Tuachieni Nyerere Wetu

Tuachieni Nyerere Wetu



Toa ushahidi siyo unaongea kama kasuku tu.

Mimi siijui hiyo shule ya tabora. Ili nime nimemnukuu ukwelikitugani ambae anasema alisoma hapo. Ila swala la mwinyi kujenga msikiti sito shangaa maana jamaa inasemekana alioa mtoto wa selondari ya jangwani wakati watu wanapiga kele wasichana waende shule.
 
Teh teh teh teh!
Mbulula ni mbulula tu!
Ngoja nikufahamishe kidogo wewe kikojozi km mimi ni mtu wa tabora.
Kuna
Tabora boys.
Tabora girls.
Mihayo p s
Isike ps
Uyui s.s.
Labda na jeshi la wokovu nursery!
Teh teh teh teh!
Hio tabora school iko wapi??
Halafu mkoa upi umeshaskia unaita shule jina la mkoa! Mfano.

Dar school.
Tanga schoo.
Arusha school.
Mwanza school!!
Wapi??
Hii mitoto mingine sijui imekosa baba wa kuwapeleka shule!?
Hata nashindwa kuelewa!!

Nikusahihishe kidogo mkuu, Tabora boys inaitwa Tabora school sijajua kuhusu Tabora girls, Hata jiwe la Msingi limeandikwa Tabora school na si Tabora boys. Nimewahi soma tuition hapo enzi hizo nikiwa Kazima sekondari.
 
Back
Top Bottom