uovu wake hadharani namna hii! Basi mfate huko KUZIMU.
Wewe ni mwalimu wa kigalatia ambae usingefika kumsifia huyu muovu ispokuwa ule MFUMO KRISTO aliuacha umekufikisha hapo ulipo na kwa kuandika description zako na wapi unapatikana NI MOJA YA KUTAFUTA SIFA ZISIZO KUWA NA MAANA!
Ukitetea uovu basi iko siku utakudhuru wewe au kizazi chako! Watch out!!
Kwanza wewe si MTZ kulingana na kauli zako. Kujibizana na wewe ni Sawa na kumpigia Mbuzi gitaa, hatacheza.
Huyu lazima wakatoliki wamfanye mtakatifu!
Si kawabeba toka 1961! Kwa kuwakandamiza waislamu!
Sasa hakuna geni hapa!